Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

Ahadi za Kikwete wameshaziteleza kwanza? akumbuke kuwa wamaebakiza miaka mitatu..na hapa sijui dr Slaa kaingiaje tena. its shame..au alikuwa amelala akaamka na kukurupuka
 
Yule mzee ana nini zaidi ya kulilia vyeo na kujipendeza kama vile hana elimu yaani ni baadhi ya watu waliosomeshwa kwa kodi za watanzania lakini hawaisaidii nchi hii kuondokana na umaskini.
Kazi yake yule mzee ni kuwaza ngono tu na ndio maana huwa analala tu bungeni badala kusikiliza mjadala inayoendelea.
Kwanza ni mchumia tumbo ndio maana anaweweseka na hoja zisizo na mashiko.
 
nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga lakini katika viongozi wa sasa wa vyama vyote vikuu hakuna aliyekuwa msafi tofauti ni kwamba kundi fulani liko jikoni la kundi lingine liko sebuleni waliko jikoni wananafasi kubwa ya kula msosi wanavyotaka lakini ikitokea nafasi ya kundi lililoko sebuleni kuingia jikoni tatizo litakuwa lile lile kwani nao si wasafi ebu soma hii stori ya katibu mkuu wa magwanda akiwa na umri wa miaka sitini na tisa akini bado ana mchumba:....

Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchi duniani papa katika miaka ya tisini

Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki

tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito

kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.

Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.

amesisitizas kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.

Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.

Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.

Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.

Wakati huo huo,Wassira ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM alisema kwamba mgombea ubunge wa Chadema,Joshua Nassari hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.

Alisema kwamba baba wa mgombea huyo ambaye ni kiongozi wa dini amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi ikiwa ni pamoja na kuoa ili aweze kutulia lakini cha ajabu Nassari amekuwa akionekana na bibi wa kizungu mwenye umri wa zaidi ya miaka 60 akizunguka naye mitaani.

Wassira amewataka wananchi wote waliojiandikisha kuhakikisha wanatunza shada zao ili kuepuka kuporwa na wafuasi wa chadema

Amesema tayari chama cha chadema kimeanza mchezo mchafu kwa kusambaza waraka pamoja na vijana kwa ajili ya kununua shahada
  1. Wananchi wa Arumeru hawahitaji padri wala askofu, wanataka wampate kiongozi atakayewasikiliza
  2. Wananchi wa Arumeru hawahitaji kujua mgombea baba yake yukoje naye, bali wanataka wampate kiongozi atayewatatulia kero nyingi walizonazo.
  3. Katika wagombea wote Arumeru, ni Joshua Nassari peke yake anayeishi Arumeru, anayajua matatizo ya wananchi.
  4. Siasa za ccm zimejaa majitaka, Wassira anazidi kujiaibisha kueneza matusi ambayo hayawezi kumsaidia mwananchi wa Meru.
  5. ​Ni wakati muafaka kwa wameru kujua pumba ni ipi na mchele ni upi!
 
Wasira anafanya kazi ya majungu baba mtu mzima na mwili wote ule. haoni hata soni.
 
Wassira aliwahi kukamatwa mbugani Serengeti pale Saronera baada magemu kudhania SOKWE kavalishwa nguo anatoroshwa, dereva wake alipata wakati mgumu sana. Mpaka jioni ndo magemu wakajua sio sokwe ni Wasira.
Huyu mzee kummaliza ni kuiweka hadharani ile picha yake ya usingizini bungeni na kuja na ajenda ya msichague mlalaji mwingine.
Yaani tumecheka na familia yangu karibu TUZIMIE! Hapa yanaonekana kama matani vile, lakini ukweli wa mambo ni kwamba viongozi wengine wanajisahau sana na kudhani wanaweza kuwatolea kashfa nyingine za kutunga tu sijuhi kumfurahisha nani?

Mtu ungetegemea labda umri kidogo ungesaidia katika kutoa matamshi ya kiutu uzima without calling a spade a spade, cha kushangaza sioni kama hilo linazingatiwa, mambo madogo madogo kama haya yanaweza kumshushia mtu heshima mbele ya jamii-watu wanajisahau kwamba wanaishi ndani ya jamii kwa hiyo kuna mambo mengi yakutia zimanzi yanayo julikana lakini hawayasemi, sasa ukijifanya mjanja na kufungua a PANDOLA BOX- utashindwa mahali pa kukimbilia, beware.
 
KUMBE NA YE NI FISADI! km kawaibia watumishi wa mungu je wananchi wa kawaida.
 
Mimi nina swali moja tu kwa Wassira. Ni ukorofi gani huo anaozungumzia juu ya Nassari? Na kuna ubaya gani kuwa mkorofi?
 
komba1.jpg
ngereja+kikaoni.jpg
1020612.png
SIX.jpg
Mrema%2Bchapa%2BUsingizi%2B3%2B%25282%2529.jpg
 
Kwa hiyo kwa maneno hayo ya Wasira ndiyo tayari kaongeza kura kwa mgombea wake au?? mbona kasema wakati Slaa
  • :thinking:
mwenyewe hata kufuka Arumeru bado..Cha kuogopea nini? Jizee kama hili likitoka haja linatumia sabuni kweli??
 
ndio,wasira anapataga usingizi bungeni tu,picha itawekwa hapa muda si mrefu.HALAFU WASIRA ANA KASHFA YA KUMWEKA KINYUMBA HOUSEGIRL WAKE PALE SINZA,AFU HUYO DEMU ANA MIMBA YAKE.

Maskini ya Mungu binti wa watu atazaa Jisokwe!!
Loh, maskini.
 
Lakini badala ya kumtukana jibuni hoja,watu wajifunze kujibu sio kutukana haisaidii sana

nyie ndo mnachelewesha uhuru wa bongo,may b hata kusuport magamba waweza kuta unapanga chumba kimoja tofauti yangu chadema mwenye nyumba ya 30milioni,nani mjanja? Endelea kuwasuport waendelee kukudidimiza,ur idiot guy.t..ipe
 
BC: Tukiwa hapo hapo kwenye suala la historia yako.Wengi tunatambua kwamba siku za nyuma kabla hujaingia kwenye siasa ulikuwa padre au ulisomea upadre. Unaweza kutueleza kwanini uliacha upadri na kuwa mwanasiasa? Ulifukuzwa au uliacha kwa hiari? Una mke na watoto. Je, kanisa lilikuruhusu kuoa?
WS: Ni kweli nimekuwa Padre wa Kanisa Katoliki. Nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu sana ndani ya Kanisa kuanzia Jimboni kwangu ambapo nimekuwa Makamu wa Askofu, na Mkurugenzi wa Maendeleo, lakini pia nimekuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu toka 1985 hadi 1991. Ni kweli hayo maswali yanaulizwa mara nyingi, kwa bahati mbaya si wengi wanaofahamu taratibu za kisheria ndani ya Kanisa Katoliki. Niliondoka mimi mwenyewe katika Upadre bila kushinikizwa na yeyote, wala kufukuzwa, wala hata kupewa onyo. Ni kweli kuna mambo ambayo mimi niliyakataa na kwa dhamira yangu nisingeliweza kuendelea, lakini nadhani hayo ni binafsi zaidi, na si mahali pake kuyaeleza. Nimetoka kwa kibali cha Kanisa, kwa utaratibu wa kisheria wa Kanisa Katoliki, ndiyo maana mimi sina tatizo wala ugomvi wa aina yeyote na Kanisa Katoliki na ninashiriki katika shughuli mbalimbali za Kanisa.
Nina Mke na watoto wawili, Emiliana Slaa na Linus Slaa, japo sijafunga ndoa kikanisa kwa utaratibu wa kawaida wa Kanisa Katoliki, pamoja na kuwa sina kipingamizi chochote kufanya hivyo kikanisa, ni uamuzi wangu na wa mke wangu na familia yetu. from the thread unamjua dr wilbroad slaa? more check
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/114121-unamjua-dr-wilbroad-peter-slaa.html
 
BC: Tukiwa hapo hapo kwenye suala la historia yako.Wengi tunatambua kwamba siku za nyuma kabla hujaingia kwenye siasa ulikuwa padre au ulisomea upadre. Unaweza kutueleza kwanini uliacha upadri na kuwa mwanasiasa? Ulifukuzwa au uliacha kwa hiari? Una mke na watoto. Je, kanisa lilikuruhusu kuoa?
WS: Ni kweli nimekuwa Padre wa Kanisa Katoliki. Nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu sana ndani ya Kanisa kuanzia Jimboni kwangu ambapo nimekuwa Makamu wa Askofu, na Mkurugenzi wa Maendeleo, lakini pia nimekuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu toka 1985 hadi 1991. Ni kweli hayo maswali yanaulizwa mara nyingi, kwa bahati mbaya si wengi wanaofahamu taratibu za kisheria ndani ya Kanisa Katoliki. Niliondoka mimi mwenyewe katika Upadre bila kushinikizwa na yeyote, wala kufukuzwa, wala hata kupewa onyo. Ni kweli kuna mambo ambayo mimi niliyakataa na kwa dhamira yangu nisingeliweza kuendelea, lakini nadhani hayo ni binafsi zaidi, na si mahali pake kuyaeleza. Nimetoka kwa kibali cha Kanisa, kwa utaratibu wa kisheria wa Kanisa Katoliki, ndiyo maana mimi sina tatizo wala ugomvi wa aina yeyote na Kanisa Katoliki na ninashiriki katika shughuli mbalimbali za Kanisa.
Nina Mke na watoto wawili, Emiliana Slaa na Linus Slaa, japo sijafunga ndoa kikanisa kwa utaratibu wa kawaida wa Kanisa Katoliki, pamoja na kuwa sina kipingamizi chochote kufanya hivyo kikanisa, ni uamuzi wangu na wa mke wangu na familia yetu. from the thread unamjua dr wilbroad slaa? more check
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/114121-unamjua-dr-wilbroad-peter-slaa.html

josephine mushumbuzi ?
 
josephine mushumbuzi ?
at least hayo yanaondoa doubt na uongo kwamba alitimuliwa...then dr. kasema hana kizuizi cha kufunga ndoa, ila ameamua{at least by that time } maybe ilikuwa kwa sababu hakubaliani na mambo kadhaa kuhusu aliyekuwa mkewe, now labda atasema lini atamuoa bi mushumbuzi..na hii sio skendo, we ni wadada wangapi umepitia?utapitia b4 kuoa, this is only about God, the judge na haihusu siasa in any and every way.
 
Kama Wasira anaweza kututhibitishia nyumba anayojenga "kwa msola" Arusha na nyinginezo nyingi nchini kote pesa zilikotoka, basi ana haki ya kusimama kiume na kunyooshea wenzake kidole la sivyo akae kimya.. uwaziri hauna kipato cha kufanya haya anayofanya sasa.
 
wasira wewe ni mkatoliki wa namna gani? nadhani unahamu ya kutengwa na kanisa. Viongozi wangu wa kanisa katoliki naomba sheria za kanisa zifuatwe
 
Halafu watu wakianza kurusha madongo watu wataanza kuwabembeleza jamani heshimu watu wazima... yangu macho...

Hakika MMK makombola yakianza kushuka ombi langu DOLA [POLISI] na Tendwa,wakae mbali,ombi langu kuu ni TISS,baada ya kusikia makombola msikae kumtafuta mtoa kombola /habari mtafuteni aliyesababisha habari ikawepo yani aliyeunda tukio zima likawa taarifa mnayoisikia kwa kuwa mnaijua na sasa jamii imejukishwa sio siri tena mdeal na aliyetengeneza siri hiyo kwa kuwa atimae ya yote TUMECHOSWA NA SIRI ZA MWAKA ALOBAINI NA SABA.

KWA KUWA DUNIA ILIVYO UMBWA HAKUNA SIRI MAISHA YOTE.NDIO MAANA KWA KULIJUA HILO CIA UWA WANAACHIA SIRI KALI MIAKA ISHIRINI NA TANO TU.Tanzania kwa kulundika siri nyingi zisizo na mipaka ya kuitwa siri imekuwa kituo cha siri ya saa moja toka kuwa Siri inajulikana mtaani baada ya nusu saa.Tusubilie majibu ya CDM na makombora yao.
 
teh teh kumbe wasira ndo anazungumza hivi, angalau angekuwa ameyazungumza mtu ambaye ni makini katika uongozi may be watu wangeweza kumsikiliza, joshua si mkorofi au kama mtu hajaoa ndo mkorofi! UDSM joshua alikuwa kiongozi ana alikuwa anagombania haki akiwa kama kiongozi wetu, suala la shahada CDM hawawezi fanya huo ujinga anaosema wasira/mzee wa usingizi kwani ccm ndo wanaogopa kukosa ushindi kwa ujinga wao walioufanya miaka nenda rudi, ngoja tumkaribishe slaa jimboni awamalize sasa
 
Back
Top Bottom