Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Alichongea wassira yupo sahihi kwa 100% kwani Sitta miongon mwa wajenga dola sasa anapotoa shutuma kama hzo then aonyeshi suluhisho juu ya tatizo 2namuona n mnafki pia mbinu yake ambayo anatumia ili apate urais aje ku2mikia kanisa kama Nyerere ajue ameshndwa.
Nyang<au mkubwa
 
Kumbe wengi hamjui kuwa kule Urambo jamaa hawamhitaji tena na kaielewa hiyo. Ila pia sio jambo baya kupambana akiwa ndani badala ya kutoka ndio aanze kuwarushia mawe
 
Anacho kifanya mzee six kinaitwa fighting from within..au matured politics..hakuna haja kuondoka,kama wana guts za kutosha wamfukuze chamani,mbona wapo wengi wanalalamika humo humo ndani ya serikali ya ccm? Mzee sita kapata ujasiri wa kusema na nyie hampendi kukosolewa hadharani eti mpaka chumbani asisikie mtu...kwa hili nampa dhumb up mzee sitta,

Misingi ya uongozi bora inataka hivi; kama waziri hukubaliani na mwenendo wa Serikali na Raisi aliyekuteuwa lazima moja ya mambo mawili yatokee; Aidha Rais akufukuze kazi ya Uwaziri au Ujiuzulu. Huwezi kuwa na vyote viwili.
 
Jibu rahisi sana CCM wamechoka 2015 wapewe likizo ya kudumu!
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Tumeshawazoea nyinyi CCM kila mtu anaongea la kwake kweli mmefika mwisho kwa hiyo kila kitu kinakuwa wazi peupeee inahitaji uwe na matatizo ya akili ili uweze kuishabikia au kuwa mwanachama wa CCM.
 
Ni bora akajiengua ccm kwa mtu mwenye busara hata kama yeye ni msafi jambo ambalo si kweli hastahili kuilaumu serikali wakati yeye yumo humo.ni bora akaachia ngazi akajiunga na wajinga wenzake kuleeeee cdm
 
Aaaaa sixxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx, mwenyeweeeeeeeeeeee, kanafkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, popooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Sijui kama hii taarifa ya kweli! Ila nashangaa y huyu wasira ana hasira sn na mara nyingi anakuwa mkali utadhani jibwa la Magamba!!!
 
Aaaaa sixxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx, mwenyeweeeeeeeeeeee, kanafkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, popooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

I may not know exactly what you're, but one thing I know for sure, is that you're not a great thinker, that means you're not among us.
 
Hivi Wassira naye anataka kugombea urais? Jamani hii sasa ni dharau kwa Watanzania!
 
Akili ndogo lazima ikapate elimu na kama haikupata tena basi hilo ni janga la mtu muhisika.nipo songea leo hivi songea kila kona wanataka uchaguzi wa ubunge na urais hata sasa hivi wawang'oe magamba.hivi songea ni wachagga??????.funguka kijana au kaa kimya
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Sita alikosea kukubali uwaziri kama kifuta machozi ya kukosa uspika kwa sasa ajiuzuru tu kama Wasira asemavyo
 
Hivi Wassira naye anataka kugombea urais? Jamani hii sasa ni dharau kwa Watanzania!

Mkuu, kwanini una sema dharau kwa watz?

Jambo lingine, ni kweli Wassira amejitangaza kuutaka urais na ana back up kubwa, Kikwete.
 
Umeeleza vizuri mawazo yako, ilipofika kwenye blue ikabidi ukamilishe ambayo yangefaa ukachukue ujira wako pale L "street". Kuropoka ni "integral part" ya CCM. Bila kutaja CHADEMA "voucher" ya buku 7 inaweza isisainiwe.

Ni hayo tu.

Hahaha.. muchetz, kwamba bila kuitaja...! buku saba haitoki? duh!
 
Last edited by a moderator:
Hii habari siyo ya kweli, ni uongo aw kutungwa na gazet la Tanzania Daima kwa nia ya kuchonganisha viongozi serikalinii. Gazeti la Tanzania Daima lilimpigia simu Wasira kutaka maoni yake kuhusu kauli ya Sita kwamba kuna mawaziri 4tu ndiyo wanapambana na ufisa. Wasira alimkatalia mwandishi aw habari hizo kwa kusema" hajasoma habari yenyewe, huelewi ilisemwa katika mazingira gani na alikusudia nini, hivyo Hana la kusema, alishauri amuulize Sita kwa ufafanuzi" hayo mujibu ya Wasira yameandikwa katika gazeti la Tanzania Daima, swali Baada yakumkatalia alibadilikaje na kutaka Sita ajiuzulu Kama si uzushi. Kumbuka si mara ya kwanza gazeti kuandika uzushi dhidi ya Wasira Kama mwenyew alivyofanya sema bungen alivyochangia hotuba ya waziri aw habari. Hii ni bias hata ya uongo. Ni vizuri waandishi aw habari wakawahabarisha Watu kwa kusema ukwel.
 
sitta is becoming 'a man of the people'...in filthy he stands to correct corrupt leaders!

Ukisikia maisha kuchanganya ndo hayo. Ccj haendi, cdm ameisha likologa, ccm nao wamwona si wao tena!!

At his age! He must find a good counselor otherwise....mambo hayawezi mwendea vizuri.

kwahiyo ina maana yeye wasira anakubali kula rushwa kiasi amshangae sita kutojiuzulu hali rushwa inaliwa waziwazi? Huyu mzee black ni mla nyama ya ************** na ukila nyama hiyo huwezi kuacha na bila ya aibu utamshangaa yule asiyekula
 
Back
Top Bottom