Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

HApo kwenye Bold ndipo nilipopapenda, kumbe hata Wassira anajua kua ccm imeoza yote! Thanks for update.
 
Waache watoane manyoya wenyewe kwa wenyewe,
Ikifika 2015 kazi yetu sisi ni kuwachinja tuh...
 
Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Amulize aliyemteua yeye naye kama sitapeli wa kisiasa.

Akishindwa kufanya hivyo atoe ushauri Sitta afukuzwa Uwaziri- kitu ambacho bosi wake Wasira hawezi kuthubutu (JK)

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Wasira anatakiwa kuacha kulalamika .Sitta anafanya kazi iliyowashinda wengine ndani ya CCM na ameonyesha jeuri yake kuwa hata Bosi wake Wasira si lolote na si chochote na mbaya zaidi mnakata naye meza moja kikao cha Baraza la Mawaziri.
 
sasa hapo CDM inahusika vipi...? vijana wa wengine mnatuabisha vijana wa kitanzania..mnatufanya wote tuonekane hamnazo...
 
Don't tell me hujaona any correlation?

Ni jambo la kawaida kwa CHADEMA kuropoka, kutoa matamko yasiyo na tija, pia kuipiga mikwara serikali, hizi ni tabia zinazo kuwa entertained huko CHADEMA, huku CCM hatuzipendi.

Huku CCM tuna fuata protoko, huwezi kuwa mjumbe wa baraza la mawazi, halafu ushindwe kutoa manung'uniko yako mule, huje kwa matu kujikosha.
 
Sitta is becoming 'a man of the people'...In filthy he stands to correct corrupt leaders!

Ukisikia maisha kuchanganya ndo hayo. ccj haendi, cdm ameisha likologa, ccm nao wamwona si wao tena!!

At his age! he must find a good counselor otherwise....mambo hayawezi mwendea vizuri.

ni kweli Sita sasa anakaribia milango ya hospitali ya Mirembe, maana Dr Slaa amemfanya akose nafasi CDM, ccm nako kaharibu kwakujiona yeye bora kuliko mafisadi wenzake. lowasa ndo huyo hatakati lkn haaichi kujiosha kila siku na Mzigo wa kuwanunua wajinga anao. membe ndo huyo anataka aungane nae membe hatokubali kumbeba mnafiki Sita kabaki na Mgonjwa Mwakyembe. anahitaji Maombi aombewe atokwe na Mapepo ya Unafiki na kupenda makundi na kuwa mwanachama wa CCJ na bado yupo ccm.
 
Don't tell me hujaona any correlation?

Ni jambo la kawaida kwa CHADEMA kuropoka, kutoa matamko yasiyo na tija, pia kuipiga mikwara serikali, hizi ni tabia zinazo kuwa entertained huko CHADEMA, huku CCM hatuzipendi.

Huku CCM tuna fuata protoko, huwezi kuwa mjumbe wa baraza la mawazi, halafu ushindwe kutoa manung'uniko yako mule, huje kwa matu kujikosha.

Hapo ndo shida ilipo...mimi sijaona CDM wakiropoka...tembo hawaishi?-wanaisha..rasilimali km madini na nk-zinawanufaisha wananchi?-haziwanufaishi...serekali ni dhaifu au imara ni dhaifu? elimu na afya ni mbovu sio mbovu-ni mbovu....kesi za ugaidi ni za kutunga si za kutunga-ni za kutinga....na mengine mengi sasa hapo kuna la kuropoka au la uongo..?
 
KIKWETE mfukuza SITTA anatumia kaulimbiu ya CCM wezi na kuwaaminisha wananchi kuwa CDM ni wakeli,kwanza kwao hawamtaki,kutana na wabunge wa Tabora mufanye maamuzi makini.
JK anajua kunyonga tu kuchinja hawezi
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

nina shida na nilipopigia mstarii. Tangu lini binadamu wakawa samakii?! kwangu mimi ni afadhali ya sita mara mia zaidi ya huyu mfunika makalio. the guy is good in covering his ass
 
Don't tell me hujaona any correlation?

Ni jambo la kawaida kwa CHADEMA kuropoka, kutoa matamko yasiyo na tija, pia kuipiga mikwara serikali, hizi ni tabia zinazo kuwa entertained huko CHADEMA, huku CCM hatuzipendi.

Huku CCM tuna fuata protoko, huwezi kuwa mjumbe wa baraza la mawazi, halafu ushindwe kutoa manung'uniko yako mule, huje kwa matu kujikosha.

hahahahahahahahahahahaha acha upuuzi ni katika tanzania pekee viongozi wa juuu ccm wanalalamika kwa wananchi, rais mwenyewe analamika kwa wananchi, waziri mkuuu analalamika kwa wananchi mawaziri ndio usiseme. kama unabisha tafuta nafasi siku moja chukua waziri ambaye wewe unaona anafuata protoko nenda kapate nae bia/jack daniel shot tatu tuu utamsikia anavyofunguka. HII NCHI KUNA OMBWE LA UONGOZI. THAT IS THE BIGGEST WEAKNESS OF SULTAN KIKWETE
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).
Kwani ukuwa ndani ya serikari hauruhusiwi kuikosoa?
 
Alichongea wassira yupo sahihi kwa 100% kwani Sitta miongon mwa wajenga dola sasa anapotoa shutuma kama hzo then aonyeshi suluhisho juu ya tatizo 2namuona n mnafki pia mbinu yake ambayo anatumia ili apate urais aje ku2mikia kanisa kama Nyerere ajue ameshndwa.

Siamini kama Sita ana-qualify ulinganisho wa aina yoyote na Mwl JK Nyerere. Lakini pia Siamini kama Mwl alikuwa mtumishi wa kanisa na si mtumishi wa WaTanganyika/WaTanzania. Miaka zaidi ya 20 aliyokaa Mwl Ikulu alikuwa mtumishi wa Kanisa! Nafikiri nahitaji kurudi darasani. Inaelekea mwalimu wangu wa Historia alinidanganya kuhusu Nyerere.
 
Mbwa kala mbwa na bado chacha tuchubili tuone mengi, so ulikusudia kumsema 6 au CDM maana imewakalia vbaya hampumui, maudhui ni ya kitu kngne kwani ukiweka CDM ndo singo yako itabamba zaidi???????
 
Mie Nadhani hata ukiwa ndani ya serikari hupaswi kufumbia macho tatizo la Rushwa hata Mh Rais amekuwa akiwalaumu watendaji wabovu serikarini Mh Sita hajakosea popote isipokuwa Sita huwa haaminiki anauma na kupuliza pengine Tabia binafsi Ndio inamhukumu
 
Ushawahi kumlahumu padre/mchungaji au shekhe kumaliza ibada kwa kumkemea/kumtaja shetani?

Shetani ni Kikwete ona sasa kaja na zigo na kugawa wanachama wenziwe kwa makundi,kama alivyoingia yeye kwa miaka kumi akitengeneza makundi n wenziwe wanatumia njia ile ile,wassira anamshangaa sitta leo mbona kila siku anatukana serikali ya kikwete na Kikwete anamgwaya kwa nini hamfukuzi kama mwanaume kweli
 
Back
Top Bottom