Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

SIASA ZA Mh 6 SIJUIKAMA ATALAMBA DUME! Mara CCJ! Mara atajejiunga Chadema! Mara anaikosoa Serikali aliomo! Mara atangaza Marafiki zake ambapo mda ukifika watajadiliana nani agombe Urais! Daah! "NAMSHAURI ASTAAFU SIASA"

Mara tena aiponde chadema ambayo ni mkombozi wetu.
 
Ushawahi kumlahumu padre/mchungaji au shekhe kumaliza ibada kwa kumkemea/kumtaja shetani?

Kumbe Ccm siku hiz Chadema ndo shetani wao mkubwa? Si walisema Chadema ni chama cha msimu na kitakufa hiv punde........aaah!
 
Haya lazima yatokee, na hii itaendelea hata kwa msiowatarajia, ccm mnapambana na chadema lakini mnyukano ndani ya chama ni mkubwa zaidi
 
Anacho kifanya mzee six kinaitwa fighting from within..au matured politics..hakuna haja kuondoka,kama wana guts za kutosha wamfukuze chamani,mbona wapo wengi wanalalamika humo humo ndani ya serikali ya ccm? Mzee sita kapata ujasiri wa kusema na nyie hampendi kukosolewa hadharani eti mpaka chumbani asisikie mtu...kwa hili nampa dhumb up mzee sitta,
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).
Hivi kinyesi chooni hujijua kwamba chenyewe ni kinyesi eeh?!!!Maana naona mheshimiwa mzee wa hifadhi ya Gombe anamwambia mnafiki Sitta kwamba Samaki mmoja akioza wote wameoza tehe tehe kumbe wanajijua wameoza kuanzia chini mpaka juu,kutokea nyuma mpaka mbele,kutoka kulia mpaka kushoto...Kweli watanzania ni wendawazimu wa kutupwa hapa duniani kukubali kuongozwa na watu ambao wanajijua wameoza kwa ufisadi!!!!
 
Kiwewe cha kuukosa uwaziri mkuu na uspika bado kinamsumbua.

Nakumbuka baada ya kupokwa uspika, huyu Mheshimiwa aliiomba serikali hiyo hiyo anayoituhumu aendelee kutumia gari ya spika na kuishi kwenye nyumba ya spika iliyokuwa inalipiwa na serikali $10,000/= kwa mwezi.
mkuu mzee 6, mnafiki sana!
 
Alichongea wassira yupo sahihi kwa 100% kwani Sitta miongon mwa wajenga dola sasa anapotoa shutuma kama hzo then aonyeshi suluhisho juu ya tatizo 2namuona n mnafki pia mbinu yake ambayo anatumia ili apate urais aje ku2mikia kanisa kama Nyerere ajue ameshndwa.

Mbona elimu yako unaitumia kama majitaka? Yaan wewe cha maana ulichoona hapa ni kumhusisha Sitta na kanisa,we unadhani unajenga kwa sisi tunaojua dini ni suala dogo ila taifa ndo kubwa zaid wala hatusumbuki. Nyie simnalazimisha siasa na dini yenu ni sawa basi mjue mna kazi kuuubwa mno wala msitegemee kushinda!
 
KIKWETE mfukuza SITTA anatumia kaulimbiu ya CCM wezi na kuwaaminisha wananchi kuwa CDM ni wakeli,kwanza kwao hawamtaki,kutana na wabunge wa Tabora mufanye maamuzi makini.
 
Sitta ndani ya ccm atakuwa na wakati mgumu sana, sababu kubwa ni kujifanya tofauti na wenzake! Yeye anajifanya msafi kuliko wenzake ndani ya ccm wakati ni tofauti, ni huyuhuyu sitta aliyejenga ofisi ya spika urambo kwao,kana kwamba siku zote spika atatoka urambo!

Mbona suala la kujenga ofisi ni dogo tu ili mradi alifanya maamuzi na kujenga ofisi kweli kuliko wale wanaofanya maamuzi hewa na ofisi hazijengwi kabisa na hela inaliwa
 
Huyu 6 toka alipokosa uspika hajielewi, kuna jamaa namfahamu pale Tabora alikuwa katika kampeni za huyu mzee uchaguzi wa 2010,alikuwa akiniambia huyu 6 ni hatari sana na ni mnafiki sana, halafu jamaa ana visasi vya hatari hatufai kabisa,
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Teh teh eti muwaachie wasaka dola chadema waropoke kwani chadema si wanakuja na hoja nzito mpaka nyingine zimeitikisa serikali yenu alafu leo unasubutu kusema warukaji wakati ccm wakitahiwa kujibu hizo hija ndo wanajiropokea kama hawakuisikia eti
ni upepo wa kisiasa utapita tu.
 
Acha propaganda zako za kitoto.

Nani amekwambia Chadema ni chama cha wachaga?

Hivi sugu amechaguliwa ubunge Mbeya mjini,hilo si eneo la wanyakyusa?

Na je Mwanza nako,walikompa kura Wenje na Kiwia,nako utasema ni kwa wachaga?

Nako Kigoma kaskazini,aliokopata kura nyingi sana za ubunge,Zitto Kabwe,nako utasema kuna wachaga wengi kuliko waha?!

Hizo buku saba saba,mnazolambishwa hapo Lumumba,kwa kutangaza propaganda za magamba humu JF,zinawafanya mshindwe kabisa kupambanua mchele na pumba?!

Mkuu ukiona kijana mwenye akili timamu ana mawazo au akili ya huyo Mystery ujue kuna ma 2,either anatoa 0713 au umri ukienda enda atakua mchawi.
 
Nashindwa kufahamu ni kwa nini Serikali inaendelea kuwa na Sitta Kama waziri wake. Dhana ya uwajibikaji wa jumla haikubaliani na hili. Sidhani Kama issue ni Sitta kujiuzulu mwenyewe au Serikali kumwambia kuwa huko na sisi. Inaharibu utendaji wa Serikali! Sioni mantiki ya maneno ya Wasira!
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

KWENYE RED BOLD: Nilishasema humu jamvini kuwa ndani ya CCM wote ni panya wanatoboa magunia ya nafaka zetu hakuna panya wa kuwakamata!!
 
Mkuu ukiona kijana mwenye akili timamu ana mawazo au akili ya huyo Mystery ujue kuna ma 2,either anatoa 0713 au umri ukienda enda atakua mchawi.

BBJ: Siyo kwamba hizo ndiyo SIFA ZAKO, maana unaonekana unazipenda!!
 
Back
Top Bottom