Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).
Nionavyo mimi badala ya kumzonga Sitta, ilipaswa tu mumtake awataje hao mafisadi. Kumtaka akae kimya ili mijizi iendelee kutuibia sidhani kama ndio sera ya CCM. Siamini pia kama ni sifa ya kiongozi bora kufumbia macho uoza wa serikali yake ili kulinda nafasi yake katika chama au serikali.

Inawezekana akawa haridhishwi na mwenendo wa serikali yake ingawa naye ni part ya serikali, hii sio ajabu. Nionavyo mimi Wassira ndo anaropoka, haiwezekani kiongozi wa serikali inayoiita tufuku, akiri hadharani kuwa serikali yake ina uongozi uliooza afu ategemea wananchi wawe na imani na serikali ya CCM.

Anachokisema Wassira ni kuwa serikali ya CCM haina viongozi wazalendo au waadilifui, kusema samaki mmoja akioza ni wote hii ni kauli ya kipuuzi kabisa. Kama Wassira yeye ana busara, atutajie basi ni samaki gani huyo aliyeoza na anayeozesha wengine ili tumtoe mapema asiozeshe wengine. Kuendelea kukaa kamya ilhali anajua samaki flan kaoza ni utapeli wa kisiasa pia.

Kwako Mtoa mada, unasema nyinyi CCM hamna tabia ya kuropoka, hivi kusema ukweli juu ya mwenendo wa serikali yako ni kuropoka??? Mnakaa kimya na kuunyamazia uoza huu unaoendelezwa na serikali yenu kwa manufaa ya nani??? Nina wasiwasi kuwa siasa ya Tanzania imeanza kutumia wanasiasa wendawazimu.

Hii nchi ni ya Watanzania, maslahi yaelekezwe kwa Tanzania kwanza na sio chama kiwekwe mbele kuliko maslah ya Tanzania. Kama hali ndo hii ya kuweka chama mbele kuliko Tanzania, basi nchi yetu inatawaliwa na genge la wahuni.
 
CCM mmezoea kusema Chadema itakufa kabla ya 2015 ila nachokiana nia dalili za CCM kuanza kupasuka vipande vipande tayari nimeshaanza kuona vipande vitatu vya CCM

1:kipande cha kwanza cha SITTA na kundi lake

2: kipande cha pili cha LOWASA na kundi lake

3:kipande cha tatu cha WASIRA na kundi lake
haya wengi tuliyatarajia kwani kama chama kimejengwa kwa msingi wa RUSHWA na TAMAA ya MADARAKA haya ndio matokeo yake
 
Sitta ndani ya ccm atakuwa na wakati mgumu sana, sababu kubwa ni kujifanya tofauti na wenzake! Yeye anajifanya msafi kuliko wenzake ndani ya ccm wakati ni tofauti, ni huyuhuyu sitta aliyejenga ofisi ya spika urambo kwao,kana kwamba siku zote spika atatoka urambo!

Kinacho mfanya Sitta awe mpayuka ovyo ni uchu wa madaraka alionao. Sitta ni mbinafsi fisadi tena mchonganishi sana. Anaweza kutueleza kilichofanya afuje hela za watanzania kwa kwenda kujenga ofice ya bunge jimboni kwake? Huo sio ufisadi na wizi?
 
Alihojiwa akiwa nje ya ukumbi wa bunge kuhusu mambo ya makundi ya urais ndani ya CCM.

Kama Wassira anasema CDM ni chama cha Wachaga aseme CCM ni chama cha akina nani. Kauil ya kipuuzi kama hii iliwahi kusemwa na bsi wa jumuiya ya wazazi akwa Tabora. Is this the end of their thinking capacity? Kwa hiyo ina maana Wachaga wote walioko CCM wahamie CDM? Jamani Wachaga mmesikia? Chukueni na watani zenu po pote walipo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sitta ndani ya ccm atakuwa na wakati mgumu sana, sababu kubwa ni kujifanya tofauti na wenzake! Yeye anajifanya msafi kuliko wenzake ndani ya ccm wakati ni tofauti, ni huyuhuyu sitta aliyejenga ofisi ya spika urambo kwao,kana kwamba siku zote spika atatoka urambo!

Huyu mzee ni mnafiki sana, anaendelea kuwahadaa wasiomjua tu. Anapretend kukemea ufisadi wakati yeye mwenyewe mtoa rushwa mkubwa, uchaguzi wa mwaka 2010 alihonga pikipiki jimboni kwake urambo mashariki huku mkewe akikamatwa na TAKUKURU tabora mjini akijiandaa kugawa bahasha za kaki kwa wajumbe wa ccm.
 
Uzuri wa Sitta haongeagi facts kwenye vikao rasmi vya serikali na chama,yeye hupita mitaani na kupiga kelele.MNAFIKI HUYU MZEE

Baada ya kuumbuliwa na Dr Slaa kwa kuitukana Chadema, sasa naona Sitta ameona pa kutafutia umaarufu ni kwa kuikosoa serikali ya chama chake. Very interesting.
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Tatizo lenu nyinyiemu huwa hamkubali kukoselewa,mnajiona mko sahihi ktk kila jambo. Mtu akiwa anawakosoa tu mnamuona mchawi while ndo ukweli wenyewe.Sitta yuko sahihi na ametumia uhuru wake kama raia wa Tanzania kusema ukweli.Kuwa ndani ya serikali haina maana ndo unyamazie kila aina ya upuuzi unaoendelea.Kujikosoa ni jambo jema sana
 
Ushawahi kumlahumu padre/mchungaji au shekhe kumaliza ibada kwa kumkemea/kumtaja shetani?

Hata kama CHADEMA angalikuwa shetani, Haimaanishi kwamba kumkemea shetani maanake humpendi shetani! Hata kwenye BIBLIA kumeandikwa "SI WOTE WASEMAO BWANA BWANA WATAUONA UFALME WA MUNGU"...Kwa hiyo si kwamba hata wewe kuitaja CHADEMA kwa ubaya ni kwamba huipendi! Unaitaja CHADEMA kwa ubaya ili mkono uingie kinywani LAKINI kura unaipigia CHADEMA wewe!
Tehe!
 
Tatizo lenu nyinyiemu huwa hamkubali kukoselewa,mnajiona mko sahihi ktk kila jambo. Mtu akiwa anawakosoa tu mnamuona mchawi while ndo ukweli wenyewe.Sitta yuko sahihi na ametumia uhuru wake kama raia wa Tanzania kusema ukweli.Kuwa ndani ya serikali haina maana ndo unyamazie kila aina ya upuuzi unaoendelea.Kujikosoa ni jambo jema sana

Mzalendo wa ukweli, sio kwamba CCM haitaki kukosolewa, lah hasha, bali ukiwa kiongozi wa CCM hama mwandamizi wa serikali, sio vyema kukosoa chama kwa utaratibu alioutumia Sitta, yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri, huoni kama ni vyema angekuwa anayasemelea huko. Na ikitokea anayo yasema hayashughulikiwi, basi afuate mtizamo wa Wassira.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama CHADEMA angalikuwa shetani, Haimaanishi kwamba kumkemea shetani maanake humpendi shetani! Hata kwenye BIBLIA kumeandikwa "SI WOTE WASEMAO BWANA BWANA WATAUONA UFALME WA MUNGU"...Kwa hiyo si kwamba hata wewe kuitaja CHADEMA kwa ubaya ni kwamba huipendi! Unaitaja CHADEMA kwa ubaya ili mkono uingie kinywani LAKINI kura unaipigia CHADEMA wewe!
Tehe!

KYAMTUNDU, hayo uyasemayo ni kweli na nukuu yako ni sahihi, lakini tatizo linakuja kwenye kuipenda CHADEMA, kama kweli kingekuwa mbadala wa ccm, basi muda mrefu tu ningekuwa mkereketwa wake. Tatizo lilipo ni kwamba Chadema wameonyesha mapungufu mengi wakiwa nje ya dola, sasa tukiwapa dola itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Sitta is becoming 'a man of the people'...In filthy he stands to correct corrupt leaders!

Ukisikia maisha kuchanganya ndo hayo. ccj haendi, cdm ameisha likologa, ccm nao wamwona si wao tena!!

At his age! he must find a good counselor otherwise....mambo hayawezi mwendea vizuri.

A very wise advice to his excellency Sitta. I hope he'll take it and take actions.
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Umeeleza vizuri mawazo yako, ilipofika kwenye blue ikabidi ukamilishe ambayo yangefaa ukachukue ujira wako pale L "street". Kuropoka ni "integral part" ya CCM. Bila kutaja CHADEMA "voucher" ya buku 7 inaweza isisainiwe.

Ni hayo tu.
 
ujenzi wa 'Babel' ukiwa unaendelea dalili zote ziko wazi kwa unakaribia mwisho.
Kama kawaida wakurya sio wanafiki sana na ni wazi Mh. Sitta amekosa wa kumueleza haya mapema. Haeleweki msimamo wake, mara awaponde wapinzani, mara aiponde serikali ikiwa ni wazi kuwa mtu wa namna hii sio vizuri kumpa nafasi inayohusisha maamuzi.
Ni kama vile Mh. Shibuda wa cdm.
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Nimekuwa nikifuatilia sana thread za huyu anayejiita HAMMY-D,nadhani anahitaji kufanyiwa councilling ya hali ya juu sana,kwanza ajitambue yeye ni nani na anasimama wapi,otherwise he is useless to his familly
 
...jamani muoneeni huruma Sitta - Tangu mumwambie ajibadilishe jinsia - mambo yake yamekuwa ya kikekike tu! waswahili wanasema "maneno huumba". ndo hivo tena ameshakuwa sio riziki. mkimdispose leo ataenda wapi? CCJ si ilishakufa? maana Chadema walishasema hawamtaki mtu asiye na msimamo. kawaingiza watanzania mjini na hoja ya RICHMOND leo anajinadi nayo mtaani.
...Hapo kwenye red mkuu unamaanisha mbinu gani? zile za LIPUMBA za "kuokoa jahazi"? CHADEMA haina price tag kama CUF Mkuu. subirini kushughulikiwa tu.

Hahaha... sipati picha huyu Mhe. akiwa na jinsia ya kike angekuwaje, maana hapo ni jembe lakini mambo yake yanashangaza!

Unasema CHADEMA haina price tag? umesahau kuwa babu wa CHADEMA ni mroho wa pesa? well, be informed, the price of Dr. Slaa has been revealed, na kwa hili tu, usalama wa chama chenu upo kati ya Tsh 7 million na Tsh 10 million. Hapa namaanisha tukimpa hizo babu achomoi, then akitoka CHADEMA kitaota mabawa.

Jifunzeni kuwekeza kwenye chama na sio kwenye viongozi, huyu babu akiwasaliti unajua atawapa impact gani chadema?
 
Back
Top Bottom