Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

magamba muda bado mtapasuka vipande vipande na we mtoa hoja badilika usiwe kama wafuasi wa kibwetere.
 
tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Mbinu za rushwa, kuilazimisha tume ya uchaguzi, ahadi hewa, mauaji na video fake!!! ZINA MWISHO maana kila siku waathirika wanang'amua mbinu chafu
 
Acha propaganda zako za kitoto.

Nani amekwambia Chadema ni chama cha wachaga?

Hivi sugu amechaguliwa ubunge Mbeya mjini,hilo si eneo la wanyakyusa?

Na je Mwanza nako,walikompa kura Wenje na Kiwia,nako utasema ni kwa wachaga?

Nako Kigoma kaskazini,aliokopata kura nyingi sana za ubunge,Zitto Kabwe,nako utasema kuna wachaga wengi kuliko waha?!

Hizo buku saba saba,mnazolambishwa hapo Lumumba,kwa kutangaza propaganda za magamba humu JF,zinawafanya mshindwe kabisa kupambanua mchele na pumba?!
Msamehe bure amekosea tu angesema cha kikanda.
 
Mtu anapokwambia 'funga zipu ya suruali yako imefunguka' unamshukuru sio kumbeza na kumtaka ajiuzulu.CCM kubalini kukosolewa jamani ndio uungwana.Na watanzania wote tunasubiri na tunatamani kuwaona mnakiri ufisadi,mauaji ya raia kama naibu waziri wa mambo ya ndani alivyosema bungeni kwamba askari wameua kutimiza majukumu yao ya kazi.Semeni mmekosea,kila binadamu anakosea then muweke mkakati wa kutoyarudia makosa hayo.Then tutawaamini.Lakini kitendo chenu cha kukataa kila kitu wakati viko wazi ndo kinachowaangusha.Siku nyingine mtakataa kwamba bendera yenu haina rangi ya kijani!teteteeee!Au mtakataa kuwa fulani hafanani na mnyama fulani,teteheeeee!Wela wela,vita vya panzi..........
 
Acha propaganda zako za kitoto.

Nani amekwambia Chadema ni chama cha wachaga?

Hivi sugu amechaguliwa ubunge Mbeya mjini,hilo si eneo la wanyakyusa?

Na je Mwanza nako,walikompa kura Wenje na Kiwia,nako utasema ni kwa wachaga?

Nako Kigoma kaskazini,aliokopata kura nyingi sana za ubunge,Zitto Kabwe,nako utasema kuna wachaga wengi kuliko waha?!

Hizo buku saba saba,mnazolambishwa hapo Lumumba,kwa kutangaza propaganda za magamba humu JF,zinawafanya mshindwe kabisa kupambanua mchele na pumba?!

Achana naye huyo mburula mkuu , yuko katika ile timu inayofahamika siku nyingi ya BUKU SABA FC !
 
Ya mrema kumkuta sita loohh salalee sitta kuwa mpole tu usije umbuka mjini hapa utakosa chumvi ya mchuzi
 
Namshauri aungane na Mrema wa TLP ajaribu bahati yake maana uchu wa kwenda Ikulu unamwehusha hadi kukosa mwelekeo sahihi wa kufika huko.
 
Nyie subirini mgombea binafsi aruhusiwe na katiba mpya.Kwani hamuoni kuwa hao wawili tayari ni wapinzani? Kuna thread ilisema mkuu keisha onyesha kumuunga mkono Tyson. Hapo unategemea wachekeane?? Ni Mbio za upresider hizo. Sisi hatuwezi wazuia kwa kutumia propaganda za kutumwa kupost JF. Huo ni mwazo na mengi yatakuja kutuwezesha kuchambua pumba na mchele. Demokrasia!
 
Acha propaganda zako za kitoto.

Nani amekwambia Chadema ni chama cha wachaga?

Hivi sugu amechaguliwa ubunge Mbeya mjini,hilo si eneo la wanyakyusa?

Na je Mwanza nako,walikompa kura Wenje na Kiwia,nako utasema ni kwa wachaga?

Nako Kigoma kaskazini,aliokopata kura nyingi sana za ubunge,Zitto Kabwe,nako utasema kuna wachaga wengi kuliko waha?!

Hizo buku saba saba,mnazolambishwa hapo Lumumba,kwa kutangaza propaganda za magamba humu JF,zinawafanya mshindwe kabisa kupambanua mchele na pumba?!

Nilisema ngoja Wachaga Waamuke,nikiamanisha Wachaga wengi wako juu kwa Ubishi,wewe Unaleta habari ya Chadema hapa? Sikusema kuwa ngoja Wachaga(Chadema) waamke! Napata hisia kuwa mna jihami sana kuwa Chadema ni Chama Cha Kichaga??? Au lisemwalo lipo?
 
Wassira na Sitta hawana haja ya kukumbushana muda wa kujiuzulu kwasababu soon ccm inakufa by 'natural death' na wao wakiwa humo-humo ndani watakufa pamoja nayo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mzee amenena kweli.
Miaka miwili iliyopita niliwaeleza wana jamvi mheshimiwa huyo ni mtu wa aina gani.
Kukosa yeye na genge la wahafidhina wenzake leo mtambo wa richmond ungekuwa wetu kwa bei ya kutupa, Tanesco isingekuwa na mzigo wa deni na kesi ambayo ni matokeo wa msimamo wa wahafidhina na wapenda sifa na pengine leo gharama za umeme zisingekuwa hapa zilipo.. Jamaa anatafuta huruma macho yake yanaelekea 2015. Ushauri wa bure kwa mzee sita soma alama za nyakati yakhe halafu waswahili wanamsemo uendao 'usinyie kambi ambayo wewe mwenyew unalala.
 
Mimi nakubaliana na kauli ya Wassira! Sitta ndugu yangu usiwe mnafiki kama unataka mabadiliko ya kweli njoo CDM tuwakomboe Watanzania la sivyo utakuwa unafanya uchuuzi wa siasa! Huwezi kuchukia kitu na still ukabaki kama sehemu ya mfumo. Sitta unakikumbuka kitabu kinachoitwa The 'Beautyful' Ones are Not Yet Born kilichoandikwa na Ayi Kwai Armah? Ndani ya kitabu hicho kuna simulizi kuhusu ndege anayeiwa Chi chi dodo ndege huyo anachukia sana kinyesi cha binadamu lakini anapenda kula funza wanaotokana na kinyesi hicho! Kwa hiyo huwezi kuchukia uozo na still ukabaki kuwa sehemu ya uozo huohuo! That is sheer hypocrisy!
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).
 
Acha udini wewe! Ina maana JK anatumikia misikiti? Je hujui Jk ni rais wa Watanzania wote hata wale wasifuata dini za Waarabu na Wazungu? Acha uzuzu tumia akili!
Alichongea wassira yupo sahihi kwa 100% kwani Sitta miongon mwa wajenga dola sasa anapotoa shutuma kama hzo then aonyeshi suluhisho juu ya tatizo 2namuona n mnafki pia mbinu yake ambayo anatumia ili apate urais aje ku2mikia kanisa kama Nyerere ajue ameshndwa.
 
Kama kweli Wassira ni dume na anayo meno ya kung'ata na ya kuaminika tunategemea achukue hatua wala si porojo. Amwambie bosi wake amtimue kwani amevunja taratibu za uwajibikaji wa pamoja. Suala ni lumwondoa tu. Mambo ya kuseea pembeni ni majungu hana tofauti ha huyo Mh. Sitta.
 
Back
Top Bottom