Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).
...jamani muoneeni huruma Sitta - Tangu mumwambie ajibadilishe jinsia - mambo yake yamekuwa ya kikekike tu! waswahili wanasema "maneno huumba". ndo hivo tena ameshakuwa sio riziki. mkimdispose leo ataenda wapi? CCJ si ilishakufa? maana Chadema walishasema hawamtaki mtu asiye na msimamo. kawaingiza watanzania mjini na hoja ya RICHMOND leo anajinadi nayo mtaani.
...Hapo kwenye red mkuu unamaanisha mbinu gani? zile za LIPUMBA za "kuokoa jahazi"? CHADEMA haina price tag kama CUF Mkuu. subirini kushughulikiwa tu.
 
Tangu Juzi nilisema huyu si ajiondoe serikalini tu?
 
Mzee SITTA kwa sasa amechanganyikiwa,na URAIS wa TZ atausikia tu kwenye bomba kama mwenzake Mzee MALECELA!
 
Uzuri wa Sitta haongeagi facts kwenye vikao rasmi vya serikali na chama,yeye hupita mitaani na kupiga kelele.MNAFIKI HUYU MZEE
 
C wote ni wachafu ndani ya Cicim, pamoja na mapungufu mengi wapo wenye uzalendo wa kweli na chama hicho.
 
Mh.Sitta na uzee wake ule anajishushia tu heshima yake,hapo halipo angebaki tu kuwa mshauri wa mambo ya siasa maana kutokana na umri wake sasa akili yake ime gain DIMINISHING MARGINAL CAPACITY OF THINKING,aige mfano wa wenzio hasa mzee Ruksa na mkapa walivyo kimya
 
Nani amekwambia Chadema ni chama cha wachaga?!
Jamaa kasema "ngoja Wachagga waamke."

Wewe unasema "nani kakwambia CHADEMA ni chama cha wachaga?"

Sasa tukuulize wewe, kwani nani kasema CHADEMA ni chama cha Wachagga?

Ambae ana equate CHADEMA na Wachagga hapa ni wewe!

Na swali linakurudia wewe, kwani wachagga wakiamka ndio CHADEMA wameamka?
 
Labda alikuwa anamaanisha wenye hii jamiiforum
 
Wassira amemwambia Sitta "kama unaona serikali inaendeshwa kwa rushwa jiuzuru", akaendelea kusisitiza, "huwezi kuwa kwenye serikali hiyo hiyo bado unaisema ni serikali ya kifisadi wakati na wewe ni sehemu ya serikali."

Wassira pia aliongeza yafuatayo, "huwezi kuisema serikali vibaya wakati na wewe ni sehemu ya serikali hiyo, vinginevyo ndugu Sitta aachie ngazi la sivyo huu utakuwa utapeli wa kisiasa".

Aidha, katika kuimalizia hoja yake hii aliuliza swali, "samaki mmoja akioza, wote wanaoza, sasa yeye (akimaanisha Sitta) atasalimika vipi?"

My take;

Mhe. Sitta nadhani ana hitaji kukopeshwa busara kidogo, katika hatua hii huwezi kujifanya una chukizwa na madudu ya serikali ambayo kwa kipindi chote hiki amekuwa akiitumikia, amekuwa sehemu ya serikali hiyo na kama akisema kuna madudu, na yeye tuseme ni miongoni mwa wazalisha madudu hayo.

Mhe. Sitta, kiu ya urais isikufanye uonekane kituko mbele ya watanzania, kuwa mpole na usubiri wakati muafaka, kwani tabia hizi za kuropoka ropoka ndani ya CCM hatunazo, tuwaachie hii tabia wasaka dola bila mbinu (CHADEMA).

Chanzo ni wewe mkuu? Ingekua vema ukatuwekea na chanzo!
 
Jf naona sheria siku hizi zimelega kidogo...habari kama hizi zisizokuwa na chazo zinafutwa haraka, na mleta mada anakula ban...haiwezekana mtu alala ashauriwe na mke/mume asubui asubui awai kuanzisha thread humu isiyokuwa na chanzo cha kuaminika...siku hizi watu wanajitungia tu habari na kuzileta humu...jamani hawa watu wanatuvurugia ustaarabu wetu wa kupashana reliable infomation...tutaitwa wadaku bure.
 
Jf naona sheria siku hizi zimelega kidogo...habari kama hizi zisizokuwa na chazo zinafutwa haraka, na mleta mada anakula ban...haiwezekani mtu ashauriwe na mke/mume asubui asubui awai kuanzisha thread humu isiyokuwa na chanzo cha kuaminika...siku hizi watu wanajitungia tu habari na kuzileta humu...jamani hawa watu wanatuvurugia ustaarabu wetu wa kupashana reliable infomation ...tutaitwa wadaku bure.
 
Back
Top Bottom