PreGE2025 Wasomi wanaliangusha taifa kwa asilimia kubwa

PreGE2025 Wasomi wanaliangusha taifa kwa asilimia kubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mama yetu yuko vizuri sana kwa kweli. Ni wazi ni mvumilivu na ana busara ya ajabu. Yaani akiongea ni nondo na facts tu kwa kwenda mbele. Inaonekana ni mtu anayependa kujisomea sana!👏👏👏

View attachment 3388334View attachment 3388339View attachment 3388341
Raisi wetu anaongeaga kama mkapa kwa heshima na utulivu huyu mama nilimpenda eti sana sema shida ni hii amenichukiza sana pale alipoanza kuhangaika na wapinzani . Hapo niacha kumpenda .

Yeye ni raisi angejichukua tu naangejiamini kuwa yeye ni raisi naningempigia kuraa tu kwa moyo ila sasa amenifanya ni mwone hajiamini. NO REFORM NO ELECTION
 
Sina ulazima wa kukwambia nimesoma wapi kwa ufupi wasomi wa nchi hii hawana utofauti na doto muuza magari ndo maana Msukuma uwa anawadharau sana wasomi
No Kweli wasomi wamefeli sana

Bahati mbaya na wanaharakati pia wamefeli
 
Back
Top Bottom