Wasomi wa Tanzania wengi, hawana uwezo wakushindana kimataifa kwakuwa Elimu yao ni ya maelekezo na ya kukariri .

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.

Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.

Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko la kimataifa la ajira . all I know they can't.

Ndo maana unakuta nchi haiendi mbele kwakuwa hatuna wasomi wa kweli na hatuna good thinkers .
 
Wasomi wapo ila wakisha jifungamanisha na CCM NDO huwa shida inaanzia hapo. Mwangalie Palamagamba wa enzi ya UDSM na katiba pendekezwa ya Warioba na Palamagamba baada ya kujiunga CCM,mwangalie Bashiru wa UDSM na Bashiru wa baada ya kujiunga CCM
 
Tanzania ina wasomi makini tu serikalini.

Dorothy Gwajima na Dr Kimei ni zao la serikali.

Uhalisia ni kwamba ‘Dorothy Gwajima’ wizara sijui ya nini aliyepo anaunga-unga tu; she is not a technocrat.

Lakini ‘Dorothy Gwajima’ kwenye management ya wizara ya afya ni another level, sijamskia wa level katika kusimamia hiyo wizara.

Dr Kimei kwenye banking finance, ni level nyingi.

Ili ujue thamani ya hao watu inabidi uwe na uelewa walau wa elementary level, halafu umsikilize Kimei kuhusu banking au uangalie video za Dr Gwajima akifanya trouble shooting ya huduma za afya, akiwa ana deal na mambo ya afya.

Hao watu ni mazao ya succession planning za serikali (nina uhakika) sampuli ya wataalamu hao wako kwenye karibu kila nyanja sio zote.

Ukija kwenye sheria, Lissu anajua administration laws tu. Sio mtaalamu wa sheria; yeye mwenyewe anamtegemea Amsterdam.

Siasa ndio kabisa, hafai (he is compromised) kwa sabotage aliyokuwa akijaribu kufanya kipindi cha sakata la makenikia.

Lissu hajui contract law.
 
Kimei -yupo vizuri Ila ana IQ ndogo Sana ndo maana kakosa hata ubunge na uwaziri miaka mitano.
 
Unakuwa vipi vizuri, ukawa na IQ ndogo.

Surely displayed ability has strong correlation na IQ.

Ukitaka kuona thamani ya mtu, walau uwe na abc ya discipline husika. In Kimei’s case inataka ujue shughuli ya banks na kuona akili yake (na wenzake) walivyoikuza CRDB. Kwa fikra za banking strategies (uwezi kumuelewa) kama hujui what banks do in nitty-gritty terms.

Ni sawa na Dorothy Gwajima ili kujua thamani yake walau uwe na abc za ‘health management’ sio wa mzaha-mzaha ata kidogo kwenye afya.
 
Usijitukane na kujidhslilisha wewe mwenyewe ovyo ovyo. Dunia nzima Elimu ni hiyo hiyo, ni jinsi unavyoitumia na fursa unazopata baadaye. Afisa Nyuki wa Togo na wa Olmotonyi na wa New Zealand ni hawo hawo na asali ni hiyo hiyo. Hii dhana ya kujidhrau wenyewe inapandikizwa na Wanaharakati kwa sababu za kisiasa.
 
Pia, ana Masters of Laws (LL.M) kutoka University of Warwick, UK,
And what did he specialise in his LLM?

What was his undergraduate degree?

Lissu kabla ya kuwa maarufu alikuwa TANAPA; wengi hamtaki kukubali ili.

Binafsi nimemuona ‘Tundu Lissu’ ujanani wake kwenye ‘BBC Nature Documentary’ kama expert contributor wa eneo la ‘ Olduvai Gorge’ akiwa mwajiri wa TANAPA.

Sielewi kwanini hii historia ya maisha yake (kama mwajiriwa) wa TANAPA anaificha.

Lissu ni mediocre lawyer tu.
 
Usijitukane na kujidhslilisha wewe mwenyewe ovyo ovyo. Dunia nzima Elimu ni hiyo hiyo, ni jinsi unavyoitumia na fursa unazopata baadaye. Afisa Nyuki wa Togo na wa Olmotonyi na wa New Zealand ni hawo hawo na asali ni hiyo hiyo. Hii dhana ya kujidhrau wenyewe inapandikizwa na Wanaharakati kwa sababu za kisiasa.
Ni kweli kabisa kuna jamaa yupo benki anaombaga ni msaidie kuomba kazi sijui ni wewe
 
Professor Mruma ni topnotch Geologist (hakuwa Mwanasheria) alisalitiwa na Wanasheria waliomsaliti kwa kutoa nyaraka za Mahakama za siri kwa Wanasheria wa mabeberu. Utakumbuka Tundu Lissu alipeleka nyaraka kuwasaidia mabeberu huku akijivuna hadi Rais Magufuli akalia? Hata Fatma Karume alisema Dr Mruma alionewa kwa vile Wanasheria walimsusia. Hata Leo wewe jiulize tu Tanganyika Law Society Iko upande gani na inaongozwa na na nani? Kuna jopo la Wanasheria 31 na zaidi clinamtetea Tundulissu dhidi ya Serkali unafikiri wanalipwa na nani? Familia zao ziko nje, unafikiri zinalipwa na nani? Usichanganyo Elimu na ushahidi, uwezo na Usaliti.
Mkuu nimesoma Uzi wako nikakumbuka profesa mruma kule mambele alivokaangwa na watasha.
Alisalitiwa na Wa
 
Unakuwa vipi vizuri ukawa na IQ ndogo.

Surely displayed ability has strong correlation na IQ.

Ukitaka kuona thamani ya mtu, walau uwe na abc ya discipline husika. In Kimei’s case inataka ujue shughuli ya banks na kuona akili yake (na wenzake) walivyoikuza CRDB. Kwa fikra za banking strategies (uwezi kumuelewa) kama hujui what banks do in nitty-gritty terms.

Ni sawa na Dorothy Gwajima ili kujua thamani yake walau uwe na abc za ‘health management’ sio wa mzaha-mzaha ata kidogo kwenye afya.
Ukiona MTU yupo above 60s Ila ameshindwa kuwa creative anakomaa na siasa tu ujue is best for nothing.
 
Siwezi bishia hivyo statement yako; ila justification yake sahihi au la? Inataka maelezo zaidi.

Vipi kama keshafanya makubwa mengine kwenye kazi za kitaalamu; ila muda wake uliobaki anataka kutumikia watu wanaomzunguka.

That’s another debate, you could be right but it requires justification.
 
Unatoka kucheza Yanga unaenda kumalizia maisha yako ya mpira katika NDONDO CUP za mtaani .

Nilitegemea angetoka CRDB na kufanya mambo tofauti Ila is good for nothing.
 
Msomi ambaye hajisomei nje ya box hata kama ni mzungu hana uwezo wa kusimama kutetea usomi wake nje ya kasha.

Elimu ni kile kilichobaki baada ya kusahau uliyofundishwa. Wanaokariri KWA ajili ya mtihani wanasahau KWA haraka na kubaki elimuless
 
Unatoka kucheza Yanga unaenda kumalizia maisha yako ya mpira katika NDONDO CUP za mtaani .

Nilitegemea angetoka CRDB na kufanya mambo tofauti Ila is good for nothing.
This is a simple conclusion, value of activity is based on personal fulfilment at their point in life.

If you ask me, ningependa kuona Kimei anasaidia kuandaa mitaala ya degrees za finance based on his experience and knowledge.

Lakini sina mamlaka ya kumuamulia what makes him happy, hiyo ni personal choice yake at his stage in life.

Sasa akiamua kugombea ubunge, ashinde au ashindwe based on rules of engagement za hiyo nafasi; aimuondelei uelewa wake mkubwa wa maswala ya banking.
 
Back
Top Bottom