Wasomi na kiingereza

naongea technical English,

You are in spot of bother, innit? Cat got your tongue, has it?
Giz a butchers at than then will you?
You ain't got bottle to do it, have you?
 
Kwani mkuu we elimu yako umeipata humu nchini?? Nakama ndio vip huko chuon ulikuwa huoni madhaifu haya kwa mates wako?? Elimu ya kibongo mtu akosee kingereza afu umshangae kweli?? You won't be serious?
 
You are very poor in punctuation. John Pombe Magufuli is a person's name, hence a proper noun which can not start with a small letter.
There should be a full stop after 2020.
The quotation marks on the word unfair should be ( ' ) and not ("). You can only use ( ") in a second quotation.
There should be the letter 'a' before few Tanzanian.
Your use of commas and full stops leaves a lot to be desired.
 
12 Apr 2020
Mwakyembe - "Tanzania sasa ina wasomi wanaojua Kiingereza nusunusu na Kiswahili nusunusu".

Makosa ya wasomi wasiokimudu Kiswahili wala Kiingereza

Tanzania sasa ina wasomi wanaojua Kiingereza nusunusu na Kiswahili nusunusu. – Waziri Dr. Harrison Mwakyembe. Hii ni mifano ya makosa utakayosikia kutoka kwa wasomi kama hao.....

Source : Durusu Kiswahili
 
Kingereza ni lugha ya wenyewe ww unamuongelesha ya nini??? Ukiongea naye kiswahili hakuelewi????
 
Okay
 
Kingereza ni lugha ya wenyewe ww unamuongelesha ya nini??? Ukiongea naye kiswahili hakuelewi????
Kama lugha ya wenyewe wanaisomea nini
Kiingereza ni lugha ya dunia
Ulishawahi funua vitabu vya aanafunzi sekondari na chuo?
 
Kwani mkuu we elimu yako umeipata humu nchini?? Nakama ndio vip huko chuon ulikuwa huoni madhaifu haya kwa mates wako?? Elimu ya kibongo mtu akosee kingereza afu umshangae kweli?? You won't be serious?
Sijagraduate chuoni japo nimeingia
Sasa hao waliofika mbali wengine degree hadI masters ndo nashangaa
Kwahiyo unatak a kuniambia elimu ya tz ni kiwango duni sana kiasi kwamba mtu asome miaka zaidi ya 16 na asielewe alichofunsishwa?
 
Labda tatizo ni viwango vya kuelewa...ama uzingatiaji wa wanachofundishwa
Unakuta shule hiyohiyo moja anatoka mmoja yuko fluent mwingine hajui
Halafu kiingereza hata usome kayumba misingi yake inaanzia huko
Mfano chekechea wanafundisha numbers,matumizi ya this,that,kufahamu vitu KWA kiingereza mfano sabuni-soap
Embe-mango etc

Sasa kadri unavyopanda ndo mafunzo yanapanda mfano wakifika la saba utakuta wanafundishwa tenses,past tense,future tenses.sasa wakizingatia hapa tayari wamejua,wanavuka wanapenda secondary huko ndo kiingereza tupu kwenye kitabu..
Chuo miaka kibao

Mtu anamaliza masters kuandika paragraph ya kujieleza wanapata ugumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…