William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Its obvious you are speaking with passion na ushabiki. Ume lalamikia wanao taka Malecela aondoke simply because of age, fine thats understandable. Ambacho sielewi ni wewe una tofauti gani na hao? Maana hata wewe hauja toa hoja. Hauja sema nini mafanikio ya Malecela jimboni mwako. Sasa kama hauja sema ni kafanya kustahili kubaki na unamtetea na wewe si mshabiki tu? If you feelstrongly about Malecela & if your support is driven by facts rather than passion then I don't see why it would be hard for you kutaja mafanikio ya Malecela. Kama hauwezi kutaja mafanikio yake basi huna haki ya kumlaumu yule anaye taka aondoke simply because of his age.
Wazee wengi wana uroho wa madaraka hususani waliopo CCM. Kazi ya ziada ya kuwatoa inahitajika.
- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu?
FMEs!
- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu? Wewe toa maoni yako na mimi ninaeka yangu mpaka asubuhi, kama huwezi waachie wanaoweza!
FMEs!
Jumanne kawa mbunge mtera miaka 19 sasa.....kafanya nini bana cha maana mpaka wananchi wa mtera waingie mkenge wamchague......wana mtera sio wajinga tena- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu? Wewe toa maoni yako na mimi ninaeka yangu mpaka asubuhi, kama huwezi waachie wanaoweza!
FMEs!
Umerithishwa propaganda? No wonder juzi Jumanne alikuwa akiwadanganya wananchi wa Busanda kuwa atawajengea barabara, geeez!!
mkuu eti haya ndio mafanikio ya Jumanne kwa miaka 19 awe mbunge wa Mterawapi umetaja hayo mafanikio ya J4? link please...
- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!
Ahsante.
William.
haya ndio mafanikio ya Jumanne kwa miaka 19 ya ubunge wa mtera?
- Mzee alikuwa Nairobi kwenye kutano wa wakuu wa vyo wa EAC, sasa yuko Busanda, akimalzia tu safarini UK na US, ndio atarudi kwenye uchaguzi wa jimbo.
FMEs!
Basi kama una haki ya kutoa maoni yako na wengine wana haki ya kumkataa Malecela simple because ya umri, si na wao wana haki ya kusema? unasema una haki ya kutoa maoni yako mwenye kisha una lalamika mwenzio akito maoni kuwa aondolewe simply because ya umri HAHAHAHAHA.
Na basi toa ushahidi wa hayo mafanikio maana kama kweli kaweza kufanya yote hayo basi ushahidi hauwezi kukosekana.
-Umesema hatuna sheria ya umri, ambalo ndio ksoa kubwa la Malecela kuwa mbunge tena, sasa naomba utaje maksoa yake mkuu badala ya kulilia haki yangu kumtetea, sheria uemsema wmenyewe kwamba haina tatizo naye sasa sema kosa lake katika jimbo la Mtera? Hizi longo longo haziwasaidii wananchi wa jimbo la Mtera!
FMEs!
haya ndio mafanikio ya Jumanne kwa miaka 19 ya ubunge wa mtera?
Amemema kafanikiwa kuweka zahanati kila kata bwana na Tanzania nzima ni yeye kaweza. I guess hata JK angeweza kupewa miaka 19 kuongoza nchi hilo lisinge mshinda. Mtu kakaa 19 years & all you can say in his defence ni zahanati? 19 years and thats all he has done na unamsifia?
- Kelele za mlango!
FMEs!
- Wewe umerithishwa na nani mkuu hizo propaganda zako? unachekesha sana bwa! ha! ha!
- Mzee alikuwa Nairobi kwenye kutano wa wakuu wa vyo wa EAC, sasa yuko Busanda, akimalzia tu safarini UK na US, ndio atarudi kwenye uchaguzi wa jimbo.
FMEs!
Mzee Jumanne malecela ana ekari 300 huko kongwa ni wakati sasa akasimamie mashamba yake...
- Mkuu naomba unitajie jimbo lingine unalolijua lenye hayo kama Mtera, then utakua na haki ya kubeza maendeleo ya Mtera
- wakuu naomba kupumzika maana hamna hoja, tunaishia kujaza pages for nothing sasa ngoja niwaachie, later!
Resepct!
FMEs!