Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Mafanikio ya kanisa mimi mpagani yananisadia nini?Ungeanalyse jinsi gani ubunifu wake ulivyolisaidia TAIFA .
Usijitoe ufahamu kwa kuamua kuwa mpuuzi. Ukiona ubongo wako uko hovyo urutubishe kwa kusoma post zenye maana za wenzio. Slaa aliweza kuiongoza taasisi ya kanisa akaipa mafanikio. Kwamba haikukusaidia hilo liko nje ya uwezo wake. Lakini imani huja kwa kumlinganisha mtu aliyefanikiwa kulea watoto wawili, ukimwongezea wengine wawili itaamini hatayumba. JK ameiacha chalinze haina hata shule ya sekondari achilia mbali Lugoba ambayo alisoma middle school
Ona sasa sarakasi na mabreka anayocheza ikulu. Slaa ni tofauti, kanisani supa, jimboni supa sana na tukimpa nchi ndo supa zaidi