TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
ni matusi kumuweka slaa mbele ya mbowe na zitto. slaa hana uwezo hata wakuwa kiongozi wa kanisa ndio maana alitimuliwaHata kwenye utafiti huwa researcher anatoa mwanya kwa kile kinachoitwa open for further research (yaani ni wazi kwa utafiti mwingine). kama mleta thread unaona kuna kitu kaacha basi na wewe inaonyesha ana akili na wewe una akili na uwanja sasa ni mpana uongeze unachoona kingeingia kwenye mjadala. Usimlazimishe kile ambacho hakikuwa kwenye hypothesis yake. Halafu huenda unachotaka aongeze sio relevant kwa mada aliotaka kuleta