Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

Hili ndio niliolokuwa nikiwaambia watu mtaani.

Kama kila mtu anaona hali ya nchi ilivyokuwa mbaya na kutamani kuona walau mtu yeyote anajitokeza wa kutuokoa hapo tulipo lakini kila tumaini linaloonekana kututia nguvu linazimika kama mshumaa na kuwapa ushindi watesi wanaozidi kutukandamiza kupitia nguvu ya madaraka.

Halafu hapo hapo unawaza eti kuna stori za Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote, yupo kila sehemu, Mungu huyo anayaona haya yote lakini hachukui hatua yeyote zaidi zaidi tunaona watu wema ndio wanazidi kuwa wahanga na kuwindwa kama kuku na kuuliwa halafu Mungu ni kama haya yanayofanyika anayachukulia kama sinema inayomfurahisha.

Kisha watu hao ambao ni wahanga ikifika ijumaa, jumamosi na jumapili wanaenda kumtolea sadaka Mungu huyu eti wanashukuru kwa yote. Huu ni ujinga tena ujinga wa kiwango cha juu sana.

Haiwezekani jambo ambalo katika maono tu ya kiutu tunaona halifai lakini eti tunaamua kujipa upofu wa fikra wa kutoona tatizo kwenye hii dhana ya Mungu mwenye upendo wote na nguvu zote ya kuepusha haya mabalaa, akayaacha tu yatendeke na kwamba hastahili lawama kwasababu ni perfect being.

Mungu huyu hastahili kabisa kupewa sifa hizo kwasababu ni miongoni mwa sadist.
Jay z anakwambia life start when church End kwamba unapotoka kanisani kuta za kanisa ukazimaliza maisha lazima Ujimbanie Usiubiri Mungu akupambie Kuna kipindi anakwambia Mliua Juses muanzishe Dini Sometimes za kuambiwa changanya na zako
 
Kujadiliwa sio tatizo , nimeona mijadala mingi tu zaidi ya hiyo
Ni kweli kuna mijadala mingi tu si hapa JF hata kwenye platforms nyingine nyingi tu za wasomi wa nyanja tofauti ipo mijadala hiyo, ndiyo maana nikakuwekea link za baadhi ya kauli za wanasayansi wa dini mbili kuu (Islam & Christianity) kuhusu imani, dini au uwepo wa Mungu.
Binadamu hatuwezi kuwa sawa katika fikra zetu tu, lakini kimaumbile tupo sawa ndiyo maana daktari wa ngozi huwa anawatibia weusi na weupe kwa kuwa ngozi zetu zina asili moja.
Umeshawahi kuhisi jambo baya linataka kukutokea halafu sekunde ya mwisho unaepukana nalo, hapo nafsi inashukuru hata kama huamini unayemshukuru.
 
Sijaki hiyo mijadala na wala sitaisoma , kama una amini wewe amini tu kivyako ukitaka kusema imani yako ni kweli Thibitisha ukweli wake
 
Jay z anakwambia life start when church End kwamba unapotoka kanisani kuta za kanisa ukazimaliza maisha lazima Ujimbanie Usiubiri Mungu akupambie Kuna kipindi anakwambia Mliua Juses muanzishe Dini Sometimes za kuambiwa changanya na zako
Jibu rahisi la haya yote ni Mungu hayupo basi. Tukiishi kuamini hivi tutaweza kutatua mambo mengi ambayo awali tuliweka utegemezi kwa kitu ambacho ni cha kufikirika tu.
 
Polepole alisema yeye haogopi kudakwa analindwa na Mungu wa mbinguni.

Halafu kadakwa.

Bado mnaamini Mungu yupo?

Za kuambiwa changanya na zako.
Kwani wewe ulisema unaenda kunisaidia chooni ukaingia ni kweli unajisaodoa je kama unanyetuka? Tutajuaje
 
Thibitisha Mungu yupo.

Kutunga kwako hadithi kwamba Mungu yupo hakumfanyi awepo.

Kuna hadithi nyingi tu zina charactwrs wa kutungwa ambao nje ya hadithi hizo hawapo.
Majibu kwangu HUPATI!

Endelea kuhangaika kutafuta, kwangu HUPATI.
 
Kushindwa kwako kumuelewa MUNGU na hali zilivyo duniani hakumfanyi kuwa hayupo.

MUNGU wetu aliye nje ya muda YUPO kabla hata ya huo muda kuwepo, na atakuwepo milele.

Chunguza watu wengi wanaomkataa MUNGU, wanakataa viwango vyake..

Also they think they are better than their creator: wana akili zaidi, wana Upendo sana. Yani bora wao ndo wangekuwa MUNGU things would've been so much better!

Na kwa taarifa yako ukishamkataa MUNGU hiyo akili ya kumuelewa na kuelewa neno lake hutoipata kamwe.

Utalisoma neno kama unasoma Four Figure. Utaona maruweruwe tu.

Utajaza vitabu kuchambua neno la MUNGU na itakuwa ni uji tu wa sembe: hakuna kitu.

Wanaomtegemea Polepole awaokoe neno la MUNGU lishasema wamelaaniwa.

BTW ni MUNGU kamchukua au ni hao wasiomuamini MUNGU wamemchukua?

Embu chambua data vizuri.

Ndo uone matumizi ya free will: people freely choosing to hurt innocent people.

The LORD calls for the endurance of his saints as the opposers of GOD practice their free will.

Our ultimate reward is not in these 80 years of life.

What do you think GOD will do to these evil people on the day when everyone will account for all they did?
ALIGN BTW - By The Way
 
Mimi leo kuna dada wa kiislam kanilima block whatsapp kisa nimepost kusema Mungu hana msaada wowote kwa wanadamu.

Alikuja inbox amewaka kwa hasira nikaweka hoja mezani akashindwa kujibu akakimbilia kusema ananiblo k sababu hataki wajinga kwenye simu yake.

Nami nikasema kwenda mwana kwenda...
 
Tatazio sio polepole kuamini Mungu , tatizo inakuaje Mungu mueza wa yote na mwenye upendo kuacha kumlinda mwanae .

Kuamni Mungu wala sio tatiz

Bwashee hata Yesu nae alitekwa na akateswa itakua Polepole,

Sometimes you have to go through the hard way to reach the good way.
Tena alikuwa anapigika baba yake anaangalia tu ,licha ya yesu kusema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha!!
 
Majibu kwangu HUPATI!

Endelea kuhangaika kutafuta, kwangu HUPATI.
Soyo sipati.

Huna majibu.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo mmemuungaunga kutoka kwenye hadithi tu.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha yupo.
 
Mimi leo kuna dada wa kiislam kanilima block whatsapp kisa nimepost kusema Mungu hana msaada wowote kwa wanadamu.

Alikuja inbox amewaka kwa hasira nikaweka hoja mezani akashindwa kujibu akakimbilia kusema ananiblo k sababu hataki wajinga kwenye simu yake.

Nami nikasema kwenda mwana kwenda...
Hoja yake inaji contradict.

Kwa sababu, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, kusingekuwa na mjinga yeyote duniani.

Mungu huyo anatakiwa kuwa mzuri sana asingeruhusu ujinga uwezekane.

Kwa hivyo, kama kweli wewe ni mjinga sana kweli, huo nao ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.
 
An Opium of the Mass - Shida zinavyozidi ndio Imani inazidi a defense mechanism to cope with what you can't comprehend or conquer...

Now with that loophole kwenye argument hata mtu apatwe na nini hawezi kuchomoka kwenye Imani.. (Hizi imani sababu zina majibu kabla ya tendo; kwahio hata after the fact zitatafuta jibu kuendana na Imani na sio vice -versa); Hivyo kama it makes you sleep better at night - Power to You, and All the Best who am I to Say Otherwise....
Ukweli mchungu, tafiti zote duniani zinaonyesha vipindi vigumu katika maisha ndipo watu wanakuwa wa kidini zaidi!, Ndio maana hata huko Marekani na Ulaya watu wanarudi kwenye dini kwa kasi tangu kuanza kwa misukosuko ya corona, vita vya Ukraine na Israel, kuongezeka kwa wahamiaji, identity politics na misukosuko ya siasa iliyofuatia kutokana na mambo haya.
 
BWANA wetu YESU kasema MBWA wasipewe. Mbwa HAWAPATI. Mtabaki kubweka tu woo woo, HATUWAPI.
 
Mimi leo kuna dada wa kiislam kanilima block whatsapp kisa nimepost kusema Mungu hana msaada wowote kwa wanadamu.

Alikuja inbox amewaka kwa hasira nikaweka hoja mezani akashindwa kujibu akakimbilia kusema ananiblo k sababu hataki wajinga kwenye simu yake.

Nami nikasema kwenda mwana kwenda...
Kuna baadhi ya wafia dini huwa ni watu wenye hasira sana ukigusa dini zao, kuna siku kwenye daladala dereva alizua zogo kubwa sana baada ya kuweka audio clip ya vijana fulani wa Arusha wanaoitwa wachokonozi waliokuwa wanaongelea jinsi watu dini wasivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko na wanavyoamini mambo kwa mkumbo tu.
 
👇👇
 
Attachments

  • clemence_mwandambo-20251009-0001.mp4
    20.9 MB
Kuna baadhi ya wafia dini huwa ni watu wenye hasira sana ukigusa dini zao, kuna siku kwenye daladala dereva alizua zogo kubwa sana baada ya kuweka audio clip ya vijana fulani wa Arusha wanaoitwa wachokonozi waliokuwa wanaongelea jinsi watu dini wasivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko na wanavyoamini mambo kwa mkumbo tu.
Yaani inashangaza kweli...

Hii imenitokea mara kadhaa ila baadae huwa wanarudi na kukubaliaba kuwa kila mtu abaki na anachokiamini. Ngoja nione huyu kama naye atarudi au vipi.
 
Back
Top Bottom