Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 734
- 1,218
Kuamini hakufanyi kitu kuwa halisi, hata zamani waliamini dunia ipo katikati na vyote vinaizunguka, galileo akaja kusema hivyo vyote ndio vinazungukia jua viongozi wa dini kwa ushirikiano na utawala wakannyongelea mbali
Sijui aliyeleta imani ni nani, mtu anatilewa hospitali anapelekwa kwenye maombi apone, anakufa bado watanzania wanaendelea na imani inaponya na huku wamethibitisha mtu amekufa kwa imani hyo hyo.
Mungu ni dhana za kufikirika sawa na shetani mbingu na kuzimu. Hizi ni plan za wajanja wajanja fulani kikundi fulani kutafuta ugali. Hawana tofauti na kikundi cha ccm kuaminisha watu wao ndio watawala wakitoka wao ni hakuna amani wala maisha