Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

Hivi duniani kuna mtu katili kuliko mimi na mwema kuliko mimi ...Polepole yupo salama tu zaidi ya purukushani za kumkamata hakuna anacho teswa.....leta mil200 niwaondoleeni samia
Akili za bange na betting zimechanganyika hapa.
 
Kushindwa kwako kumuelewa MUNGU na hali zilivyo duniani hakumfanyi kuwa hayupo.

MUNGU wetu aliye nje ya muda YUPO kabla hata ya huo muda kuwepo, na atakuwepo milele.

Chunguza watu wengi wanaomkataa MUNGU, wanakataa viwango vyake..

Also they think they are better than their creator: wana akili zaidi, wana Upendo sana. Yani bora wao ndo wangekuwa MUNGU things would've been so much better!

Na kwa taarifa yako ukishamkataa MUNGU hiyo akili ya kumuelewa na kuelewa neno lake hutoipata kamwe.

Utalisoma neno kama unasoma Four Figure. Utaona maruweruwe tu.

Utajaza vitabu kuchambua neno la MUNGU na itakuwa ni uji tu wa sembe: hakuna kitu.

Wanaomtegemea Polepole awaokoe neno la MUNGU lishasema wamelaaniwa.

BTW ni MUNGU kamchukua au ni hao wasiomuamini MUNGU wamemchukua?

Embu chambua data vizuri.

Ndo uone matumizi ya free will: people freely choosing to hurt innocent people.

The LORD calls for the endurance of his saints as the opposers of GOD practice their free will.

Our ultimate reward is not in these 80 years of life.

What do you think GOD will do to these evil people on the day when everyone will account for all they did?
Thibitisha Mungu yupo.

Kutunga kwako hadithi kwamba Mungu yupo hakumfanyi awepo.

Kuna hadithi nyingi tu zina charactwrs wa kutungwa ambao nje ya hadithi hizo hawapo.
 
Umefika hapo kwa kuwa ulikuwa na matarajio mengine na kilichotokea ni tofauti “Expectation is the root of heartache.”
Suala la imani ni suala la mtu binafsi. Upo huru kuamua katika unachokiamini au kutoamini.
Tatizo kubwa kuwa tusijiingize kwenye matatizo halafu tukamsingizia Mungu aje kutuokoa.
Kila mtu atavuna alichokipanda.
Thibitisha uwepo wa Mungu
 
An Opium for the Mass - Shida zinavyozidi ndio Imani inazidi a defense mechanism to cope with what you can't comprehend or conquer...

Ndio maana hata ukiambiwa kwamba dunia itakwisha Kesho kutwa basi usishangae Kesho Makanisa / Misikiti na Mahekalu yakajaa kuliko Mabar na Kumbi za Starehe..; After all kuna loophole inayosema kwamba unapata majaribu / kujalibiwa (hadi kuna hadithi ya Shetani kumjaribu Job kwa Makubaliano na Mungu)....

God allowed Satan to kill Job's ten children and destroy his possessions, but Satan was forbidden by God from taking Job's own life or the life of Job's wife. Job's wife is a significant but unnamed character who, after the tragedies, tells Job to "curse God and die".

Now with that loophole kwenye argument hata mtu apatwe na nini hawezi kuchomoka kwenye Imani.. (Hizi imani sababu zina majibu kabla ya tendo; kwahio hata after the fact zitatafuta jibu kuendana na Imani na sio vice -versa); Hivyo kama it makes you sleep better at night - Power to You, and All the Best who am I to Say Otherwise....
 
Yani huyo Mungu anatolewa maelezo tofauti tofauti tu kuliko yeye avyojieleza ,yani ukiyatoa maelezo ya watu wote hata huyo Mungu hawezi jieleza kabisa.
Duuuh........

IMANI NDO KILA KITU, AMINI UTAONA CHANGES IN REAL WORLD
 
Kushindwa kwako kumuelewa MUNGU na hali zilivyo duniani hakumfanyi kuwa hayupo.

MUNGU wetu aliye nje ya muda YUPO kabla hata ya huo muda kuwepo, na atakuwepo milele.

Chunguza watu wengi wanaomkataa MUNGU, wanakataa viwango vyake..

Also they think they are better than their creator: wana akili zaidi, wana Upendo sana. Yani bora wao ndo wangekuwa MUNGU things would've been so much better!

Na kwa taarifa yako ukishamkataa MUNGU hiyo akili ya kumuelewa na kuelewa neno lake hutoipata kamwe.

Utalisoma neno kama unasoma Four Figure. Utaona maruweruwe tu.

Utajaza vitabu kuchambua neno la MUNGU na itakuwa ni uji tu wa sembe: hakuna kitu.

Wanaomtegemea Polepole awaokoe neno la MUNGU lishasema wamelaaniwa.

BTW ni MUNGU kamchukua au ni hao wasiomuamini MUNGU, mkuu samahani BTW kirefu chake nini?
 
Kuamini kuwa Mungu yupo ni imani na imani haihitaji uthibitisho.
Ukidai yupo kwenye uma kama huu utahitajika uthibitisho wa uwepo wake mkijifungia huko makanisani na misikitini mwenu wala hakuna atakae dai uthibitisho.
 
Okay nimekufahamu sasa, lakini tunaweza tuka-divert mada na kuweza kuuharibu uzi wa watu. Nadhani zipo nyuzi kibao zenye mada hii ya uwepo wa Mungu na zimechangiwa na kila mwenye kuamini Mungu na asiyeamini. Ingetosha kuridhika kupitia kwenye link hizi:-
 
Kujadiliwa sio tatizo , nimeona mijadala mingi tu zaidi ya hiyo
 
Thibitisha Mungu yupo.

Kutunga kwako hadithi kwamba Mungu yupo hakumfanyi awepo.

Kuna hadithi nyingi tu zina charactwrs wa kutungwa ambao nje ya hadithi hizo hawapo.
Wewe zuzu bado tuunabisha kuhusu mungu ...tumia akili zako vizuri
 
Back
Top Bottom