Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
View attachment 3485166
Mbona MUNGU ameshafanya yake tayari
TANZANIA mpya imeshakuja katika ulimwengu wa ki roho ni suala la muda tu kuthibitika katika ulimwengu wa ki mwili.
Utendaji kazi wa MUNGU SI kama wa binadamu.
Mungu kabla hajakupiga ni lazima akuonye kupitia watu wake, MUNGU kabla hajashusha hasira yake huruhusu kiburi,majivuno na kujikweza Ili anapojilipizia na ijulikane kwamba hakika yupo MUNGU.
Watu wengi hukata tamaa na kujitamkisha maneno ya kumuudhi MUNGU lakini yeye anajua ni Lini na saa ngapi atampiga Ahabu,yes pale binadamu anaposhindwa kujitetea mpaka kiwango Cha mwisho kabisa ndipo mkono wa MUNGU unapoonekana.
IMEKWISHA
 
Kwa hiyo Polepole yamemfika hayo yaliyomfika coz alikua anaamini kwa Mungu?

Kwahiyo asingeamini Mungu yasingemfika hayo yaliyomfika?

Kwahiyo wale wasioamini Mungu,wao hua hawapati matatizo?

Kama huamini uwepo wa Mungu,kwanini uamini kua Polepole kakamatwa coz alimuamini Mungu?
Tatazio sio polepole kuamini Mungu , tatizo inakuaje Mungu mueza wa yote na mwenye upendo kuacha kumlinda mwanae .

Kuamni Mungu wala sio tatizo
 
Bwashee hata Yesu nae alitekwa na akateswa itakua Polepole,

Sometimes you have to go through the hard way to reach the good way.
 
"Mungu kabla hajashusha hasira yake"

Hasira hukaa moyoni mwa mpumbavu , mhubiri 7:9.
 
Kwani huyo yesu ni nan Bwashee ? Kila siku maelfu ya watu wanateseka , leo watoto wa Palestine wanapitia mateso kwa sababu ya taifa fulani wanaojiona wao ni wateule wa kipekee , kama muumini wa Mungu ni maskini ,mnyonge na dhaifu tu ,kama vile ambae hamwamini huyo Mungu , sasa faida ya kumwamini ni ipi ?
 
Tatazio sio polepole kuamini Mungu , tatizo inakuaje Mungu mueza wa yote na mwenye upendo kuacha kumlinda mwanae .

Kuamni Mungu wala sio tatizo
Coordination ya MUNGU haipo hivyo.
MUNGU hufanya kazi zake SI kama binadamu adhaniavyo,ndani ya wiki 3 tu utapata majibu wewe mwenyewe namna MUNGU alivyo mkuu.atalisaga lile Jiwe pale juu ya kilele na Kila ulimi utataja jina la BWANA
 
Maneno ya kimani tu hayo.
 
"Mungu kabla hajashusha hasira yake"

Hasira hukaa moyoni mwa mpumbavu , mhubiri 7:9.
Yakobo 1:29
19 Ndugu wapendwa, fahamuni jambo hili: kila mtu awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema wala kukasirika. 20 Maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.

Isaya 5:25
Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwawakia watu wake, akaunyosha mkono wake dhidi yao, akawachapa, hata milima ikatetemeka, maiti zao zikawa kama takataka katika barabara za mji. Hata hivyo, hasira yake haikutulia, mkono wake bado ameunyosha kuwaadhibu.
 
🚮
 
🙏
 
Mungu huwapambania wale wanaojipambania, wewe endelea kufikiri kuwa hii dunia ilijianzia yenyewe, endelea kufikiri kuwa huu ulimwengu ulijianzia wenyewe. Kama tusipoamka na kujipambania tutaishia kulaumu bure.
 
Endelea kufikiria pia huyo Mungu kajianzia mwenyewe tu
 
Bado haitabadilisha kitu wewe kutoamini Mungu yupo, Mungu yupo hata kama hajafanya vile tunataka wewe.
 
Kwa hiyo Polepole yamemfika hayo yaliyomfika coz alikua anaamini kwa Mungu?

Kwahiyo asingeamini Mungu yasingemfika hayo yaliyomfika?

Kwahiyo wale wasioamini Mungu,wao hua hawapati matatizo?

Kama huamini uwepo wa Mungu,kwanini uamini kua Polepole kakamatwa coz alimuamini Mungu?
Hata hujaelewa nnachomaanisha
 
Back
Top Bottom