Unaisoma namba 😀
Na Kiini macho ndo nini?
Kwahiyo mkuu hadi haya madini wanayoendelea kuchukua sasa ni kwa kupitia dini pia?Sina Nidhamu ya uoga na vitu ambavyo vimetufanya tuwe watumwa mpaka sasa. Walituletea dini wakaondoka madini
Ni macho yenye kiini kama inavyoonekana avatar yako.Na Kiini macho ndo nini?
Hivi unasoma unachokiandika?,nani analeta porojo hapa,Umeshasema mwenyewe yale ni mazingaombwe afu bado unataka tukueleze yanavofanyika,Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza kukatwa kichwa na kikaungwa tena?umesoma hata basics of biology kweli?TUNATAKA KUJUA VITU VINAVYOFANYIKA MPAKA MTU ANAKATWA KICHWA LIVE BILA CHENGA, NA MUDA MFUPI KINARUDISHWA VILE VILE,,, HIZO POROJO TUMEZICHOKA
Hahahahaa nimefungua uzi kwa shauku kubwa nikitaka kuchekecha akili kwa swali lililoshindikana Dunia nzima kumbe upuuzi mtupu.Swali lililoshindikana dunia nzima liko wapi?
Hahahaaa...... kwani avatar yangu ina tatizo gani Mkuu?Ni macho yenye kiini kama inavyoonekana avatar yako.
UMESHAKIRI MWENYEWE KWAMBA HAUJUI KINACHOFANYIKA...kwahiyo kaa pembeni,Hivi unasoma unachokiandika?,nani analeta porojo hapa,Umeshasema mwenyewe yale ni mazingaombwe afu bado unataka tukueleze yanavofanyika,Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza kukatwa kichwa na kikaungwa tena?umesoma hata basics of biology kweli?
Au neno 'Magic Trick' ndo linakusumbua?Zile ni tricks/uongo!hata wewe ukijifunza utaweza.Yani kwa akili yako timamu unataka science ikuprovie tricks?Yani ata unachoandika kinadhihirisha huelewi ulicho andika!na kama hujui nini maana ya 'Trick' huoni kama umeleta post porojo,nina fikiri ,"ACHA KUPOST POROJO, POROJO TUMEZICHOKA" umejiambia mwenyewe
Siku nyingine usipost kitu husichoko kielewa,ungeeleweka zaidi kama ungekuja uliza ,"Je,Magic Tricks zinafanyajwe?",na swali hili binafsi siwezi jibu maana siwezi jua,sababu mimi sio mwana mazingaombwe,and as far as i'm concerned ,mtu hawezi kukufundisha tricks zake zinazomuingizia ugali na kupagawisha watu kama nyinyi ,maana kutakua hakuna maana ya trick tena kama anachofanya kila mtu anajua kinafanyweje
MKUU, pilau kugeuka mchanga Inamaana bado tu haujajua nyuma ya pazia kuna nini!???Kwenye mazingaombwe mungu hausiki na hakuna ktu anakatwa kiwiliwili wala shingo na hakuna pilau inayotengenezwa kwa mchanga wala nini. Ile ni just an art kama sanaa zingine menda youtube uone baadhi ya clip zinazoonesha baadhi ya technical screets za magician, utagundua hao wote wa mazingaombwe ( magician) eanatudanganya tu , sema wao huwa wanaupeo mkubwa, na ukitaka kuamini mwembie magician asitumie vifaa vyake bali mumpatie vyenu, lazima atahairisha show. Rai yangu watanzania tuwe wadadisi