einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,685
Tatizo lako lipo hapa,unauliza maswali ambayo kiukweli yapo nje ya uwezo.Mimi si mwanamazingaombwe!Je, mchanga kugeuzwa pilau?
hii unaionaje mkuu?
Jambo la msingi kutambua ni kwamba 99.999% ya mazingaombwe ni janja tu[tricks].Mfano hiyo ya mchanga kuwa pilau
Hakuna mchanga unaoweza kuwa pilau,
Inawezekana kabisa mchanga huo huo unaotumika ukabadilika rangi inayoshabihiana na rangi ya pilau.
Sasa hadhira ambao hawajui nini kinafanyika,wakaona mchanga umegeuka kuwa pilau.
Unaitaji kujua basics za chemistry kung'amua kinachofanyika pale,pamoja na chemicals wanazozitumia
Halafu mie sio mwanamazingaombwe mkuu,
Sasa unaponiuliza maswali kama hayo ni sawa na kumtoa samaki nje ya maji.Lazima atatapatapa tu!