Wasioamini Mungu mnatafsirije mazingaombwa

Wasioamini Mungu mnatafsirije mazingaombwa

Hakuna mungu

Hakuna uchawi

Mleta mada,umeshaambiwa hizo ni magic tricks tu hakuna uchawi pale

Kwa mfano hiyo ya kumtenganisha mtu kichwa ni sophisticated trick

Huyo anayefanyiwa hivyo[anayetenganisha kichwa na kiwiliwili] sio mtu mmoja ni wawili,Mmoja ni handicapped mwingine ni contortionist

Inaonekana ni mara yako ya kwanza kuangalia show ya chriss angel?
Alipasuliwa tumbo classmate wangu na kutolewa mautumbo nje bila kufichaficha na manguo...Tofauti kabisa na ile ya Chris Angel!
HAKUNA CHA WATU WAWILI mzee!
 
Hivi unasoma unachokiandika?,nani analeta porojo hapa,Umeshasema mwenyewe yale ni mazingaombwe afu bado unataka tukueleze yanavofanyika,Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza kukatwa kichwa na kikaungwa tena?umesoma hata basics of biology kweli?
Au neno 'Magic Trick' ndo linakusumbua?Zile ni tricks/uongo!hata wewe ukijifunza utaweza.Yani kwa akili yako timamu unataka science ikuprovie tricks?Yani ata unachoandika kinadhihirisha huelewi ulicho andika!na kama hujui nini maana ya 'Trick' huoni kama umeleta post porojo,nina fikiri ,"ACHA KUPOST POROJO, POROJO TUMEZICHOKA" umejiambia mwenyewe
Siku nyingine usipost kitu husichoko kielewa,ungeeleweka zaidi kama ungekuja uliza ,"Je,Magic Tricks zinafanyajwe?",na swali hili binafsi siwezi jibu maana siwezi jua,sababu mimi sio mwana mazingaombwe,and as far as i'm concerned ,mtu hawezi kukufundisha tricks zake zinazomuingizia ugali na kupagawisha watu kama nyinyi ,maana kutakua hakuna maana ya trick tena kama anachofanya kila mtu anajua kinafanyweje
Umemjibu vizuri..Kwenye History Channel kuna TV show inayoonesha namna Magic Tricks zinavyotengenezwa anaweza kufuatialia au achek youtube i hope zitakuwepo some clips ingawa najua mbinu za mazingaumbwe zinatofautiana kulingana na mwanamazingaumbwe mwenyewe..Haziwezi kuwa sawa au universal..!!
 
Mleta mada hivi unajua maana ya mazingaombwe au kiini macho?

Wewe unachanganya mazingaombwe na uchawi

Mazingaombwe yapo lakini uchawi hakuna

Ni mbinu tu zinazotumiwa na wacheza mazingaombwe hazina uhusiano wowote na uchawi

Tatizo lako kubwa ni ubishi wa kijinga,huwezi kujifunza kitu kipya

Yaani unataka sisi ndo tukufafanulie hizo magic tricks wakati sisi si wana-mazingaombwe

Ngoja nikuitie mmoja basi
cc Criss angel
 
Mi hizo za kwenye TV sijui Youtube can't buy at all in this era of technlogy! Mtu anioneshe live; mimu nimekaa kwenye kiti naangalia, nikinyoosha mkono namgusa "live" otherwise siamini kabisa! Na kv hayo mazingaombwe ya "kukatana" vichwa sijawahi kuyaona live... face 2 face, basi hata na yenyewe siamini kama yapo! Labda niangalie just for funny.
 
Huo ujanja ujanja siyo kwamba haujulikani isipokuwa wewe ndo haujui.

HATA HIVYO.

Kutokujulikana kwa sayansi inayotumiwa kwenye mazingaombe hakuwezi kuwa uthibitisho kuwa kuna Mungu au shetani bali kunathibitisha hiyo sayansi ya mazingaombwe haijulikani.

BTW:Kwa nini mnapochoka kufikiri mnakimbilia kuamini?
 
Sasa kusingekuwepo na mambo ya imani vingi vingeparanganyika.
We mtu wa ndoa anashikwa live akila uroda akiwekwa kati anajibu "shetwan mbaya alinipitiah" [emoji12] [emoji12]
 
MKUU, pilau kugeuka mchanga Inamaana bado tu haujajua nyuma ya pazia kuna nini!???
Okay... kuna mahali umesema huwa wana vifaa vyao.... HIVYO VIFAA VINANGUVU GANI??
Mkuu usilazimishe watu waamini kuwa hivyo vitu vimeumbwa na mungu kuna watu kama mi mmojawapo siamini uwepo we mungu au we unaweza nithibitishi@ mungu yupo?
 
Mkuu usilazimishe watu waamini kuwa hivyo vitu vimeumbwa na mungu kuna watu kama mi mmojawapo siamini uwepo we mungu au we unaweza nithibitishi@ mungu yupo?
UNGEANZA KUNIELEZEA PROCESS ZA MAZINGAOMBWE INGEKUWA VIZURI ZAIDI
 
Umemjibu vizuri..Kwenye History Channel kuna TV show inayoonesha namna Magic Tricks zinavyotengenezwa anaweza kufuatialia au achek youtube i hope zitakuwepo some clips ingawa najua mbinu za mazingaumbwe zinatofautiana kulingana na mwanamazingaumbwe mwenyewe..Haziwezi kuwa sawa au universal..!!
MKUU mimi sizungumzii Show za Karata...MIMI NAHITAJI KUJUA YANAYOFANYIKA KWENYE MAZINGAOMBWE YA UPASUAJI, KAMA unayo hiyo video basi WEKA LINK TUIONE
 
Mleta mada hivi unajua maana ya mazingaombwe au kiini macho?

Wewe unachanganya mazingaombwe na uchawi

Mazingaombwe yapo lakini uchawi hakuna

Ni mbinu tu zinazotumiwa na wacheza mazingaombwe hazina uhusiano wowote na uchawi

Tatizo lako kubwa ni ubishi wa kijinga,huwezi kujifunza kitu kipya

Yaani unataka sisi ndo tukufafanulie hizo magic tricks wakati sisi si wana-mazingaombwe

Ngoja nikuitie mmoja basi
cc Criss angel
Mkuu Mimi sio kwamba ni mbishi, kama mmeshindwa kuelezea Na kutoa HOJA, Basi nimekubali kuletewa hata link ya youtube inayoonyesha kinachofanyika mpaka mtu anapasuliwa tumbo kwa mazingaombwe...
Bila hivo RUKSA KUNIITA MBISHI maana sitakubali chochote
 
Huo ujanja ujanja siyo kwamba haujulikani isipokuwa wewe ndo haujui.

HATA HIVYO.

Kutokujulikana kwa sayansi inayotumiwa kwenye mazingaombe hakuwezi kuwa uthibitisho kuwa kuna Mungu au shetani bali kunathibitisha hiyo sayansi ya mazingaombwe haijulikani.

BTW:Kwa nini mnapochoka kufikiri mnakimbilia kuamini?
ama kweli MUNGU HACHUNGUZIKI,
kama MMESHINDWA Kuitambua sayansi ya mazingaombwe,
JE, sayansi YAKUMTAMBUA MUNGU MTAIWEZA??????
 
MKUU mimi sizungumzii Show za Karata...MIMI NAHITAJI KUJUA YANAYOFANYIKA KWENYE MAZINGAOMBWE YA UPASUAJI, KAMA unayo hiyo video basi WEKA LINK TUIONE
Hebu angalia hii simple magic tricks ile uone kuwa mazingaumbwe ni ujanja ujanja tu..!!
 
Habari zenu wakuu,
Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika
( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na kiwiliwili n.k) Je,
ni sayansi gani inayotumika pale?
Manaake Watu walio katika imani husema baadhi ya mazingaombwe ni uchawi,
na nyinyi ndio hamuamini uchawi wala shetani, SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
nenda youtube utaona wanachokifanya....but hakuna cha ajabu zaidi na kucheza na upeo wako wa kufikiria...na unapogota ndo wenyewe wanapoanzia
 
Hakuna kitu kinaitwa mungu. Usidanganywe. Mazingaombwe ni uchawi ambao pia hao unaowaita watumishi wa mungu wanautumia. Funguka
huamini uwepo wa mungu halafu unaamini kuna uchawi. yaani ww ni mfuata mkumbo kabisa. au labda ww unaamini katika budhaism.?
 
huamini uwepo wa mungu halafu unaamini kuna uchawi. yaani ww ni mfuata mkumbo kabisa. au labda ww unaamini katika budhaism.?
Uchawi ulikuwepo kabla ya hao mnaowaita wazungu kuja kutangaza habari za mungu. Hata history inasema. Au umesahau vita vya maji maji. Tatizo mnapenda vya wazungu na kudharau vyetu
 
IIusion!/kiini macho!
aina ya dark power ya kupumbaza watu na kupofua/ to see object vicevesa!
 
Back
Top Bottom