Hata mie nashangaa. Jamani Bangi bila kula....[emoji35] [emoji35] [emoji35]Swali lililoshindikana dunia nzima liko wapi?
Huogopi ?Hakuna kitu kinaitwa mungu. Usidanganywe. Mazingaombwe ni uchawi ambao pia hao unaowaita watumishi wa mungu wanautumia. Funguka
Nimecheka sana aisee[emoji23]Maisha ni magumu saaana kwa VIPOFU.
INASEMEKANA HAKUNA MTU MWENYE IMANI KALI KAMA MCHAWI
Cc KirangaSwali lililoshindikana dunia nzima liko wapi?