Wasioamini Mungu mnatafsirije mazingaombwa

Hakuna kitu kinaitwa mungu. Usidanganywe. Mazingaombwe ni uchawi ambao pia hao unaowaita watumishi wa mungu wanautumia. Funguka
Kama unaamini kuna uchawi ina maana unaamini shetan yupo!! Na kama unaamini shetan yupo kwanini huamini Mungu yupo???
 
Uchawi ni tofauti kabisa na mungu. Ndio maana kabla ya wazungu kuja kulikuwepo na uchawi. Wakati huo watu walikua hawajui habari za mungu wala shetani
 
Hakuna mungu

Hakuna uchawi

Mleta mada,umeshaambiwa hizo ni magic tricks tu hakuna uchawi pale

Kwa mfano hiyo ya kumtenganisha mtu kichwa ni sophisticated trick

Huyo anayefanyiwa hivyo[anayetenganisha kichwa na kiwiliwili] sio mtu mmoja ni wawili,Mmoja ni handicapped mwingine ni contortionist

Inaonekana ni mara yako ya kwanza kuangalia show ya chriss angel?
Mkuu mimi sijaamini kwa kuangalia kwenye TV, nimeona live bila chenga...
Je pale mtu anapopasuliwa tumbo au kukatwa kichwa, huwa anakatwa kweli? au ni uchawi?
 
Uchawi ni tofauti kabisa na mungu. Ndio maana kabla ya wazungu kuja kulikuwepo na uchawi. Wakati huo watu walikua hawajui habari za mungu wala shetani

MWANZO nlikuwa sijakuelewa unachomaanisha,
ILA ANGALAU UMENIPA UFAHAMU MPYA
 
Uchawi ni tofauti kabisa na mungu. Ndio maana kabla ya wazungu kuja kulikuwepo na uchawi. Wakati huo watu walikua hawajui habari za mungu wala shetani
Sasa vipi ule chawi wa kurushiana majini? Au yale mambo wanaitaga MGANGA KAPANDISHA MASHETANI?

hebu tia neno kwenye hivo vipengele
 
NDIO MTUAMBIE HIZO MAGIC TRICK ZA KUMKATA MTU SHINGO NA KUIREJESHA VILE VILE
SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
Unajua maana ya tricks(cheating/Kudangaya)/illusions(mazingaombwe/mauzauza-UONGO)???? Magic tricks/Wonderful Cheats/illusions 😀
Kwaio Uthibitisho kama mungu yupo ni KUDANGANYA?Now you make sense,Kwamba, uthibitisho wa uwepo wa mungu ni ninyi 'Kujidanganya' kwamba yupo ila si kweli!Very Funny 😀 !Kumbe Mnajua mwajidanganya sema ndo mnajikuta hamnazo!
 
Mkuu mimi sijaamini kwa kuangalia kwenye TV, nimeona live bila chenga...
Je pale mtu anapopasuliwa tumbo au kukatwa kichwa, huwa anakatwa kweli? au ni uchawi?
Kuna moja nliona Mkuu kpnd npo primary jamaa alkuwa anachanacha na anakula magazeti na anameza kabsa baadae akaanza kulitoa kwa kulvuta lkawa refu kama mnyororo
 
We ulisha sema limeshindikana sa unataka tukujibu nn? Na unajua limeshindikana
 
We hilo swali mbona simple tu kwa wabongo . Watu wamejiuliza mpaka kwa namna gani unaweza kuwa mweupe bila mkorogo na wakaja na majibu suluhisho ni kunywa maji halafu we unasemaje
 
Unajua maana ya tricks(cheating/Kudangaya)/illusions(mazingaombwe/mauzauza-UONGO)???? Magic tricks/Wonderful Cheats/illusions 😀
Kwaio Uthibitisho kama mungu yupo ni KUDANGANYA?Now you make sense,Kwamba, uthibitisho wa uwepo wa mungu ni ninyi 'Kujidanganya' kwamba yupo ila si kweli!Very Funny 😀 !Kumbe Mnajua mwajidanganya sema ndo mnajikuta hamnazo!
TUNATAKA KUJUA VITU VINAVYOFANYIKA MPAKA MTU ANAKATWA KICHWA LIVE BILA CHENGA, NA MUDA MFUPI KINARUDISHWA VILE VILE,,, HIZO POROJO TUMEZICHOKA
 
Kuna moja nliona Mkuu kpnd npo primary jamaa alkuwa anachanacha na anakula magazeti na anameza kabsa baadae akaanza kulitoa kwa kulvuta lkawa refu kama mnyororo
Ndio waje hapa watuelezee kinagaubaga VITU VINAVYOTENDEKA HADI YANATOKEA HAYO YOTE... KAMA NI CHEMICALS ZINACHANGANYWA PIA MTUAMBIE...TEHE TEHE TEHE
 
Back
Top Bottom