akelu kungisi
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 115
- 19
Jamani si ndo huyu alikuwa na kashfa ya kuiba taulo katika hotel moja aliyokuwa amepanga pale Arusha mwaka jana? Ama!
Sure, Nahisi huyu homeboy naye Kihiyo. lakini ukiangalia miaka baada ya Sister Mary Kuhitimu kidato cha sita, amekuwa anafanya kazi na kusoma kwa pamoja. Inatia shaka kama dada yangu amekaa lecture theatre hata mwaka mmoja.post zako zinaonesha na wewe ni mmojawapo wa wawachakachuaji wa elimu
Sasa wewe umeleta wasifu wa huyu muh.ili tufanyaje? Wananchi hatujali elimu ya mtu wala wasifu wake....tunachojali ni utendaji wake wa kazi tu basi. Maana kama ni elimu viongozi wa serikali ya ccm wamesoma hadi mwisho wa dunia'lakini hakuna chochote wanachoki
fanya zaidi ya kuwaibia wananchi tu (full ufisadi). Alafu kwanini usihoji u DR wa Kikwete?. Kwanza huyu Mary mwanjelwa ni mpambanaji sana kwa kuwatetea na kuwaletea maendeleo wakazi wa mkoa wa Mbeya....sema hili lichama alilokwenda (ccm)
ndilo linalomuharibia.
Behind every succssessful man there is a woman,kwa elimu ya kidato cha sita ameshika nafasi hizi
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)------->Manager - Liason & Corporate 2001 - 2005
Two Wings Pegasus Ltd - Tanzania-------->Manager 2000 - 2001
(PSRC) --------------------------------------> Assistant Information Officer 1999 - 2000
Agakhan Foundation------------------------->Administration Officer 1998 - 1998
baada ya kupata advanced diploma
PSI Tanzania ----->Director 2006 -2010
Hii nguvu sijui ameitoa wapi! who is behind her???
Taarifa hizi nimezitoa kwenye website ya Bunge. Pamoja na kwamba anaitwa Dr. mwanzo wa jina lake, lakini hakuna mahali panapoonyesha huo u-Dr. unatokana na yeye kupata PhD, au MD, au BVB au Honoris Causa. Pili najiuliza kama Centre for foreign relations walianza lini kutoa BA. Kwa kuwa hadi leo hii chuo hicho kinatoa elimu katika ngazi ya Cheti, Diploma na Post-Graduate Diploma. Huyu amedanganya taarifa zake za elimu, pia hakuna chuo kinachoitwa " Institute for Diplomacy & International Relations" bali kuna "Centre for Foreign Relations"
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Dr. Mary
Middle Name:
Machuche
Last Name:
Mwanjelwa
Member Type:
Special Seat
Constituent:
No Constituency
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 72140, Dar Es Salaam
Office Phone:
+255 787 032800/+255 767 032800
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Muungano Primary School
Primary Education
1971
1977
PRIMARY
Sangu Secondary School, Mbeya
O-Level Education
1978
1981
SECONDARY
Siha Secondary School, Moshi
A-Level Education
1982
1983
HIGH SCHOOL
Institute of Management & Information Technology
Advanced Diploma
2001
2004
ADV DIPLOMA
Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA
2006
GRADUATE
St. Augustne University of Tanzania
Degree (Mass Communication)
2009
MASTERS DEGREE
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Special Seat
2010
2015
Population Services International (PSI) Tanzania
Director
2006
2010
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)
Manager - Liason & Corporate
2001
2005
Two Wings Pegasus Ltd - Tanzania
Manager
2000
2001
Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), Tanzania
Assistant Information Officer
1999
2000
Agakhan Foundation
Administration Officer
1998
1998
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - National Executive Committee
2007
2012
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - UWT National Board
2007
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - Regional General Council
2006
PUBLICATIONS
Description
Published Date
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam.
2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam
2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam
2010
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
U daktari kanisani? Hivi inawezekana eenh?PHd yake ni ya heshima. Sikumbuki ni chuo gani kilichompa hiyo degree, ila nakumbuka alikabidhiwa hiyo degree ya heshima pale Mikocheni B Assemblies of God (kwa Dr. Rwakatale) Habari ndo hiyo!