+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,940
- 762
Labda alipewa uDr wa heshima pale UDOM/UDSM unajua tena hivi vyuo vyetu vinapenda kujkomba kwa wanasiasa.
Kuna kipindi kulikuna na nafasi bungeni zilikuwa zinagombewa, wakati anaomba kura aliulizwa swali ka ana u dk wa kusomea au la, alijibu ni wa heshima ila hakusema alipewa na chuo gani.