Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

Sasa wewe umeleta wasifu wa huyu muh.ili tufanyaje? Wananchi hatujali elimu ya mtu wala wasifu wake....tunachojali ni utendaji wake wa kazi tu basi. Maana kama ni elimu viongozi wa serikali ya ccm wamesoma hadi mwisho wa dunia'lakini hakuna chochote wanachoki
fanya zaidi ya kuwaibia wananchi tu (full ufisadi). Alafu kwanini usihoji u DR wa Kikwete?. Kwanza huyu Mary mwanjelwa ni mpambanaji sana kwa kuwatetea na kuwaletea maendeleo wakazi wa mkoa wa Mbeya....sema hili lichama alilokwenda (ccm)
ndilo linalomuharibia.
Niliyowekea bluu upo sahihi kabisa. Lakini tatizo linaloonekana hapa ni kudanganya.
 
Sasa mkuu mtunga sheria akiwa na elimu ya magumashi,atawezaje kusimamia pale inapotokea sheri hio imekiukwa?
 
Mkuu naheshimu sana mawazo yako....lakini nakuhakikishia huyu dada hana dhiki ya kuiba mataulo,sema tu lile swala lilikuzwa kisiasa.
Na kuhusu elimu....mbona karibu ya viongozi wengi tu wa MAGAMBA wamesoma hadi kupindukia na hawajatuletea maendeleo yeyote hadi leo hii? sana sana wanatuibia hadi wanapasuka matumbo. Kwangu mimi ni heri ya huyu dada anaepigana kule mbeya
vijijini kwa kuwainua wananchi japo kidogo. Sema tu chama alichoenda ndiyo kinamuangusha....maana hakina mvuto tena mbele ya
jamii. Huyu alipaswa kujiunga na wapambanaji wenzake ndani ya CDM' full stop

Ndugu yangu MshikaChuma wewe unasumbulia aidha na "ujinga/uporini" au na mahaba kwa Dr. huyu fake. Shoplifting ni tabia na wala sio lazima ni kwasababu ya dhiki. US na Ulaya kuna celibrity na ma-bilionnaire kibao lakini wana tabia ya shop lifting wanapo kwenda kwenye malls. Huyu Mh. aliiba matauro ya hoteli sio kwamba hana uwezo wa kuya nunua bali ana tabia ya udokozi. Mtu mwenye tabia ya aina hii hawezi kuwa trusted kupewa public office kwenye enyi za wenzetu wanaofuata ethics za uongozi.

Kudanganya/kusema uongo kuhusu elimu ni kosa la jinai, hata hapa kwetu ambapo ethics za uongozi tumeziweka pembeni. Refer kesi ya Kihiyo Ubungo. Ukijumlisha mambo hayo yote mawili yanamuondelea sifa ya kuwa kiongozi. Kudhihirisha jinsi alivyo notorious offender wa kuchakachua elimu CV yake yote imejaa utata tangia O level hadi hiyo Dr yake.

Kujiunga CDM ahaiwezi kwasababu anafahamu huko hakuna nafasi kama umechachacua elimu, hilo linaweza kuvumiliwa CCM, kwasababu ni mojawapo ya sera isiyo rasmi ya CCM!
 
Niliyowekea bluu upo sahihi kabisa. Lakini tatizo linaloonekana hapa ni kudanganya.
Sawa mkuu! Ni bora huyu aliyedanganya elimu lakini anachapa kazi na kutoa elimu kwa wananchi kuliko wale magamba waliosoma sana
lakini wanaishia kuiba na kulala bungeni na kuwatukana CDM.
 
Ndugu yangu MshikaChuma wewe unasumbulia aidha na "ujinga/uporini" au na mahaba kwa Dr. huyu fake. Shoplifting ni tabia na wala sio lazima ni kwasababu ya dhiki. US na Ulaya kuna celibrity na ma-bilionnaire kibao lakini wana tabia ya shop lifting wanapo kwenda kwenye malls. Huyu Mh. aliiba matauro ya hoteli sio kwamba hana uwezo wa kuya nunua bali ana tabia ya udokozi. Mtu mwenye tabia ya aina hii hawezi kuwa trusted kupewa public office kwenye enyi za wenzetu wanaofuata ethics za uongozi.

Kudanganya/kusema uongo kuhusu elimu ni kosa la jinai, hata hapa kwetu ambapo ethics za uongozi tumeziweka pembeni. Refer kesi ya Kihiyo Ubungo. Ukijumlisha mambo hayo yote mawili yanamuondelea sifa ya kuwa kiongozi. Kudhihirisha jinsi alivyo notorious offender wa kuchakachua elimu CV yake yote imejaa utata tangia O level hadi hiyo Dr yake.

Kujiunga CDM ahaiwezi kwasababu anafahamu huko hakuna nafasi kama umechachacua elimu, hilo linaweza kuvumiliwa CCM, kwasababu ni mojawapo ya sera isiyo rasmi ya CCM!
Mkuu,mimi siyo mjinga na mimi siyo mtega nyoka. Nakuhakikishia sina mahaba wala upambe wowote kwa huyu dada! ila
nasukumwa na ukweli kutoka moyoni kuwa ni heri ya huyu dada kuliko baadhi ya wanamagamba wengine.
Hapo kwenye bold naweza kubaliana na wewe lakini binafsi sina ushahidi kama nikweli alitenda hilo tukio....kama wewe unaushahidi
naomba utuwekee hapa. Nakuhusu mambo ya kufoji elimu,hilo ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wa magamba....narudia tena
kama tutasema tuwafatilie Magamba wote'hakuna hatakaepona kwa hili....Watu wanapitisha Airport twiga na madini yetu kila siku sembuse kufoji vyeti. Huyu dada ni mpiganaji sana,sema chama alicho si mahala pake
 
Ndugu zangu msishangae , hivi ndivyo chama cha magamba kinavyowa reduce wanawake Tanzania kwa vigenzo vya ngono na kugeuzamahala patakatifu kama bunge kuwa the largest prositution Industry. Tulishaletewa list hapa ya who is whose thing, sasa mmeshaelewa kwa nini wanawake wenye akili na heshima zao hapa nchi hawataki kusikia siasa, na hasa za kupitia CCM, huyu binti anayetwa hana shida za kuiba taulo, ni kweli aliiba taulo, na hakuna mtu yoyote mwenye kumuonea wivu wa kisiasa eti ndio kamchafue. Ni vizuri kila ku nalia hapa watanzania tujifunzekukubali ukweli, tabia mbaya zimeumbiwa wanadamu, huko mbeya kuna wanawake wengi wa maana nawenye uwezo, hizi mbinu za CCM hawazitaki zinadhalilisha utu wao, watoto wao, waume zao. Ninachomsifu ni uwezo wake wakupanda kutoka a mere secretary na kuwa mbunge, basi tuishie hapo mkitaka kutuchokonoa tutasema. sasa angalia ukishakua kihiyo hatauchakachuaji wako utakosa vigezo, sitashangaa hata ukiuliza yawezekana hata huko siha hakusoma, maana angekua mjanja
 
Sasa mkuu mtunga sheria akiwa na elimu ya magumashi,atawezaje kusimamia pale inapotokea sheri hio imekiukwa?
Huyu dada ana mwaka mmoja tu tangia aingie mjengoni....kabla yake kuna viongozi kibao wa ccm waliomtangulia tokea mwaka
1961 hadi leo hii wapo bungeni na wengine wako serikalini....sasa kama hao wenzake waliokaa bungeni hadi wanazeeka na wame
shindwa kusimamia sheria zetu hadi leo hii'huyu dada ataweza nini? yaani unataka kum-bebesha lawama za wanamagamba wote azibebe huyu mgeni wa ndani ya bunge? acheni hizo jamani!....misisiem yote imeoza
 
Mh. Lissu alimuuliza bungeni wakati wa mchakato wa wabunge kugombea nafasi za kuwakilisha Tanzania katika vyombo vingine kama La Africa, SADC etc, kwamba, "Mh, udaktari wako ni wa tiba, utafiti au....", akajibu kwamba ni wa Heshima. Hilo huwa halifichi.Ili mradi hilo linajulikana, nadhani tumwacheni tu dada wa watu (kwa wengine humu pengine ni mama), atumikie taifa kupitia dhamana aliyopewa.
 
Mchambuzi,hapo kwenye bold umenichekesha sana! lol
 
Ama kweli baadhi ya Wabongo mnachekesha sana! yaani wameshindwa kujiuzulu akina Husein mwinyi waliosababisha kufa kwa maefu ya watu kule Gongo la mboto na Mbagala kwa milipuko ya mabomu, badala yake unataka ajiuzulu huyu dada kwa kuwa elimu yake ina utata! Duu hii kali sana.
Mkuu,ukisema uanze kufatilia elimu za viongozi wa Bongo....nakuhapia watajiuzulu karibu na wote

Mnaomfuatilia huyu Mary Mwanjelwa mbunge wa CCM ingawa kweli ameongopa kwenye CV yake lakini hiyo ndio CCM na vilaza wake ,hata mkienda mahakamani hamtashinda kwani wao wako juu ya sheria!! Mnasahau upesi sana, mnamkumbuka mbunge CHITALILO na jinsi alivyoforge vyeti na kesi kwenda mahakamani? Kesi ile ilikufa kifo cha mende mpaka Chitalilo akamaliza muda wake wa ubunge!!
 
Lkn jamani ccm si lichama la makanjanja.
Si mnakumbuka PhD feki za Nchimbi, kamala, mahanga, masaburi, jk, nagu and so many.
 
Mkuu naheshimu sana mawazo yako....lakini nakuhakikishia huyu dada hana dhiki ya kuiba mataulo,sema tu lile swala lilikuzwa kisiasa.
Na kuhusu elimu....mbona karibu ya viongozi wengi tu wa MAGAMBA wamesoma hadi kupindukia na hawajatuletea maendeleo yeyote hadi leo hii? sana sana wanatuibia hadi wanapasuka matumbo. Kwangu mimi ni heri ya huyu dada anaepigana kule mbeya
vijijini kwa kuwainua wananchi japo kidogo. Sema tu chama alichoenda ndiyo kinamuangusha....maana hakina mvuto tena mbele ya
jamii. Huyu alipaswa kujiunga na wapambanaji wenzake ndani ya CDM' full stop
Upambanaji wake haumpi uhalali wa kudanganya wasifu wake. Hiyo ni kashfa kubwa tosha kukuondoa kwenye uongozi wa umma. Lkn kwa TZ na waTZ wenye upeo mdogo na mawazo mgando kama yako, hiyo sio kashfa.
 
Huyu bibi ni kanjanja kweli kweli.
Director wa PSI kwa kipindi cha 2005-2010 alikua mzungu mmoja anaitwa Daniel Crapper, baada ya kuachia ngazi u-Director akapewa Romanus Mtung'e.
Huu bibi anatia kichefuchefu kabisa, i am sure hata huo ubunge atakua ameupata kwa kuvua chupi!
Hapo kwenye bold.... unaweza kutumwagia ushahidi wa hilo swala? au ni hisia zako tu zinakutuma kumuwazia hivyo?
 
sasa wewe umeleta wasifu wa huyu muh.ili tufanyaje? Wananchi hatujali elimu ya mtu wala wasifu wake....tunachojali ni utendaji wake wa kazi tu basi. Maana kama ni elimu viongozi wa serikali ya ccm wamesoma hadi mwisho wa dunia'lakini hakuna chochote wanachoki
fanya zaidi ya kuwaibia wananchi tu (full ufisadi). Alafu kwanini usihoji u dr wa kikwete?. Kwanza huyu mary mwanjelwa ni mpambanaji sana kwa kuwatetea na kuwaletea maendeleo wakazi wa mkoa wa mbeya....sema hili lichama alilokwenda (ccm)
ndilo linalomuharibia.

hawezi kuwa mpambanaji wala kuwaletea maendeleo wakaazi wa mbeya. Chunguza vizuri, kwa yeye kudanganya kuhusu elimu yake tu kunatosha kutomwamini kwa lolote afanyalo kwani hajiamini. Na hata hayo machapisho yake yanatia shaka; huenda kaandikiwa. Lakini haiwezekani akawa kapata udakitari wa heshima kama walivyo wanasiasa wengi wa nchi yetu?
 
Hii ni kesi ya jinai, yaani hata hivyo vyeo anavyojianfikia siyo genuine. Jina nalo kachakachua kwa vile yeye ni Kyando na siyo Mwanjelws
 
Back
Top Bottom