Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

Ngereja

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
798
333
Taarifa hizi nimezitoa kwenye website ya Bunge. Pamoja na kwamba anaitwa Dr. mwanzo wa jina lake, lakini hakuna mahali panapoonyesha huo u-Dr. unatokana na yeye kupata PhD, au MD, au BVB au Honoris Causa. Pili najiuliza kama Centre for foreign relations walianza lini kutoa BA. Kwa kuwa hadi leo hii chuo hicho kinatoa elimu katika ngazi ya Cheti, Diploma na Post-Graduate Diploma. Huyu amedanganya taarifa zake za elimu, pia hakuna chuo kinachoitwa " Institute for Diplomacy & International Relations" bali kuna "Centre for Foreign Relations"

SalutationHonourableMember picture
1579.jpg
First Name: Dr. Mary
Middle Name:Machuche
Last Name:Mwanjelwa
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:Box 72140, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 787 032800/+255 767 032800
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Muungano Primary SchoolPrimary Education19711977PRIMARY
Sangu Secondary School, MbeyaO-Level Education19781981SECONDARY
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Institute of Management & Information TechnologyAdvanced Diploma20012004ADV DIPLOMA
Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA2006
GRADUATE
St. Augustne University of TanzaniaDegree (Mass Communication)2009MASTERS DEGREE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Population Services International (PSI) TanzaniaDirector20062010
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)Manager - Liason & Corporate20012005
Two Wings Pegasus Ltd - TanzaniaManager20002001
Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), TanzaniaAssistant Information Officer19992000
Agakhan FoundationAdministration Officer19981998
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UWT National Board2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Regional General Council2006
PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam.2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2010
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
 
Labda alipewa uDr wa heshima pale UDOM/UDSM unajua tena hivi vyuo vyetu vinapenda kujkomba kwa wanasiasa.
 
He, ane ni Dr tena, na BA ya kurasini, Degre ya Mass Comm..............lazima atakuwa kihiyo mwingine... haya angegombea jimboni ndio tungejua mapemaaaa
 
Sasa wewe umeleta wasifu wa huyu muh.ili tufanyaje? Wananchi hatujali elimu ya mtu wala wasifu wake....tunachojali ni utendaji wake wa kazi tu basi. Maana kama ni elimu viongozi wa serikali ya ccm wamesoma hadi mwisho wa dunia'lakini hakuna chochote wanachoki
fanya zaidi ya kuwaibia wananchi tu (full ufisadi). Alafu kwanini usihoji u DR wa Kikwete?. Kwanza huyu Mary mwanjelwa ni mpambanaji sana kwa kuwatetea na kuwaletea maendeleo wakazi wa mkoa wa Mbeya....sema hili lichama alilokwenda (ccm)
ndilo linalomuharibia.
 
Kusema uongo ni kosa, hili tu inatosha kumfanya yeye kujiuzuru ubunge. U-Dr. wa kikwete agharabu kila mtu anajua kwamba alipewa "Honoris Causa" na UDOM, UDSM, MUHAS, nk.
 
Naona kuna mambo mengi ya elimu ya huyu Mheshimiwa ni utata
Angalia hata miaka aliyosoma A - level education Siha ni toka 1982 hadi 1983!
 
Hiki ni mojawapo ya kielelezo cha kuzeeka kwa CCM kwasababu chama makini na chenye nyenzo zote za serikali kitashindwa vp kupata taarifa zote muhimu za makada wake wanaogombea nafasi za uongozi ngazi ya ubunge?!
 
Laana kubwa ukiwa mwana CCM hakika hata kama uko mdogo .
Kibomoke Chama Mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kwa elimu ya kidato cha sita ameshika nafasi hizi

Placer Dome Tanzania (Gold Mine)------->Manager - Liason & Corporate 2001 - 2005
Two Wings Pegasus Ltd - Tanzania-------->Manager 2000 - 2001
(PSRC) --------------------------------------> Assistant Information Officer 1999 - 2000
Agakhan Foundation------------------------->Administration Officer 1998 - 1998

baada ya kupata advanced diploma

PSI Tanzania ----->Director 2006 -2010

Hii nguvu sijui ameitoa wapi! who is behind her???
 
Kusema uongo ni kosa, hili tu inatosha kumfanya yeye kujiuzuru ubunge. U-Dr. wa kikwete agharabu kila mtu anajua kwamba alipewa "Honoris Causa" na UDOM, UDSM, MUHAS, nk.
Ama kweli baadhi ya Wabongo mnachekesha sana! yaani wameshindwa kujiuzulu akina Husein mwinyi waliosababisha kufa kwa maefu ya watu kule Gongo la mboto na Mbagala kwa milipuko ya mabomu, badala yake unataka ajiuzulu huyu dada kwa kuwa elimu yake ina utata! Duu hii kali sana.
Mkuu,ukisema uanze kufatilia elimu za viongozi wa Bongo....nakuhapia watajiuzulu karibu na wote
 
post zako zinaonesha na wewe ni mmojawapo wa wawachakachuaji wa elimu
 
Hapana mkuu! sema huyu dada mie namkubali sana....kuna siku nilibahatika kuhudhuria mkutano wake pale Mbalizi Mbeya
hakika aliongea mambo mazito sana na yenye point kwa Taifa letu....amini nakuambia mda wote aliokuwa anaongea pale
na wananchi hakuigusa CDM wala Rais wetu wa Mbeya (SUGU) So kwa haya machache nikaona huyu dada ameshazisoma
alama za nyakati.
 
Sasa wewe umeleta wasifu wa huyu muh.ili tufanyaje? Wananchi hatujali elimu ya mtu wala wasifu wake....tunachojali ni utendaji wake wa kazi tu basi. Maana kama ni elimu viongozi wa serikali ya ccm wamesoma hadi mwisho wa dunia'lakini hakuna chochote wanachoki
fanya zaidi ya kuwaibia wananchi tu (full ufisadi). Alafu kwanini usihoji u DR wa Kikwete?. Kwanza huyu Mary mwanjelwa ni mpambanaji sana kwa kuwatetea na kuwaletea maendeleo wakazi wa mkoa wa Mbeya....sema hili lichama alilokwenda (ccm)
ndilo linalomuharibia.

Acha kuchanganya mambo.Kama mtu ameweza kudanganya level yake ya elimu maana yake ni nini?
1. Anataka awaaminishe wananchhi anaowatumikia kuwa yeye ufanisi wake upo kiwango cha juu kilinga na elimu hiyo aliyoghushi.
2.Hashindwi kuwaongopea wananchi kuwa amefanikiwa kwa anayoyafanya kwa kiwango cha juu kwani uongo ni jadi yake.
3.Mtu anayeghushi level ya taaluma yake ni mtu asiyejiamini na mara nyingi ni watu wa nadharia pasipo vitendo.
 
Ama kweli baadhi ya Wabongo mnachekesha sana! yaani wameshindwa kujiuzulu akina Husein mwinyi waliosababisha kufa kwa maefu ya watu kule Gongo la mboto na Mbagala kwa milipuko ya mabomu, badala yake unataka ajiuzulu huyu dada kwa kuwa elimu yake ina utata! Duu hii kali sana.
Mkuu,ukisema uanze kufatilia elimu za viongozi wa Bongo....nakuhapia watajiuzulu karibu na wote

Sasa wakijiuzuru karibu wote kuna tatizo gani??

Inaelekea wewe hujui madhara ya kuforge elimu ina effect gani?? Kama kiongozi amethubutu kudanganya elimu yake ili apate madaraka hivi kweli utamuamini vipi kusimamia rasilimali zetu?? Hawa ndiyo wanforge signature za watu ili watuibie....... Wewe mtu hata hajui kuitumia title yake ...eti Dr. Mary!!! Hajui kuwa title hiyo inaendana na Sir name?? No wonder hata hiyo second degree kaipatia SAUT!!! University serious haiwezi kumchukua for masters degree.
 
Taarifa hizi nimezitoa kwenye website ya Bunge. Pamoja na kwamba anaitwa Dr. mwanzo wa jina lake, lakini hakuna mahali panapoonyesha huo u-Dr. unatokana na yeye kupata PhD, au MD, au BVB au Honoris Causa. Pili najiuliza kama Centre for foreign relations walianza lini kutoa BA. Kwa kuwa hadi leo hii chuo hicho kinatoa elimu katika ngazi ya Cheti, Diploma na Post-Graduate Diploma. Huyu amedanganya taarifa zake za elimu, pia hakuna chuo kinachoitwa " Institute for Diplomacy & International Relations" bali kuna "Centre for Foreign Relations"

SalutationHonourableMember picture
1579.jpg
First Name: Dr. Mary
Middle Name:Machuche
Last Name:Mwanjelwa
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:Box 72140, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 787 032800/+255 767 032800
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Muungano Primary SchoolPrimary Education19711977PRIMARY
Sangu Secondary School, MbeyaO-Level Education19781981SECONDARY
Siha Secondary School, Moshi
A-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Institute of Management & Information Technology
Advanced Diploma20012004ADV DIPLOMA
Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA2006
GRADUATE
St. Augustne University of TanzaniaDegree (Mass Communication)2009MASTERS DEGREE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Population Services International (PSI) TanzaniaDirector20062010
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)Manager - Liason & Corporate20012005
Two Wings Pegasus Ltd - TanzaniaManager20002001
Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), TanzaniaAssistant Information Officer19992000
Agakhan FoundationAdministration Officer19981998
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UWT National Board2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Regional General Council2006
PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam.2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2010
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by

Hapo kwenye blue...Ndo muda alikuwa anyafanya PHD.Mwezetu alianzaia kwenye Phd akaja Diploma then BA then Masters.Angalia kamaliza A-Level 1983 hakufanya chochote mpaka mwaka 2001 ndo kaanza shule tena yaani baada ya miaka 18 ndo anaanza shule tena.Sasa kipindi hicho ndo alikuwa anafanya Phd yake jamaaani.
 
Acha kuchanganya mambo.Kama mtu ameweza kudanganya level yake ya elimu maana yake ni nini?
1. Anataka awaaminishe wananchhi anaowatumikia kuwa yeye ufanisi wake upo kiwango cha juu kilinga na elimu hiyo aliyoghushi.
2.Hashindwi kuwaongopea wananchi kuwa amefanikiwa kwa anayoyafanya kwa kiwango cha juu kwani uongo ni jadi yake.
3.Mtu anayeghushi level ya taaluma yake ni mtu asiyejiamini na mara nyingi ni watu wa nadharia pasipo vitendo.
Mkuu,nakubaliana na yote uliyosema....poit taken.
Ila tukisema tufatilie viongozi wote wa MAGAMBA ni wachache sana watabakia salama....hebu jaribu kupanua uwigo kimawazo
 
Mtoa hoja je umeiona picha yake? Acha wivi mdada wa watu anapendeza kuwa dr ni sawa tu. Kwani udokta, udokta nini bana? Unanikumbusha Hadithi ya Ford mwanzilishi wa kampuni ya magari aina ya Ford alivyogombana na mke wake ambaye alimtaka mtoto wao wa kiume aende chuo kikuu kusomea uinjinia wa magari wakati mzee Ford akipinga wazo hilo kwa vile alijua yeye ni mtaalam wa magari kushinda hata hao walimu wa hizo universities. Huyu dada awe ameenda chuo au la lakini kazi yake ina hadhi ya udaktari, that's all people!!!
 
Back
Top Bottom