Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Habari za muda huu wadau wanajamvi wenzagu, samahani nnina shida sana na cv ya mheshimiwa Joyce Ndalichako, vipi je yeye alisoma masomo ya sayansi au maana kuna jamaa tunabishana sana.
Tatizo siyo ndalichako...tatizo ni Jamaa Pumba Mingi....anapeleka pesa kwao subilini amalize kujenga airport kwao na kununua ndege mpya tena kubwa
 
Daaa hadi hapo hkn mwn cv yake....nenda pale ofcn kwake uonane na msadiz wake umuombe cv ataksaidia namna ya kuipata
 
Siko tayari kukujibu vibaya laiti ungenielewa maana yangu wala usingejibu kwa kukurupuka kaka, Nimehoji hivi nina maana kubwa ni kwamba sa hivi watu wananyimwa mikopo eti kisa mtu amesoma sayansi je wao wamesoma hayo masomo ndo maana yangu sijamzarau mheshimiwa nina muheshimu sana tena sana mimi sijajengwa kwenye misingi ya kumbeza mtu.
CV yake yanin sasa ...' Si ungeuliza tu ilo swali lako
 
hizo sura mbili zote kwenye dp niza chigoma how we look like we are innocent in nature the kind one
 
Back
Top Bottom