Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 360
Ndalichako ni form 4 na 6 bas af Tz one ni ile top tenMtanzania aliyefanya matusi hayo ni mmoja tu..Martin Chegere...tena kuanzia darasa la 7,form 4 na form 6 bhaasi
Ndalichako ni form 4 na 6 bas af Tz one ni ile top tenMtanzania aliyefanya matusi hayo ni mmoja tu..Martin Chegere...tena kuanzia darasa la 7,form 4 na form 6 bhaasi
Sijawahi kuona faida ya hiyo TO hapa Tanzania.ndalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
Wana mchango gani kwa taifa? Bora mrisho Mpoto mjomba kwa kuendeleza kukuza lugha ya kiswahili.T. O= Tanzania One
Mimi kuna mmoja alipata div 4 ya 31 form four , eti nae kagraduate degree kule TIA . Ila sasa yaani huwa wanachanga hela wanampa lecturer ili awafaulishe . Yaani ni vi la za mpaka walimu wao . Joyce acha ainyooshe elimu .kuna binti wa anco angu form 4 alipata daraja la 4 la point 31 eti leo anachukua degree ya uchumi!-nilishangaa sana
Mimi kuna mmoja alipata div 4 ya 31 form four , eti nae kagraduate degree kule TIA . Ila sasa yaani huwa wanachanga hela wanampa lecturer ili awafaulishe . Yaani ni vi la za mpaka walimu wao . Joyce acha ainyooshe elimu .
Nakuunga mkono.Waha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.
Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
kweli kabisaaaWaha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.
Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
nacho amn mtu hutafuta njia ya kufanikisha kitu ambacho kina mshinda. naamn hao walio na uwezo wamefanya nn katka nch hiiiHajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki
Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree
Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu
Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa