EMMANUELY MASSELINO
New Member
- Sep 18, 2016
- 3
- 0
"T.O" means Teacher Oriented.
Nikisima u mean wht? Au una dic uandishi wa wenzio akat we pia ZEROMitaara ukimanisha ndoa za watu wengi?
Kama ndivyo mitaara ipo!
Kama unamaanisha mitaala basi hata namna unavyoandika inaonyesha kidato ulichopo na mada unayotaka kuchangia haviendani!
Back to the story,
Dr. Ndalichako hamtamuweza,ni kweli hata mimi binafsi nikisima Arts na Science wapate tu mikopo maana sasa hatuna wataalamu bali kila pahala tumewakodi na kuwalipa fedha nyingi sana za kigeni.
Wewe unayemwita kilaza ndo utwambie alikuwaje class ...hutakiwi kuongea kama umekatwa kichwa kwenye ishu za kitaalumaHuyo ni ki.laza tu usidanganywe na watu,wakuwekee hivyo vyeti vyake vya nje tuone alikuaje class
Haumtaki kwa kuwa haujampata and ukimpata ndiyo utaanza kumtaka. Mfano hakuna mtu anaependa kwenda haja kubwa lakn hajakubwa ndiyo humfanya mtu apende kwenda kujisaidiaMi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Haumtaki kwa kuwa haujampata and ukimpata ndiyo utaanza kumtaka. Mfano hakuna mtu anaependa kwenda haja kubwa lakn hajakubwa ndiyo humfanya mtu apende kwenda kujisaidia
So far hujaolewa usiseme mengi coz ya mungu mengi. Haina tofauti na binti kwene mahusiano anavotoa ahadi lukuki kwa mwanaume kuwa hatukuwa na mwingine zaidi yake lakn baada ya miaka 5 muulze ametembea na wangapi, atakuwa hakumbuk hatha idadiSina haja ya kumpata sababu samaki wengi baharini why nifate alievunda? , ktk watu bil 7 duniani nizengee waha? Eish!
So far hujaolewa usiseme mengi coz ya mungu mengi. Haina tofauti na binti kwene mahusiano anavotoa ahadi lukuki kwa mwanaume kuwa hatukuwa na mwingine zaidi yake lakn baada ya miaka 5 muulze ametembea na wangapi, atakuwa hakumbuk hatha idadi
Anao na kuna huyu kapata mkopo 100% ni mwanaweOii hivi prof.ndalichako ana watoto if yes ....embu tilikia hapa????? Maaana nataka nione kama wana teseka kama hawa wa sasa hivi!
....oi hii pia inanitatiza ..maana kuna wazalendo walikuja wakasema ni majina tuu yamefanana ila not bloodly related to mama mdogo ndarichako....,,,,Anao na kuna huyu kapata mkopo 100% ni mwanaweView attachment 422299
Nijuavyo wanachura mbinuko hatare!Wana roho mbaya by nature
Ni kweli niko nao hapa kibondo mi na mchaga wala hawana kelele sana kama wa kule kwetu lyamrakanatafadhari me ni muha usiseme hivo sisi watu safi sana
T.O gani aliyewahi kuwa mwalimu wa shule ya msingi? au alikua T.O wa ma.mbu.ru.ru.randalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
Unatakiwa kulipia tangazo mkuuUmenichekesha mpaka nimepaliwa cocoa.