Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Povu mnatoa nyie wenye roho mbaya, mmekalia kuwavua uraia Watz wenzenu. Tena bila haya, miongoni waliomuunga mkono Kabila ni Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere, mbona yeye hujamtaja. Moja ya tatizo letu kubwa, tukitofautiana na mwenzetu kimawazo, na hasa ukikuzidi uwezo wa kiakili. Badala ya kujifunza kutoka kwake, unavua uraia. Dunia ilitusuta kwa kumvua uraia Jenerali Ulimwengu na kumfanya stateless, wakaona aibu wakamrejeshea uraia wake. Leo nawe unakuja na ujinga ule ule wa kumvua uraia. Kazaliwa Tanzania, kakulia Tanzania, kazeekea Tanzania. Acheni roho mbaya
Una hakika kwamba alirudishiwa?
 
Kuna jamaa hapo juu ametoa kidogo Cv yake mmu ndani kuna watu ni Waha waache tu mkuu
 
Wewe ndio unamfahamu kama Mtanzania. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba serikali ilipochukua uraia wake hakuomba ili awe naturalized. Mara ya mwisho nakumbuka kusikia kwamba anafanya kazi hapa kama mgeni akitumia kibali.

Mkuu, kwahiyo kwa mujibu wa hiyo kumbukumbu yako, ambayo mimi nachelea kuiita udaku, Ulimwengu anafanya kazi kama mgeni. OK. Mkuu, nikufahamishe tu, mimi nilishawahi kufanya kazi kama afisa utumishi ktk taasisi inayotumia wageni wengi sana hapa nchini. Niliomba vibali vingi vya wageni serikalini, kwa niaba ya taasisi yangu, waliokuja kutusaidia kutoka nje za nchi. Ni ngumu sana, almost impossible, ktk hali ya kawaida kufanya kazi kwa kutumia hivi vibali, ambavyo vingi ni vya muda mfupi (maximum 3 years), kufanya kazi kwa muda ambao Ulimwengu amefanya kazi nchini. Hii ndiyo sababu nadhani hoja yako imejengwa zaidi kwenye msingi wa hisia.
 
Kuna raia wa kuzaliwa na raia wa kujiandikisha. Raia wa kujiandikisha kuna haki fulani anakosa tofauti na raia wa kuzaliwa. Haki hizo nimefogeti kidogo.

Lakini si unajua kwamba ukikamatwa hapa nchini unaishi na kufanya kazi kinyume na sheria unawekwa kizuizini na wakati mwingine kufungwa kabisa na/au unarudishwa kwenu kwanza kabla hujaomba hiyo haki ya kutambuliwa kama "naturalized citizen"? Hebu nipe record ya Ulimwengu kupitia haya yote. Kuna kitu hakijakaa sawa ktk maelezo ya wanaodai Ulimwengu aliwahi kuwa siyo raia wa Tz.
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
Mkuu na wewe umeamua kuongopa? Jenerali alinyang'anywa uraia lakini baadaye akaomba na kupewa.

Sababu za kunyang'anywa nina imani unazijua. Jenerali ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.

Mtu yeyote ambaye wakati Tanganyika inapata uhuru alikuwa ndani ya Jamhuri, ni raia.

Jenerali amezaliwa Tanganyika. Kama suala ni kuwa ana asili ya Nchi jirani, basi mamilioni ya Watanzania si raia.
 
Mkuu, kwahiyo kwa mujibu wa hiyo kumbukumbu yako, ambayo mimi nachelea kuiita udaku, Ulimwengu anafanya kazi kama mgeni. OK. Mkuu, nikufahamishe tu, mimi nilishawahi kufanya kazi kama afisa utumishi ktk taasisi inayotumia wageni wengi sana hapa nchini. Niliomba vibali vingi vya wageni serikalini, kwa niaba ya taasisi yangu, waliokuja kutusaidia kutoka nje za nchi. Ni ngumu sana, almost impossible, ktk hali ya kawaida kufanya kazi kwa kutumia hivi vibali, ambavyo vingi ni vya muda mfupi (maximum 3 years), kufanya kazi kwa muda ambao Ulimwengu amefanya kazi nchini. Hii ndiyo sababu nadhani hoja yako imejengwa zaidi kwenye msingi wa hisia.
Tatizo lako umeanza na neno udaku. Kwani kibali cha miaka mitatu hakiongezwi muda? Unajua Dr. Remmy (RIP) alifanya kazi nchini kwa kibali kwa muda gani?
 
Mkuu na wewe umeamua kuongopa? Jenerali alinyang'anywa uraia lakini baadaye akaomba na kupewa.

Sababu za kunyang'anywa nina imani unazijua. Jenerali ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.

Mtu yeyote ambaye wakati Tanganyika inapata uhuru alikuwa ndani ya Jamhuri, ni raia.

Jenerali amezaliwa Tanganyika. Kama suala ni kuwa ana asili ya Nchi jirani, basi mamilioni ya Watanzania si raia.
Mkuu hapo sasa unaposema aliomba na kupewa ndipo nawe unachanganya mambo. Uraia wa kuzaliwa ni haki yako na wala huuombi. Kama aliomba basi uraia wa kuzaliwa unakuwa umefutwa.
Nimesema alinyang'anywa uraia na sina kumbukumbu kama aliomba na kupewa ila kuna wakati alikuwa akifanya kazi kwa vibali.
 
Lakini si unajua kwamba ukikamatwa hapa nchini unaishi na kufanya kazi kinyume na sheria unawekwa kizuizini na wakati mwingine kufungwa kabisa na/au unarudishwa kwenu kwanza kabla hujaomba hiyo haki ya kutambuliwa kama "naturalized citizen"? Hebu nipe record ya Ulimwengu kupitia haya yote. Kuna kitu hakijakaa sawa ktk maelezo ya wanaodai Ulimwengu aliwahi kuwa siyo raia wa Tz.
Mkuu ni kweli kabisa aliwahi kuukosa uraia wa Tanzania baada ya kupokonywa. Mwenzake Balozi Timothy Bandora nadhani alienda Rwanda.
 
Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.

Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.
Utakuwa unamchukia Jenerali tu. Kama MTU kasoma Kamachumu primary alitoka Rwanda mwaka gani? Ameanza shule pale kabla Tanganyika haijapata Uhuru kwa maana hiyo by default anakuwa Mtanzania.

Kuhusu la kuwepo Congo mara baada ya Mobutu kuangushwa limenichekesha. Mbona Mwalimu alikuwa na taarifa, hao walikuwa Vijana wake wa kumpa taarifa.

Jenerali alipofika moja ya vizuizi Congo alipotaja jina Wajeshi wakastuka ila baada ya maelezo wakamwachia.

Vijana wa Mwalimu, ndiyo waliombrief hali ya Congo kabla mwenyewe hajatia maguu
 
Mkuu hapo sasa unaposema aliomba na kupewa ndipo nawe unachanganya mambo. Uraia wa kuzaliwa ni haki yako na wala huuombi. Kama aliomba basi uraia wa kuzaliwa unakuwa umefutwa.
Nimesema alinyang'anywa uraia na sina kumbukumbu kama aliomba na kupewa ila kuna wakati alikuwa akifanya kazi kwa vibali.
Kuna nyakati na masingira inabidi ufanye maamuzi Fulani.

Bwana Mkubwa kamchukia, kamtuma X spy chief kumchunguza au kwa lugha rahisi kutafuta sababu za kumnyang'anya uraia. Marafiki comrades wenzake wakamshauri omba tu uraia, Bwana Mkubwa kachukia kwa sababu ya kukosolewa.

Aliomba uraia na akapewa. Kama angekuwa hatari kwa usalama wa Nchi yetu asingepewa.

Nikuulize, kama wewe umezaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru Uraia wako unakoma kwa sababu una asili ya Nchi jirani?
 
Utakuwa unamchukia Jenerali tu. Kama MTU kasoma Kamachumu primary alitoka Rwanda mwaka gani? Ameanza shule pale kabla Tanganyika haijapata Uhuru kwa maana hiyo by default anakuwa Mtanzania.

Kuhusu la kuwepo Congo mara baada ya Mobutu kuangushwa limenichekesha. Mbona Mwalimu alikuwa na taarifa, hao walikuwa Vijana wake wa kumpa taarifa.

Jenerali alipofika moja ya vizuizi Congo alipotaja jina Wajeshi wakastuka ila baada ya maelezo wakamwachia.

Vijana wa Mwalimu, ndiyo waliombrief hali ya Congo kabla mwenyewe hajatia maguu
Mkuu nikuweke tu sawa kwamba mimi simchukii Jenerali Twaha Ulimwengu. Mimi binafsi namheshimu sana. Najua ni mpambanaji asiyechoka na naifahamu misimamo yake tangia zamani. Nafuatilia makala zake nyingi tangia wanaanzisha Dimba na Rai hadi Raia mwema. Nafuatilia makala zake kwenye gazeti la The East African pia. Kusema kwamba alishawahi kupokonywa uraia si chuki bali ukweli.
Hilo la akina Kabila najua kwamba Mzee Kabila alitoka hapa na alikuwa anaishi hapa tangia wakati wa Nyerere na alikuwa akiungwa mkono. Najua pia unafahamu kilichomkumba Mzee Kabila baada ya kufarakana na akina Bizima Karaha.
Hapo kwenye kwenda Zaire kwa Twaha nilikuwa nataka uone jinsi alivyokuwa na nasaba na akina Bizima ambao walikuwa ni de facto leaders wa Zaire ya Mzee Kabila.
 
Mkuu mimi sijasema alikuwa hatari kwa usalama wa nchi yetu. Nimesema alipokonywa uraia ila sababu sizijui. Huenda serikali iligundua kwamba alikuja akiwa mgongoni kama walivyowahi kumtuhumu Idd Simba hadi alivyosafishwa na mahakama. Hilo la usalama mimi silijui manake hata Bandora aliwahi kuwa balozi wetu nchi mbalimbali na kisha akapokonywa uraia.
 
Tumia hiyo link kupata CV yake!

Hiyo link yenye half baked biography ya Ulimwengu inajaribu kumtetea kwa kutumia hoja za Nyerere dhidi ya Iddi Amini wakati alipowafukuza wahindi Uganda. Mahasimu wake walitaka Ulimwengu aende wapi, mwezini?

Well, labda wangeaza kwa kutuambia kwa nini Ulimwengu alikuwa kama Mhindi wa Uganda. Mhindi wa Uganda hakuwa mzawa. Whether unakubaliana au hukubaliani na sera za ukuu wa wazawa mbele ya wakuja, jambo moja wote tunakubaliana ni kwamba Wahindi hawakuwa wazawa! Huwezi kulikwepa hilo.

Sasa Jenerali Ulimwengu ana background gani kiuraia kiasi kwamba hata wanaomtetea wanamfananisha na wahindi wa Uganda?

Wanakiri watetezi wake kwamba Ulimwengu aliomba uraia akanyimwa. Well, kwa nini alitakiwa kuomba? Mbona sisi wengine hatujawahi kutakiwa kuomba uraia? Mbona hamsemi ana nini Ulimwengu kwenye uzawa wake?

Jibu moja la haraka haraka kwa nini Ulimwengu amekuwa akibanwa-banwa na sheria ni kwa vile hakuzaliwa Mtanzania. He is not a natural born citizen of Tanzania. Hilo tusilikwepe.

Inawezekana kabisa, na mimi naamini ndivyo ilivyo, sheria ilitumika dhidi yake binafsi kwa sababu za kisiasa, lakini mwisho wa siku aliyetenda kitendo cha kumtangaza kama sio raia alitumia sheria. Na hilo nalo huwezi kulikwepa!

Sasa kibaya kilichopo ni kwamba Waafrika huwa hatuandiki historia, hatuandiki biography zetu. Tunamsifuje mtu kwamba ni mwanazuoni anaeheshimika, mwandishi mahiri, mwanafikra pevu, halafu mtu mwenyewe hajawahi kuandika chochote kuhusu maisha yake? Background yake giza tupu! Ndio maana wanampa vyeo wanamnyang'anya, wanamtishia-tishia kumkamata, wanamrusha-rusha kama M-mexico aliyeruka ukuta kuingia Marekani ya Donald Trump.

Inawezekana kuna fomu alishawahi kujaza kuomba uraia wa Rwanda akajifuta wa kwetu. Au wa Algeria, huko alikokuwa, halafu Tanzania ikainasa fomu. Na ndo maana tunaambiwa Serikali haijawahi kumwambia sababu ya kumkatalia wala sisi hatujaambiwa. Well, yeye anajua! Ulimwengu sio unschooled peasant anyimwe kitu asiulize kwa nini, anajua!

Na hapo bado hatujauliza ilikua-kuaje akaitwa Generali Ulimwengu ilhali alizaliwaTwaha Khalfani?
 
Nini kilitokea na kusababisha bifu kati yoa " vijana wa mwalimu" mpaka mmoja akafanya b/room ni gari lililo egeshwa klabu ya pombe?

Na washawasha!

Utakuwa unamchukia Jenerali tu. Kama MTU kasoma Kamachumu primary alitoka Rwanda mwaka gani? Ameanza shule pale kabla Tanganyika haijapata Uhuru kwa maana hiyo by default anakuwa Mtanzania.

Kuhusu la kuwepo Congo mara baada ya Mobutu kuangushwa limenichekesha. Mbona Mwalimu alikuwa na taarifa, hao walikuwa Vijana wake wa kumpa taarifa.

Jenerali alipofika moja ya vizuizi Congo alipotaja jina Wajeshi wakastuka ila baada ya maelezo wakamwachia.

Vijana wa Mwalimu, ndiyo waliombrief hali ya Congo kabla mwenyewe hajatia maguu
 
Mkuu nikuweke tu sawa kwamba mimi simchukii Jenerali Twaha Ulimwengu. Mimi binafsi namheshimu sana. Najua ni mpambanaji asiyechoka na naifahamu misimamo yake tangia zamani. Nafuatilia makala zake nyingi tangia wanaanzisha Dimba na Rai hadi Raia mwema. Nafuatilia makala zake kwenye gazeti la The East African pia. Kusema kwamba alishawahi kupokonywa uraia si chuki bali ukweli.
Hilo la akina Kabila najua kwamba Mzee Kabila alitoka hapa na alikuwa anaishi hapa tangia wakati wa Nyerere na alikuwa akiungwa mkono. Najua pia unafahamu kilichomkumba Mzee Kabila baada ya kufarakana na akina Bizima Karaha.
Hapo kwenye kwenda Zaire kwa Twaha nilikuwa nataka uone jinsi alivyokuwa na nasaba na akina Bizima ambao walikuwa ni de facto leaders wa Zaire ya Mzee Kabila.
Nilikwambia pale awali kuwa una chuki binafsi. Na wenye tabia hiyo ktk nchi hii mko wengi. Unachuki naye, naona unajifaragua hapa baada ya kuambiwa ukweli. Mtu kazaliwa Tanzania, kasomea Tanzania, kakulia Tanzania, kazeekea Tanzania. Leo umekazana, Jenerali Ulimwengu sio Mtz, mara alishiriki mauaji ya kimbali Rwanda, mpaka unajiapiza. Acheni hizo, tabia hiyo haijengi Taifa, bali hubomoa

Kwa kwenda DRC, kawa Mnyarwanda, Je, na Mwl. JKN alivyoenda kwa hiyo naye ni Mnyarwanda kwa tafsiri yako mbovu!!! Acheni kushabikia roho mbaya. Jifunze kwa wenye akili sio kuwapiga vita
 
Mkuu nikuweke tu sawa kwamba mimi simchukii Jenerali Twaha Ulimwengu. Mimi binafsi namheshimu sana. Najua ni mpambanaji asiyechoka na naifahamu misimamo yake tangia zamani. Nafuatilia makala zake nyingi tangia wanaanzisha Dimba na Rai hadi Raia mwema. Nafuatilia makala zake kwenye gazeti la The East African pia. Kusema kwamba alishawahi kupokonywa uraia si chuki bali ukweli.
Hilo la akina Kabila najua kwamba Mzee Kabila alitoka hapa na alikuwa anaishi hapa tangia wakati wa Nyerere na alikuwa akiungwa mkono. Najua pia unafahamu kilichomkumba Mzee Kabila baada ya kufarakana na akina Bizima Karaha.
Hapo kwenye kwenda Zaire kwa Twaha nilikuwa nataka uone jinsi alivyokuwa na nasaba na akina Bizima ambao walikuwa ni de facto leaders wa Zaire ya Mzee Kabila.
Tusaidie hiyo connection ya Bizimah Karaha na Ulimwengu. Unajua tuhuma kama hizo ni mbaya sana.

Jenerali kaenda Congo mara baada ya vita kukoma. Tusaidie kujua aliwasaidiaje akina Bizima ( Bizimana) kumuua Kabila Mkubwa.

Mkuu usiwe obsessed na kabila au asili ya MTU. Tanzania hii tumechanganyika sana. Kule Mara nilipozaliwa kuna Wakira na Wanchari pande zote za Mpaka!!
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.
Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers. Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa. Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama. Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
Pia aling'ang'ania kubaki Algiers na hakutaka kumwachia ukatibu mkuu wa vijana wa Afrika Prof Kabudi(mbunge mteuliwa),akikuchukia umekwisha na ni kama kinyonga vile,mara yuko huku kesho yuko kule
 
Back
Top Bottom