*niharali= ni halali.Kwa hii CV niharali jamuhuri kujichanganya lazima wakajipange upya vinginevyo atawashinda kesi zote
*ramda=labda.Kama dawa yake inachemka ramda serikali ya kidicteta wa kumua sio sheria
*Shelia=Sheria.Mbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
Warwick ni chuo kizuri sana cha sharia no wonder is a good lawyerHii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Date of Birth: 20 January 1968
EDUCATION
Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School
Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School
Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.
University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree
University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)
The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)
D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)
Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)
NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)
MY FOOT! TUNDU LISSU ALIPOKUWA MTOTO ALIKUWA NA TABIA YA KUCHUKOZA WENZIE HALAFU ANAJIFICHA MIGUUNI KWA MDINGI, NA SASA ANACHEZA NA SHERIA KUJARIBU KUJIVIKA JOHO LINALOMPWAYA VIBAYA!Mahakama haiwezi kumhukumu Lissu kwasababu havunji sheria
MY FOOT! TUNDU LISSU ALIPOKUWA MTOTO ALIKUWA NA TABIA YA KUCHUKOZA WENZIE HALAFU ANAJIFICHA MIGUUNI KWA MDINGI, NA SASA ANACHEZA NA SHERIA KUJARIBU KUJIVIKA JOHO LINALOMPWAYA VIBAYA!
HE'S JUST ANOTHER GREEDY COWARD (a.k.a HYENA!)
![]()
MY FOOT! TUNDU LISSU ALIPOKUWA MTOTO ALIKUWA NA TABIA YA KUCHUKOZA WENZIE HALAFU ANAJIFICHA MIGUUNI KWA MDINGI, NA SASA ANACHEZA NA SHERIA KUJARIBU KUJIVIKA JOHO LINALOMPWAYA VIBAYA!
HE'S JUST ANOTHER GREEDY COWARD (a.k.a HYENA!)
![]()
Kweli mkuu kuna watu Wa master lakini ndio hivyo sadam Hussen rais Wa kuweitAiseee kuna watu wengine unashindwa kuwaelewa, yaani unamshangaa mtu anayeishangaa hiyo Cv kwa kusema ni ya kawaida na labda kwa kuwa mtu hana hiyo elimu ya masters? Hivi issue ni mlundikano wa vyeti au ni jinsi akili yako inavyoweza kuthibitisha pasipo shaka kuwa elimu yako inaendana na ulicjonacho kichwani na nini unachodeliver. kwa wanasheria nadhani watanisaidia issue hapa siyo wingi au lundo la vyeti ktk sheria hapa ni namna unavvyoweza kuitafasiri sheria. Wapo watu wana phd lakini wapeleke kwenye eneo husika utawaonea huruma.
Hiyo CV haifikii hata ya ka Dr Tulia ambako kana angalau ka PhD kamoja ka sheria na ka Unaibu Mwanasheria Mkuu wa serikali na ka unaibu Spika wa bunge la JMT. Halafu kuna maprofesa na majaji wa sheria kibao. Sasa huo unguli wa sheria wa Tundu Lissu unatoka wapi?Lumumba hawataki kuiona wala kuisikia CV hii ya Nguli wa sheria hapa Tanzania na ukanda wa A. Mashariki na kati kwa ujumla. Huyu ndiye aliyewafanya vijana hao wa Lumumba walale na viatu jana tarehe 5 Julai 2016 pale alipowadhalilisha kwa kuwafunza sheria mawakili wa serikali kwenye mahakama ya Kisutu. Wamwache Tundu amzodoe mkuu wa kaya kwa raha zake.
Dr Tuliatundulisu yupo vizuri sana....wenye PhD wengii hamna kitu kichwani