Kuna sehemu nimesema Lisu ni Dr? Hivi huu utoto mnaleta huku badala ya kupeleka Facebook? Namamisha mwalimu anakufundisha na unakuwa na uelewa na perfomance kubwa kuliko mwalimu wako! Mwalimu kakufundisha Olevel alikuwa ana division three wewe unapata div one, lecturer anakufundisha yeye ana upper second wewe unapata first! Hivi hujamzidi? Sasa cha ajabu nini? Mwakyembe kumfundisha Lissu haimanishi kwamba kwenye sheria ni mzuri kuliko Lissu na hili hata bungeni kina makinda na mwanasheria mkuu wa serekali wote wanajua mbona makinda alikuwa hamconsult mwakyembe pindi vifungu vilipokuwa vinaleta utata? Au Hakuwa bungeni? Wewe ni ki... N... E... M... B.. e