Unachemsha hayo makufuli yako kwa avatar au?Dawa yake inachemka
Unachemsha hayo makufuli yako kwa avatar au?Dawa yake inachemka
Imechemka mpaka imemwagika na kukaukia kwenye sufuriaDawa yake inachemka
Wewe na CV yako nzito umefanya nini?Au una kipi cha kujivunia?Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Hahahaha, hizi ndizo akili timamu za mwanaCCM.Enzi hizi bungeni ataonekana mwakani 2017 bunge baada ya BAN
mnataka kumuua?Dawa yake inachemka
Lumumba hawataki kuiona wala kuisikia CV hii ya Nguli wa sheria hapa Tanzania na ukanda wa A. Mashariki na kati kwa ujumla. Huyu ndiye aliyewafanya vijana hao wa Lumumba walale na viatu jana tarehe 5 Julai 2016 pale alipowadhalilisha kwa kuwafunza sheria mawakili wa serikali kwenye mahakama ya Kisutu. Wamwache Tundu amzodoe mkuu wa kaya kwa raha zake.
Acha ujinga wewe mtotoDawa yake inachemka
Uko sahihi kabisaHii ni hybrid ya Messi&Ronaldo
Hajawai kushindwa kesi..!Mkuu ongeza madude hapo. Amesimamia kesi ngapi na kashinda ngapi!
Acha ujinga wewe. Inaonekana uliishia darasa LA pili. Tundu Lissu kafundishwa na Dr Mwakyembe period!Kwakweli Lissu huwa ananikosha sana,ana degree ya Pili ya sheria lakini nice mahiri sana kwenye ulingo wa she ria kuwazidi hata akina Mwakyembe et al. naona atawasumbua sana hawa watawala wasipokua makini katika kuhendo kesi mbalimbali zitakazokua zinamkabili.
Ukisha chemka wa kwanza kuinywa ni wewe.Dawa yake inachemka
Sasa na wewe shahada yako ya uzamili ya sayansi kimu utakuja kuisema mbele za watu? Mwone huyu naye!!Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!