Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Wana jamvi natumaini mmeanza siku Ya pili vema.
Uchaguzi TLS umekwisha ila wengi wetu hatujui cv ya wakili huyu msomi na tuna hamu sana kujua alipopata proffeshen yake hii na alikoandaliwa hivyo mwenye nayo ebu atuweke Please hapa jf.
kafie kaburini huko pumbavu
 
CV yake ni nzuri, inatosha......tunaomba mtuwekee na ya kamanda mbowe plz.
 
Wakuu naomba tuweke records sawa. Naomba kwa wale wanaomfaham vizuri mheshimiwa tundulisu tuorodheshe matukio ambayo ametetea wanyonge wa nchi hii ili wajukuu ambao watakuja wasome historia yake vizuri...

1. Kawatetea wanyonge ambao walikuwa wanaonewa na mgodi wa buzwagi
2. Mtetezi wa mazingira
3.................
4..................
5............

nangu mandokwa
 
Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu

Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu

Member Type: Elected Member

Constituent: Singida Mashariki

Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam

Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571

Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz

Date of Birth: 20 January 1968

EDUCATION

Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School

Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School

Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.

University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree

University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)

The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)

D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)

Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)

POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)

NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)
Na mbwembwe zote Lissu hana PhD? Au press conference anazo fanya ni za kukusanya data na kufanya analysis ya dissertation ya hiyo PhD - sisi tunadhani ni siasa kumbe yupo darasani. Maana mimi siamini kama wafuasi wake wanavyosema ni msomi na ana masters tu? Tanzania ndio maana IQ wamesema wanazidiwa na Uganda na Kenya. Masters ni kitu kidogo - tena ukute ni ya kufundishwa darasani! Siyo by research! Elimu hiyo haitoshi ajiendeleze.
 
PhD ni uwezo wa kukariri Kazi za wengine zilizopita,ambayo MTU yeyote akitaka anaipata,kuwa na PhD na kuwa na uwezo wa kufikiri ni vitu tofauti ndo maana unaweza kuta MTU ana PhD uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo ni Mdogo kuliko aso na PhD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mbwembwe zote Lissu hana PhD? Au press conference anazo fanya ni za kukusanya data na kufanya analysis ya dissertation ya hiyo PhD - sisi tunadhani ni siasa kumbe yupo darasani. Maana mimi siamini kama wafuasi wake wanavyosema ni msomi na ana masters tu? Tanzania ndio maana IQ wamesema wanazidiwa na Uganda na Kenya. Masters ni kitu kidogo - tena ukute ni ya kufundishwa darasani! Siyo by research! Elimu hiyo haitoshi ajiendeleze.
Kinachofanya awe machachari bilashaka ni umahiri wake katika sheria,jamaa bilashaka aliiva kuanzia kwenye LLB hadi kwenye masters.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu

Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu

Member Type: Elected Member

Constituent: Singida Mashariki

Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam

Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571

Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz

Date of Birth: 20 January 1968

EDUCATION

Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School

Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School

Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.

University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree

University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)

The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)

D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)

Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)

POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)

NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)
Miaka ya secondari umekosea ilboru 1981 hadi 1984
 
Back
Top Bottom