KING DUBU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 918
- 1,240
ndio Hana Phd ya maganda ya korosho.
ndio Hana Phd ya maganda ya korosho.
Eti, Nani alikuwa waziri wa miundombinu mwaka 2009 wakati wa kuvunja mkataba wa mkandarasi wa barabara ya tegeta-bagamoyo?Utamfanyaje labda umuue !!
Nigependa nikusikie ukiwaambia Lumumba mkiwa chamber.Halafu usikie watakavyokubana na kukukwambia ukathibitishe kuwasaidia mkabili. Kwa taarifa yako wanyama wengi wakimkuta simba kalala huwa wanadhani ni woga wao tuu sio mnyama wa kutisha.Wakawaida sana huyu jamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhula wa mwisho?? Embu usinikumbushe wassira ambaye alitoa utabiri kma huu 2012 ila naona imekua opposite😀😀😀😀
Hata usipopiga kura Lissu kama kawa atarudi
anaitwa msomi na mbururaz huyu traitor
Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Nyepesi mno, ya kawaida sana aise...kuna watu wanauza mahindi ya kuchoma kwa CV ka hiiiMkuu ongeza madude hapo. Amesimamia kesi ngapi na kashinda ngapi!
Na mbwembwe zote Lissu hana PhD? Au press conference anazo fanya ni za kukusanya data na kufanya analysis ya dissertation ya hiyo PhD - sisi tunadhani ni siasa kumbe yupo darasani. Maana mimi siamini kama wafuasi wake wanavyosema ni msomi na ana masters tu? Tanzania ndio maana IQ wamesema wanazidiwa na Uganda na Kenya. Masters ni kitu kidogo - tena ukute ni ya kufundishwa darasani! Siyo by research! Elimu hiyo haitoshi ajiendeleze.
Mtetezi wa tumbo lake tu. Mbona Lema hakumtoa kwa wakati? Mbona hatetei Ruzuku ya CDM itumike vizuri angalau hata kujenga Ofisi ya Makao Makuu ya CDM?..kinachomuinua Lissu akawazidi hata wenye PhD ni wito na ujasiri alionao ktk kutetea haki na utawala wa sheria.
..Lissu hahitaji kuongeza shahada nyingine. Jamii yake inamhitaji kama mtetezi wa haki za wanyonge wa nchi hii.
Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Date of Birth: 20 January 1968
EDUCATION
Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School
Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School
Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.
University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree
University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)
The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)
D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)
Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)
NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)
Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Date of Birth: 20 January 1968
EDUCATION
Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School
Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School
Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.
University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree
University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)
The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)
D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)
Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)
NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)
Weka yakwako MkuuMbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!