Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,661
Tuweke Cv yako nzito mkuu.Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Tuweke Cv yako nzito mkuu.Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Kauli ya Mtu aliyeshindwa kihaki, sasa anatafuta njia isiyo ya Haki au kumdhuru Lissu, ni kawaida yenu, naona mambo ya Mabwepande unayafikiria kwa sasa, na ushindwe na ulegee.Dawa yake inachemka
Hamna vifungu pale acha ukuta, kinachotumika pale ni mabavu na wingi wa wabunge wa chama la kijani! Ivi ujinga mtu anazaliwa nao au anajifunza? Wewe ujinga wako ni wa kuzaliwa no wayMbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
Kufundishwa sio tatizo. Na kumbuka wlimu wa tz huwa ni div 3-4 ila et ndyo wanafundisha wanafunz kupata dv 1.Acha ujinga wewe. Inaonekana uliishia darasa LA pili. Tundu Lissu kafundishwa na Dr Mwakyembe period!
Tupeni CV ya MboweLumumba hawataki kuiona wala kuisikia CV hii ya Nguli wa sheria hapa Tanzania na ukanda wa A. Mashariki na kati kwa ujumla. Huyu ndiye aliyewafanya vijana hao wa Lumumba walale na viatu jana tarehe 5 Julai 2016 pale alipowadhalilisha kwa kuwafunza sheria mawakili wa serikali kwenye mahakama ya Kisutu. Wamwache Tundu amzodoe mkuu wa kaya kwa raha zake.
Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Tulia wwe dawa iingie, sindano isije katikia kwenye tako.Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Mkuu siku zote CV inaheshimiwa kulingana na performance.Mbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Huruma sana! Bado kuna peoples' power wewe mburula? Mara UKAWA Mara UKUTA !!![/QUOTE
Niite vyovyote utakavyo ili upate furaha ya muda. Najua hujui wenye hati miliki ya nchi hii ni wananchi na siyo ccm wa kujipendekeza na kujiigiza kwa virushwa vyenu. Najua hutaki ukuta ukawaelimishe wenye nchi juu ya haya unayoyafanya kinyume na katiba ya nchi yao kwani watazidi kukuchukia kuliko kipindi kingine chochote. Najua pia hadaa yako ya kumrejesha kinana na mangula ili angalau wakusaidie kukarabati chama chakavu kinachokaribia kubomoka na kusahaulika. Najua usipotukana wenye uelewa mpana hupati posho. Kilaza wewe.
Mkuu kwani hii inakitu gani cha ajabu hata Amina makilagi hajamfikia,Hata angela kiziga kamzidi kielimu kwa mbali.Lumumba hawataki kuiona wala kuisikia CV hii ya Nguli wa sheria hapa Tanzania na ukanda wa A. Mashariki na kati kwa ujumla. Huyu ndiye aliyewafanya vijana hao wa Lumumba walale na viatu jana tarehe 5 Julai 2016 pale alipowadhalilisha kwa kuwafunza sheria mawakili wa serikali kwenye mahakama ya Kisutu. Wamwache Tundu amzodoe mkuu wa kaya kwa raha zake.
Sio suala la level ya Master's tu, ni pamoja na umahiri na ubobeziMbona CV nyepesi sana hii. Labda kwa wewe usiyepata Shahada ya Uzamili!
Proffeshen ndio kitu gani hiki!!!?Wana jamvi natumaini mmeanza siku Ya pili vema.
Uchaguzi TLS umekwisha ila wengi wetu hatujui cv ya wakili huyu msomi na tuna hamu sana kujua alipopata proffeshen yake hii na alikoandaliwa hivyo mwenye nayo ebu atuweke Please hapa jf.
We ndiye jembe na nyundo bhn..... Aya mleta uzi hope kiu imekataProfile
![]()
Hon. Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type : Constituent Member
Constituent : Singida Mashariki
Political Party : CHADEMA
Phone : +255654572571
P.O Box : P.O Box 21746, Dar es Salaam
Email Address : t.lissu@bunge.go.tz
Date of Birth : 1968-01-20
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level
University of Warwick, UK LL.M 1995-1996 Masters Degree
University of Dar es Salaam LL.B 1991-1994 Bachelor
Ilboru Secondary School CSEE 1983-1986 Secondary School
Galanos Secondary School ACSEE 1987-1989 Secondary School
Mahambe Primary School CPEE 1976-1982 Primary School
Employment History :
Company/Institution Position From To
LEAT Researcher / Counsel 1999-2009
WRI Researcher 1999-2002
D'Souza Chambers Legal Officer 1995-1997
Bondeni Secondary School Teacher 1990-1991
Political Experience :
Political Party Position From To
Parliament of Tanzania Member of Parliament 2015-2020
Parliament of Tanzania Member of Parliament 2010-2015
Constitution and Legal Affairs Committee of the Parliament Member 2010-2015
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mwanasheria Mkuu wa Chama 2004 - Todate
NCCR Mageuzi Member 1992-1996