Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Sasa na wewe shahada yako ya uzamili ya sayansi kimu utakuja kuisema mbele za watu? Mwone huyu naye!!
Wewe bwege sana! Labda shahada yako ndio ya mazingaombwe( kama unayo hata Form 4 yenyewe!
 
Aiseee kuna watu wengine unashindwa kuwaelewa, yaani unamshangaa mtu anayeishangaa hiyo Cv kwa kusema ni ya kawaida na labda kwa kuwa mtu hana hiyo elimu ya masters? Hivi issue ni mlundikano wa vyeti au ni jinsi akili yako inavyoweza kuthibitisha pasipo shaka kuwa elimu yako inaendana na ulicjonacho kichwani na nini unachodeliver. kwa wanasheria nadhani watanisaidia issue hapa siyo wingi au lundo la vyeti ktk sheria hapa ni namna unavvyoweza kuitafasiri sheria. Wapo watu wana phd lakini wapeleke kwenye eneo husika utawaonea huruma.
 
CV yangu hata haifiki mistari kumi na mbili! watoto wetu wapate elimu bora aisee

UNAFIKIRI WATAIPA CHINI YA DIKTETA UCHWALA ?? WAKATI POSHO ZA WALIMU ZINAKATWA NA MARUPURUPU MENGINE ??
 
Lissu ni level nyingine katika medani ya sheria na siasa. Unapogongana naye mahakamani lazima ujipange. Rejeeni hotuba zake bungeni hasa kwenye miswada ya sheria kwa jinsi alivyokuwa anawakokota kina Chenge na Migiro hadi Makinda alimvulia kofia kwa jinsi alivyokuwa anawaweka sawa. Majaji na mahakimu wanaosikiliza mashauri ya Lissu huhahirisha mashauri ili kujipa muda wa kuperuzi kwani Lissu ni vitabu vya sheria. Ushahidi wa haya ni pale wanasheria wa serikali walipoamua kurefer sheria za makaburu kuonyesha kuishiwa hoja. Go go Lissu the peoples power is with you and no one can shut your mouth except our Great Lord. Have my prayers.
 
Huruma sana! Bado kuna peoples' power wewe mburula? Mara UKAWA Mara UKUTA !!!
 
Mbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
 
Ni bora mninyime kura mm nisiende ikulu,kuliko kumpa kura lisu kwenda bungeni jk 2010 singida.
Popote pale alipo Rais wetu mstaafu, ni lazima sasa anayakumnuka maneno yake Yale. Na atakuwa anawakumbusha wenzake " nilisema Mimi, bora Dr. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lisu kuingia bungeni".
 
Mbona cv nyeupe kabisa hiyo,kashinda kesi ngapi so far?
 
Back
Top Bottom