Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Hivi mtu kama vyeti vyako ni halali na ulitusua with flying colors unapata uoga wa nini? Sana sana ndio utajisikia furaha sana kuwaonyesha hao wanaokutuhumu. Just my opinion
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
sugu wala mbowe hawatumii vyeti vya mtu kunatofauti kubwa sana, kama alipata zero inatakiwa Daudi atumie leaving certificate yake
 
Tutajie elimu ya chuo ni yake au ni ya mwenye vyeti?
 
Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
 
Mods msifute wala ku merge huu uzi..

Wataumerge na mwingine unaomuhusu maana huo ulianzishwa zamani kabla wewe hujajiunga humu
 
Mods msifute wala ku merge huu uzi..

Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
Ngoja tumalize kwanza la Daud kisha tutakuja kwa Mbowe kama naye alidanganya
 
Unaonekana bado hujafahamu tofauti kati ya Mbowe na Makonda linapokuja suala la elimu!!!!!

Mmoja ana tuhuma za kufeli kitu ambacho si kosa kwa mujibu wa sheria zetu na mwingine ana tuhuma za kughushi jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria zetu!!

Hatujapata kusikia hata mara moja kwamba Mheshimiwa Mbowe anatumia cheti cha huyu au yule kwa ngazi hii ya elimu au ile wakati hoja dhidi ya Makonda ni tuhuma za kutumia cheti cha mtu mwingine!!
 
Mods msifute wala ku merge huu uzi..

Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
Kama vina shida useme tu ila kwa ss tunahitaji vya makonda
 
Siku mbowe akitonyesha vyeti vyake vyote halali vya elimu nahamia Chadema
 
Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
Mbowe alishawahi jisemea kuwa hana degree,
 
IMG_20170223_115946_973.JPG

Mimi Naamini Mbowe ana Degree kwa sababu aligombea Urais Moja ya Kigezo cha Kugombea Urais ni Kuwa na Angalau Shahada ya Kwanza katika Taasis/Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
 
Sasa mbona havihusiani?? Mbowe kama Mbunge minimum awe darasa la saba........pia hajaiba cheti cha mtu akasema chake akakitumia kwend elimu ya juu apate kazi serikalini au ubunge wake !! Makonda ana kesi ya jinai ku forge nyaraka na kutumia kupata elimu ya juu.....etc....!! Hakuna uhusiano hapo! Makonda awajibishwe

Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
 
mbowe hajagushi vyeti inaasemekana ni 0 kama ole sendeka na wengine wengi tu ..........
swala hapa ni KUGUSHI CHETI hili ni kosa la kisheria chabruma alikuwa anahakiki na kukejeli wafanyakazi wenzie kumbe yeye ndo ki...........
 
Back
Top Bottom