Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,624
Wanaitaka vita ya mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo. Hawajielewi.Ukiulizia mwenyekiti wao watajaa mapovu mdomoni.
Wanaitaka vita ya mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo. Hawajielewi.Ukiulizia mwenyekiti wao watajaa mapovu mdomoni.
Huyu nae sijui ataacha lini kujipendekeza kwa Makonda mpaka anatia huruma jamani duh!!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Le Mutuz na Makonda niliona picha waliyopiga pamoja South Africa wanapendeza sana ni penzi jipya inaonekana, bora uchafu wao walienda kufanyia mbali
kumbe zeee linajitatulia marinda kiulaini ndo maana linajisimisha kumtetea 
Mie bana nilikuwa naamini watu wa Bukoba wako vizuri sana kielim na kiufaham, lakini kila nnaposoma post zako Bwana Ruttashobolwa daah napata shida sana kuendelea kuamini hilo.. Mtoa uzi kauliza kitu pengine kwa kumpenda au kupenda utendaji wa Mh Makonda we direct mayoreo umekimbilia kwenye siasa yaani kumuhusisha na chama flan cha kisiasa... Iwe bojo..Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Alokuambia padre anasoma theolojia peke yake ni nani!? Elimu ya padre inahusu maisha nje na ndani ya kanisa..Dr Slaa udokta wake hauna na hauwezi kuwa na tija kwa taifa ..Kimsingi Dr slaa ameishia kidato cha sita..elimu ya dini inatija kanisani tuu!
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Hawawezi kutajaUkiulizia mwenyekiti wao watajaa mapovu mdomoni.
Kweli mkuu hujakosea, Hili Taifa linashida Sana, Kuna mtu mwingine Anaitwa Mbowe eti nae nikiongozi wa chama!!! Kama Unataka ugomvi nae Hebu Ulizia CV yake tu.Hili ni taifa LA mazombi ndo maana hata wajinga wanatutawala
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
nyuso zenu leo mtaziweka wapi??Lindiwe sisulu Ndugu Paul Makonda ni msomi wa shahada mbili za sheria kutoka UDSM ni mwanasheria mahiri ni kijana aliyekulia kutoka chipukizi hadi hapo alipofikia..amezaliwa kiongozi kwani kote alipokuwepo ikiwemo skuli amekuwa kiongozi na anayo dhamira ya dhati ya kulitumikia taifa lake la tanzania kwani kazaliwa mtanzania kasoma mtanzania na atabaki mtanzania
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!
Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.
Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
KAPASUE TUMBO- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
msomi wa dunia ... kimenuka sasahuko kote aliongoza akiwa coka cola zero. bashite ndio habari ya mjini siku hizi. aibu tupu.- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz