Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,787
- 102,664
Mwaka ulirudishwa nyuma.Forgery!Inasemekana Gharibu wa GSM alimuuzia kiwanja R Makonda mwaka 2013
JE makonda alipata wapi pesa ya kununua kiwanja 2013?? HUYU alianza kupiga pesa mwaka 2016 baada ya kuteuliwa kuwa DC