Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Kwa wanao hoji uhalali wa vyeti vya mh. Makonda naomba tusisahau pia majibu ya mh. Mbowe juu ya elimu yake..Hatujawahi kumsikia kiongozi wa upinzani bungeni akijitokeza mbele ya umma kuelezea safari yake ya kielimu pamoja na kutuonyesha vielelezo kama vyeti n.k..
Tunapotoa tuhuma kama hizi, tusisahau pia kuweka usawa maana KUB na mwenyekiti CHADEMA ni cheo kikubwa na hapaswi kuingia mitini kwenye tuhuma hizi..

Kama tunataka vyeti vya Makonda vihakikiwe basi vyeti vya Mbowe navyo vihakikiwe..Ili twende sawa..Huu mchezo hauhitaji Hasira😀😀😀
Unatia huruma sana.

Yaani ulichoandika hapa ni sawa na toto jinga linasema "basi na mi sili basi"
 
Ingekuwa mimi ningetoa academic certificates zooote ili kuwaziba midomo hao mnaosema wafanyabiashara wa sembe kwa awamu hii ya kiki angeshatoa documents zote.Let us say wanamsingizia,awaumbue basi kwa kuweka vyeti vyoooote.
 
Hili swala sio la kufanyia mzaha japo limeingia kipindi chenye mambo mengi.........hii ilitakiwa ije alipopewa ukuu wa wilaya.

Bas atoe vyeti vyake wananchi tujiridhishe kuhusu hii sintofaham vinginevyo sheria ichukue mkondo wake aswekwe kunako
 
Ni ufinyu wa fikra kudhani kuwa kila anayedai ukweli ujulikane kuhusu elimu ya makonda ni muuza dawa za kulevya. Vita haianzi mpaka pawepo sababu, na sababu kaileta makonda mwenyewe.
Kwa hiyo hata Wizara inayohakiki vyeti ni wauza unga?
 
Mkuu saivi cheti OG ndio kinatengenezwa thus why yuko kimya. Na usishangae yule mtangazaji kule tabora akapoteza maisha au akaja kua bonge la tajiri, hii inaitwa uza ng'ombe tusolve kesi ya mbuzi.
Necta wakitengeneza cheti wamejichafua maana watu wanajua Sekondari aliyosomea jamaa akazungusha.
 
Kwani KUB ana tuhuma za kugushi vyeti? Yeye si vyeti vyake vina failure tu. Kuna kosa gani hapo? Mtoa mada ungejikita kumtetea na kumsafisha bwana ako. Huwezi safisha hizi tuhuma kwa kutumia kufeli kwa Mbowe.
Nashangaa, Mbowe anaejulikana amefeli angeleta cheti cha ufaulu ndio ingekuwa issue.Mtuhumiwa amefeli lakini ana cheti cha ufaulu wa daraja la juu ndio maana tuaomba uthibitisho. Au nae aje na utetezi alipewa jina la Nesi- Doctor.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Katika wasomi huyu makonda atanyoosha kidole kweli?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Duh! Msomi wa dunia!!!??????
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Ukiona Mwanaume anatumia nguvu nyingi kumtetea na kumsifia mwanaume mwenzake basi Najua wajua kinachoendelea..Dunia imeshaharibika hii
 
Alienda kuchukua masters ya masuala ya leadership pale mzumbe main campus akadisco semester ya qwanza huhuuuuu
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Nilijua tuu hili likijakazi la Daud litasimama kumtetea coz naskia Daud amelipa kazi hiyo
 
Nilijua tuu hili likijakazi la Daud litasimama kumtetea coz naskia Daud amelipa kazi hiyo

- Rais wa Mkoa yupo busy kuwafanyia kazi wananchi Millioni 8 wa Mkoa wa Dar, hawezi kupoteza muda kujibu ujinga wa watu 200 huko Instagram na Social Media wasiojitambua kwa hiyo sasa mnasema kila Instagram wakiuliza mambo ya kuhusu Kiongozi ajitokeze na kujibu? please

le Mutuz
 
Sensa ya lini mkuu hiyo ya watu mi8 mkuu dar es salaam?
 
Back
Top Bottom