Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Lemtuzi umnifurahisha sana ETI MSOMI WA DUNIA. ukiwa na Daud au makonda mtajie tu jina langu Halima mbulu a.k.a atafunga kinywa nahisi
 
Lindiwe sisulu Ndugu Paul Makonda ni msomi wa shahada mbili za sheria kutoka UDSM ni mwanasheria mahiri ni kijana aliyekulia kutoka chipukizi hadi hapo alipofikia..amezaliwa kiongozi kwani kote alipokuwepo ikiwemo skuli amekuwa kiongozi na anayo dhamira ya dhati ya kulitumikia taifa lake la tanzania kwani kazaliwa mtanzania kasoma mtanzania na atabaki mtanzania
hahahahahahahahahahhahah
naipenda sana jf yani imekuwa maktaba ya mawazo na maoni ya watu kwa miaka mingi.
hata kama ni uongo au pumba yamekuwa yakitunzwa
hii inatufunza kusema UKWELI Siku zote za maisha yetu maana kweli itakuweka huru milele
vipi ndg laiza bado unamsimamo na Maoni yako uliyoyatoa 19/2/2015
 
Tushachoka sasa na maswala ya makonda ebu tufikirieni na mambo mengine ya maendeleo
 
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee
Kumbe?
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mmh! Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Ngoja tusubiri vyeti na maelezo mubashara.
 
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee
Endeleeni kufunguka, ili mradi ni ukweli. Hatutaki kiki!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama ******* duh!!

Le Mutuz
kwani hao uliowataja wameteuliwa au wamechaguliwa na wananchi wao na wamewaamini
 
Inasemekana Gharibu wa GSM alimuuzia kiwanja R Makonda mwaka 2013
JE makonda alipata wapi pesa ya kununua kiwanja 2013?? HUYU alianza kupiga pesa mwaka 2016 baada ya kuteuliwa kuwa DC
 
Back
Top Bottom