Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wauza unga bhana. ,toka awali mlikuwa wap
Wauza unga ndo wana vyeti vya Makonda?
Tuache mzaha na majibu mepesi kwenye vitu vya msingi.

Zoezi la uhakiki vyeti na wafanyakazi hewa halijaisha...watu hatuna ajira mpya wala nyongeza ya mishahara kwa sababu ya tatizo hili. Ni tatizo lililopigiwa kelele mbaya hadi na Makonda mwenyewe.

Ingekuwa ni mtumishi yeyote mwandamizi chini ya Makonda kaandikwa kuhusu vyeti ni wazi kwa tabia yake angeshamtemea cheche na hata kumsimamisha kazi... kukuonyesha kuwa swala la uhakiki wa wafanyakazi sio la spoti spoti lilimpotezea kazi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mama Anna Malecela kwa kasi ya ajabu. Akimbuliwa ghafla hata hakuamini macho yake..

Sasa Makonda naye ni mkuu wa mkoa. Yeye akiwa ndo boss wa Dar, ni lazima ajiongeze na awajibike.

Swala la wauza unga usilitumie kama mwamvuli....zoezi hili la uhakiki wa vyeti lilianzishwa na Makonda na mabosi wake....walimalize kwa namna isiyotia shaka. Kama hana vyeti halali, sheria iko wazi na ifuate mkondo wake kama ilivyofanya kwa maelfu ya watumishi wa umma tunaopewa twakimu kila siku.
 
Ni ufinyu wa fikra kudhani kuwa kila anayedai ukweli ujulikane kuhusu elimu ya makonda ni muuza dawa za kulevya. Vita haianzi mpaka pawepo sababu, na sababu kaileta makonda mwenyewe.
Unataka ujue ikusaidie ,nini?,mbona CV ya mbowe haijulikan popote Dunia
 
Wauza unga ndo wana vyeti vya Makonda?
Tuache mzaha na majibu mepesi kwenye vitu vya msingi.

Zoezi la uhakiki vyeti na wafanyakazi hewa halijaisha...watu hatuna ajira mpya wala nyongeza ya mishahara kwa sababu ya tatizo hili. Ni tatizo lililopigiwa kelele mbaya hadi na Makonda mwenyewe.

Ingekuwa ni mtumishi yeyote mwandamizi chini ya Makonda kaandikwa kuhusu vyeti ni wazi kwa tabia yake angeshamtemea cheche na hata kumsimamisha kazi... kukuonyesha kuwa swala la uhakiki wa wafanyakazi sio la spoti spoti lilimpotezea kazi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mama Anna Malecela kwa kasi ya ajabu. Akimbuliwa ghafla hata hakuamini macho yake..

Sasa Makonda naye ni mkuu wa mkoa. Yeye akiwa ndo boss wa Dar, ni lazima ajiongeze na awajibike.

Swala la wauza unga usilitumie kama mwamvuli....zoezi hili la uhakiki wa vyeti lilianzishwa na Makonda na mabosi wake....walimalize kwa namna isiyotia shaka. Kama hana vyeti halali, sheria iko wazi na ifuate mkondo wake kama ilivyofanya kwa maelfu ya watumishi wa umma tunaopewa twakimu kila siku.
Kafanye kazi na hutapewa ajira kwa porojo hizi za mitandani
 
Kutokana na asili ya mtu ya kutaka kuonekana kila mara swala kama kukuonesha cheti halikutakiwa kua kikwazo. Hata mimi ukienda kwenye media ukanisimanga sina sifa stahiki nitakupa uthibitisho.

Lakini huyu bwana kagoma na matusi kamporomoshea mhariri, asilimia 70 ni kweli yanayosemwa, asilimia 30 anatengeneza fekero muda huu, kuna siku atakitoa.
 
Mkuu saivi cheti OG ndio kinatengenezwa thus why yuko kimya. Na usishangae yule mtangazaji kule tabora akapoteza maisha au akaja kua bonge la tajiri, hii inaitwa uza ng'ombe tusolve kesi ya mbuzi.
 
Back
Top Bottom