Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Bwana mdogo unamjua Bon Sipele, Mike Maina je?
C.J Mung'ongo au Euphrahase Kezilahabi?
What do you know about Fasihi? Hebu acha utani.
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.
Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.
Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)
Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.
==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:
Kwamba,nao waliwahi kuwa na tuhuma za kuiba mitihani huko walikotoka?
Hv huyu faizafoxy anaga shughuli nyngne kwnye kila thread lazma ukute comments zake za utata.
This Forum seems to have officially been converted into a gossiping place. What's worse, those who are supposed to preserve its reputation appear to either be fast asleep or are themseleves part of the campaign to destruct what was once the most credible and respectable site.
January Makamba didn't score Division 0 in his A-level final exams as the person who made this post attempts to make us believe. The truth is that he scored an impressive Division 1, with his headmaster decribing him as one of the most talented students his school had ever had.
aisee bora ushangae wewe dogojanja. Ni wazi urais unao ongelewa hapa ni wa twitter. Hivi january ana sifa gani ya kuwa rais wa watu? Hivi january ameifanyia nini cha maana wizara yake.
Mbona hata huo uwazuri hana sifa sema amashukuru jk.
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!
2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.
Dr.Slaa?Just be honest to yourself.
3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.
Leta ushahidi wa tafiti zako ikiwa haujasukumwa na chuki binafsi ili uaminike hapa
Ben Saanane umetajwa wapi.. nairaa forum sijui..THE World Economic Forum (WEF) has named the Deputy Minister for Communications, Science and Technology, Mr January Makamba, one of its 2013 Young Global Leaders (YGLs).
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/15440-makamba-named-2013-young-global-leader
Hivi kuwa msaidizi wa Rais ilitangazwa hiyo nafasi na yeye akashinda interview???
Kutajwa kitu gani,hata babu wa Loliondo aliongoza kutajwa.
Sisi tunajadili issues wewe unalinganisha pua za watu.Be serious!
-Hoja hapa ni kuwa January Makamba atoke hadharani kukanusha tuhuma hizi za wizi wa mitihani kule Galanos Sekondari.