Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
nadhani hapo ni issue ya watanzania wote tu... ndio wengine tunajipachika madigirii ya heshima hadi yanatushinda kutemba nayo... hatupendi kukosoana, tunapenda kushadadiana tu
Jitu ambalo halijui wapi kutumia capital letters na small letters wala matumizi ya punctuation vizuri basi ni wazi hana jipya zaidi ya kujisifia. Hivi wewe kweli unaweza kujilinginasha na January Makamba?
Sahihisho: Siyo Maji Marefu, Makamba Mkubwa (Yusufu) alimuunganisha JK kwa Mohamed Mbega, huyo Mbega ni sangoma gwiji huko Bumbuli na hivi sasa anaingia magogoni kama chumbani kwake.Makamba senior ilibidi agalegale na kujiviringisha kila kona ya ikulu kulamba miguu ya KIkwete ampe uwaziri kwa heshima ya kupelekwa kwa maji marefu January akawa waziri huyu ndio awe raisi wa bumbuli labda
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!
2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.
Dr.Slaa?Just be honest to yourself.
3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.
Nahisi kwa TZ, tunataka kufikia hatua ambayo mtu akiwa na blackbery na kuweza kuitumia, akawa na fesibuku account na twira account, basi anaonekana mtaalamu wa IT wa kimataifa. Anakabidhiwa nchi, khah uongozi sio kupost matukio twira na fesibuku.
mkuu huyo jamaa anakuogopa sana,anasoma coment zako akitetemeka,i believe kapita pembeni tu kwa bahati mbaya akaiona Madame
We jamaa unaakili sana sema unapenda ushabiki sana kwenye siasa pamoja na hayo sikuamini sana unaweza ukawa ni spy
Nadhani ni raisi wa wanafunzi wa ccm wa vyuoni..
This Forum seems to have officially been converted into a gossiping place. What's worse, those are supposed to preserve its reputation appear to either be fast asleep or are themseleves part of the campaign to destruct what was once the most credible and respectable site.
January Makamba didn't score Division 0 in his A-level final exams as the person who made this post attempts to make us believe. The truth is that he scored an impressive Division 1, with his headmaster decribing him as one of the most talented students his school had ever had. He even presented him with the job of teaching Geography at the school during the gap year, but January reportedly turned the offer down because he wanted to work at refugee camps.
It's hard to see what might have motivated anyone to post an information as maliciously wrong as this one. But it also raises concerns that moderators are doing nothing about it.
Januari hajasogelea miaka 40. Ya nin tuendelea kupoteza muda tukimjadili kwenye urais? Waacheni watoto wa vyuo ambao bado pua zimening'iza makamasi na macho yana tongotongo wajadili suala hili la makamba kuwa rais