Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Hapo kwenye red hapo,Malizia wakithubutu kusema ukweli na kuacha udanganyifu na unafiki kama wazee wao.Makamba jr wala usisite wengi wanaotukana wana fakeID pili ni wafuasi wagombea Urais watarajiwa ambao ni wazee ambao wengi wao wanafadhiliwa kukesha kwenye jamvi! Wengi wenye hizo IDfake ni wafuasi wa hao wazee ambao ni sehemu ya matatizo walianza kwa zito baada ya kusema Rais ajaye hawezi kuwa ni mtu aliyezaliwa kabla ya uhuru wakamtukana sana sasa wamehamia kwa huyu! Swali moja kwa wanaopinga vijana kushika nyadhifa kubwa mbona Mwl Nyerere alianza kuongoza Nchi akiwa na miaka 39 na wapigania uhuru wengi walikuwa vijana! Vijana msikatishwe tamaa eti anauzoefu gani kama uzooefu ni matatizo tuliyonayo ambayo yaliwashinda wakiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri itakuweje uzeeni! Hatima ya Tanzania iko mikononi mwa vijana maana kama tukibahatika kuishi bila ajali za vifo tunatarajia kuishi muda kuliko wazee hivyo tuwe kwenye sehemu za maamuzi kuanzia serikali za vijiji udiwani ubunge na mpaka Urais na nyanja zingine zote! Ninamaliza kwa kusema pole wafuasi wa wazee. "Vijana wanaweza wakithubutu 2015"
Umemaliza kabisa mkuu.
Amemaliza kabisa kivipi?Bila kutoa majibu ya tuhuma?