JIBRIL,
Mtu asiyejiamini hakuna haja ya kuhangaika nae zaidi ya kumpuuza tu.Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu wa aina hiyo mara nyingi atajipa majina kama hayo "BIG SHOW" "Super ...." , "The King..." n.k.Sasa ukishaona mtu mwenye ID zinazoashiria kuwa he's suffering from identity crisis,the best thing you can do is to ignore him.
Tuendelee na mjadala wetu wa kuhoji tuhuma za udanganyifu kwenye mitihani maana hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuendekeza udanganyifu kwenye taaluma.Ilikuaje akubali kurudia paper ikiwa uzembe ulitokana na utendaji wa NECTA?
Eti eeh??
I am suffering from identity crisis si ndiyo??
Mimi sihitaji iyo unayodhania wewe,so whats your identity??i can see umekuja hapa jukwaani hadi kujiverify ili kuonesha ni kwa jins gani wewe uko smart na jins gani unavyojiamini young boy,
So,let me give you a piece of an advice,if you are talking about your identity its good,try to build your own identity in a good manner,
Sio kwa kukimbilia mitandaoni na kujikweza kweza ooh sijui umesoma india,sijui umesomeshwa na serikali,una elimu hii na hii,kuweka CV zako na kuwafanya watu watambue undan wako,skia no one gives a damn about that,hujui watu wana CV gani humu ndan au wana maisha ya namna gani,mbaya zaid ni kwako wewe uliejiweka wazi humu na ili hali watu wanajua uhalisia wako na status yako,kwamba ni njaa kali na mchumia tumbo,
Mdandiaji wa nyota za baadhi ya viongoz wa chadema na kuhis kwamba jambo hilo litakutoa,sijui siku wakifa au wakistaafu uongoz hao unaowalamba lamba viatu utakimbilia wapi sijui,
Umekaa kufitinisha viongoz ndan ya chama uonekane wewe ni mjuzi zaid,unajua saikolojia za watu n etc,huna unalolijua
Mtu kama zitto kabwe sio saiz yako,ana maisha yake,ana elimu zake,ni kijana aliehangaika kivyake kujenga identity yake na kulisaidia taifa lake na chama chake,wewe umefanya kitu gani cha maana cha kupimana misuli na yeye??
Kuna kipiind ulikuja kutuaminisha wengi kuwa kabwe ni msalit ndan ya chama cha chadema kumbe ulikuwa unatafuta namna ya kujenga identity yako??
Well,identity haijengwei hivyo,ishi maisha yako,tafuta shughuli za msing za kufanya na kukupatia utulivu wa fikra na mawazo yako na sio kuja humu mitandaoni kujaza jaza server na mabandiko ili uonekane kama una influence hali ya kuwa si chochote si lolote,
Matter of fact me sion tofaut baina yako wewe na wale wachumia tumbo wenzako njaa kali kama mtela na shonza,wote ni wale wale,na ni watu kama nyinyi mnaoharibu moja kwa moja reputation ya chama kama chadema.
Live now Brother,,
There's no promise of a second time around.