Kaimbe taarabu we ben umekaa kimbea mbea wivu km mwanamkeWewe ndiyo mwenye uwezo mdogo.Mimi niliripoti kuwa alituhumiwa kuiba mitihani na kumtaka ajitokeze kuweka mambo sawa.Wewe unadai mimi ndiye niliyemtuhumu?You must be sick!

Kaimbe taarabu we ben umekaa kimbea mbea wivu km mwanamke
Hebu wekeni hii sawa:
(a) alipata zero form four
(b) aliiba mtihani akapata zero form four (ikiwa hivi itakuwa noma kichizi)
(c) alifaulu form four lakini aliiba mtihani
The same can be asked for form six results.
Kwa uchache from my sources nafaham kuwa alifanya mtihani majibu yakaja amefaulu kwa kiwango cha Div 1 point 7. Ikagundulika waliiba mitihani akafutiwa matokeo ya form four.
Kwa misingi hii inamaana lazima ana akili za kutosha tu maana angekywa hanazo asingeweza pata 7 points, bali ajiamini na asipende kuwa opportunist. Hata bila majina ya watu anaweza kuwa successful.
Kaimbe taarabu we ben umekaa kimbea mbea wivu km mwanamke
Tunajadili tuhuma za udanganyifu wa mitihani.Sio lazima uchangie na spew hatred zako hapa.Zitto Kabwe kamuathiri kisaikolojia sana huyo jamaa,i am telling you.
I feel sorry for him,with his sad destiny..,
Kamuathirije?Zitto Kabwe kamuathiri kisaikolojia sana huyo jamaa,i am telling you.
I feel sorry for him,with his sad destiny..,
...mkuu hivi umeshindwa kuelewa kinachojadiliwa au ndo athari za shehe Ilunga zinakutoa ufahamu?Zitto Kabwe kamuathiri kisaikolojia sana huyo jamaa,i am telling you.
I feel sorry for him,with his sad destiny..,
Tunajadili tuhuma za udanganyifu wa mitihani.Sio lazima uchangie na spew hatred zako hapa.
Hivi na wewe unatarajia nikujibu zaidi ya hapa? Ni vichekesho,ungeingia na ID yako real ningeweza kukujibu inavyostahili.Ni mara nyingi tu naona post zako za kijinga jinga na kuzipuuza.
NECTA ipi hiyo si ndo hiyo iliyotoa matokeo ya waislam wamefeli wote somo la dini? au sio hiyo iliyorudia kusahihisha mwaka jana. Sijui wewe unasema NECT ipi ambayo haiwezi kufanya makosa.Eh Hapa yanahitajika majibu,ilikuaje arudie mtihani kwa makosa yaliyofanywa na NECTA kama alivyoeleza?Kama huna majibu,basi usilete umbea hapa.Kaa pembeni
...hoja ni je January aliiba mitihani au la. hayo mengine yanatoka wapi mkuu? inaonekana una chuki na Ben kwa sababu za ki-shehe Ilungailunga tu. Hadi sasa hujajustify attack zako kwa Ben zimetokana na nini ili GT wengine washiriki kuzijadili na hapo ndipo Ben anapokutoa KO. Mwenzako anatoa hoja kisomi wewe unaatack ki-Napenape pasipo justification yoyote. Come on! you can do beteer than that BS.Multiple ID's??wala sihitaji iyo,na wala sihitaji kuwa verified,stil nasimama mimi kama mimi,
Unajua wewe huu umaarufu unaoclaim kuwa nao sijui humu JF na sehemu zingine unazozijua wewe unakutoa ufaham sana,me siwez kuwa na hizo chuki unazozisema tena kwa mtu hopless na nisemfaham,aise na status wala jambo lolote la maaana la kuwekewa wivu wa kimaendeleo au kinyongo chochote kama wewe,una nin me nikuwekee chuki??unajua umekuwa unaish maisha ya labda labda na kutojiamin kias kwamba kila mtu unamuona ana chuki nawe,na hizo ndio athari za kisaikolojia ulizonazo ambazo wewe mwenyewe huzitambui,pole sana
Brother Dont Start,go and build your Noah's Ark,
You could float to the end of the world and pretend you are not,but i know who you are
Matter of fact you are an easier target,and i respect everything you accomplished,
But i hope i never get old,dumb & stupid and talk nonsense with you,
Standing up all proud,speak to correct your folks,
You want to lecturer folks,and claiming you are political professional and etc,you are no body.
So,who the hell are you?
Live your Life Comrade,You have to live your life....
Multiple ID's??wala sihitaji iyo,na wala sihitaji kuwa verified,stil nasimama mimi kama mimi,

...hoja ni je January aliiba mitihani au la. hayo mengine yanatoka wapi mkuu? inaonekana una chuki na Ben kwa sababu za ki-shehe Ilungailunga tu. Hadi sasa hujajustify attack zako kwa Ben zimetokana na nini ili GT wengine washiriki kuzijadili na hapo ndipo Ben anapokutoa KO. Mwenzako anatoa hoja kisomi wewe unaatack ki-Napenape pasipo justification yoyote. Come on! you can do beteer than that BS.

No Personal Attack,hiyo hoja inaeleweka na inazungumzika,may be hujui kipi kinaendelea katika hiki nikisemacho,
Wewe ndie mwenye personal Attack,kufikiri kwangu kinape nape na kisheikh ilunga ilunga kusikupe shida sana,
I told him to live his life,asipende sana kuchunguza chunguza maisha ya watu na kuyatangaza yake ni bora zaid ya wenzake,wenzake wanaish maisha yao,kama anakosoa its better kukosoa na kutupa ushahid,maisha ya kuwanga wanga na kutegemea kuziwekea chuki destiny za watu hazifanyi MUNGU kumpa yeye destiny bora,mifano kibao tunaiona humu ndan,
I told him to live his life,
There's no promise of a second time around,
There's no reason
why he shouldn't,everything is up to him,not you
Because i promise he'll regret it bro..
Read more: Nas - Live Now Lyrics | MetroLyrics
Nimeamini ben kiboko yenu.Katoa statement 2 tu lakini umetoa mapovu tank nzima.Wewe unaonekana una chuki binafsi na unatia aibu sana ndugu kwa maelezo haya tu.Ni kipi kilichokuuma sana katika mjadala huu.Watu wengine bhana.Huwa napingana na ben mambo mengi ila wewe umeonyesha iq ndogo sana kwa uliyoandika.kama ameshasema anakupuuza ni jambo jema maana ushauri unaotoa naona unakuhusu wewe mwenyewe ndugu yangu.Watanzania tupendane na tutumie busara tulizojaliwa katika majadiliano
Wewe jamaa mkorofi sana,mjeuri na mbishi uliyepindukia.Siamini kwa namna ulivyokomalia mjadala huu.Debate zilikuharibu sana ukiwa shule.Hapa naona muendelezo wako na Mnyika na vijana wengine wa CDM dhidi ya Zitto na akina January.Karibu CCM ambako vipaji vyenu vitatumika vizuriJIBRIL,
Mtu asiyejiamini hakuna haja ya kuhangaika nae zaidi ya kumpuuza tu.Wataalamu wa saikolojia wanasema mtu wa aina hiyo mara nyingi atajipa majina kama hayo "BIG SHOW" "Super ...." , "The King..." n.k.Sasa ukishaona mtu mwenye ID zinazoashiria kuwa he's suffering from identity crisis,the best thing you can do is to ignore him.
Tuendelee na mjadala wetu wa kuhoji tuhuma za udanganyifu kwenye mitihani maana hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuendekeza udanganyifu kwenye taaluma.Ilikuaje akubali kurudia paper ikiwa uzembe ulitokana na utendaji wa NECTA?
kweli BIG amekutisha hadi unaongelea pembeni kinafiki mjibu uone. dogo uko empty sana, wivu na majungu ndo vilivyokujaa.JIBRIL,