Wasifu (CV) wa January Makamba

Wasifu (CV) wa January Makamba

Hizo tuhuma nilizijibu.Sasa iweje hutaki yeye ajibu tuhuma hizo?

tuhuma za wewe kutembea na sumu ulizijibu lkn akina juliana wanasema kuwa unajisafisha hali ya kuwa unajua ni kweli. upo tayari tukukutanishe nao na watu wahudhurie ili muulizwe maswali kuhusu tuhuma za wewe kuwa na njama za kuua kwa sumu?
 
Kwamba Ilikuaje akubali kurudia mitihani kwa Negligence ya NECTA?

ben, hili suala umelikomalia lkn katika mtindo wa kijiweni. siyo kisomi! ni ajabu sana unapo komalia jambo la kielimu na kisoma kwa kujenga hoja za kijiweni zilizo jaa majungu na wivu. kama una ushahidi kutoka shuleni alikosoma au baraza la mitihani hebu uanike ili tukuelewe. unashusha hadhi yako. amka!
 
Tuhuma zililetwa humu JF kwa hiyo sio mimi ninayeleta tuhuma.Mimi nataka atoe majibu ya tuhuma hizo.Kwa bahati mbaya majibu yake yamezidi kuzua maswali ambayo alitakiwa ayajibu katika statement yake.Ilikuaje akakubali kufanya tena mtihani huku akijua negligence ilikua ya NECTA?

Kama hadhi yangu itashuka kwa kuuliza swali hili basi wacha ishuke.Udanganyifu wa mitihani hauwezi kuliletea taifa heshima vile vile
 
ni mjia ileile ya kuendeleza mafisadi ktk utawala. kwa uzoefu upi na utashi upi anafaa kuwa raisi dogo januar makamba?

kutumwa na kubeba mikoba ya jk wakati wa kampeni ndo sifa ya mgombea urais kweli?
 
Wana JF mi mwenzenu napata shida na huu mfumo wa CV ya J. Makamba ni uleule unaotumika na watu wote au niwa kwake yeye? nijuavyo mimi CV inatakiwa kuwa na miaka, miezi na hata siku inapobidi, sasa hii CV ya J. Makamba ipo tofauti kabisa au enzi hizo utambuzi wa miaka ulikuwa haupo? naomba anijibu na maswali mengine yaliyoulizwa na wana JF.
 
Huyu hafai kuwa Rais.Sababu kubwa ni kwamba katika maelezo yake amechanganya lugha kitu ambacho mwananchi wa kawaida hatamwelewa.
 
yani kumbe mwizi hadi wa mitihani harafu hawa wanafunzi wa vyuo vikuu wanataka awe rais kwa kipi hasa alichokifanyia nchi hii ataiba kila kitu harafu waziri wa sayansi sayansi ipi hiyo ya wizi wa mitihani kwekwekweeeeeeeee
 
Nimenukuu taarifa mbalimbali emanating from different sources.I hope he'll be smart enough kujibu tuhuma hizi mapema ili.kuepuka vileo kama unavyotoa.

OK mkuu but si na wewe mwanga hapa data zako maana jf hatufichi chochote bwana.....
 
Mheshimiwa Januari Makamba bado mchanga mno kwenye siasa, huwezi hata kumfikiria kwa nafasi ya uwaziri, SEMBUSE URAISI, MSIFANYE MCHEZO JAMANI NA NAFASI YA URAISI, huo unaibu waziri amepewa kwa majaribio lakini bado unaonekana kumshinda, ukitaka kujua kama bado hajakomaa kisiasa fuatilia suala dogo tu la sakata la kodi ya laini za simu ambavyo alianza kujihami kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha kwamba hakuwa ameuafiki uamuzi wa Bunge wa kupitisha kodi ya laini za simu, yeye kama sehemu ya serikali hakutakiwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuanza kujitetea kwa wananchi kwamba yeye ni msafi ila hao waliopitisha ile kodi ndio ambao hawawatakii mema wananchi, alitakiwa apambane na hilo suala humo humo ndani ya serikali bila kutuonyesha sisi wananchi kwamba yeye ndio mzuri na wengine ndio wabaya, hizo alizoonyesha ni siasa za kinafiki, mbali na hivyo alienda mbali zaidi na kuanzisha malumbano ya mipasho na Mheshimiwa John Mnyika, hilo lilikuwa ni suala la kipumbavu sana kufanywa na mtu kama yeye, Naibu Waziri unaanzisha malumbano ya mipasho, THAT WAS A VERY STUPID THING TO DO.

Naomba kujua january makamba alipata div gani kidato cha nne na sita kabla hajaenda USA kupata 1st degree yake na Msc katika mambo ya conflits management. Ni muhimu sana kujua passes zilizompeleka university kuliko hata hizo bachelor na masters degrees kwani kuna uwezekano wa kuchakachua.
 
Pale palipo na ukweli inabidi useme ukweli,hongera sana kaka January....ur real experienced
 
Makamba jr wala usisite wengi wanaotukana wana fakeID pili ni wafuasi wagombea Urais watarajiwa ambao ni wazee ambao wengi wao wanafadhiliwa kukesha kwenye jamvi! Wengi wenye hizo IDfake ni wafuasi wa hao wazee ambao ni sehemu ya matatizo walianza kwa zito baada ya kusema Rais ajaye hawezi kuwa ni mtu aliyezaliwa kabla ya uhuru wakamtukana sana sasa wamehamia kwa huyu! Swali moja kwa wanaopinga vijana kushika nyadhifa kubwa mbona Mwl Nyerere alianza kuongoza Nchi akiwa na miaka 39 na wapigania uhuru wengi walikuwa vijana! Vijana msikatishwe tamaa eti anauzoefu gani kama uzooefu ni matatizo tuliyonayo ambayo yaliwashinda wakiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri itakuweje uzeeni! Hatima ya Tanzania iko mikononi mwa vijana maana kama tukibahatika kuishi bila ajali za vifo tunatarajia kuishi muda kuliko wazee hivyo tuwe kwenye sehemu za maamuzi kuanzia serikali za vijiji udiwani ubunge na mpaka Urais na nyanja zingine zote! Ninamaliza kwa kusema pole wafuasi wa wazee. "Vijana wanaweza wakithubutu 2015"
 
Umemaliza kabisa mkuu.
 
Huyu mshikaji January Makamba namfahamu, he is a natural leader. i.e Born to be a leader. He is bright for real. His names have nothing to do for who he is. It is Just a coincidence.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom