Basi hongera, natafuta mke wa pili, vp?Simo kabisa kundi hilo mim
Yani wewe.. Badala ya kusema asante unasema nikukaushie.Nikaushie bana Ivuga acha kuharibu
Wanasahau tunatofautiana kabisa mimi have a friend yani anamwambiaga mkewe kabisa mambo ya umama umama na uzee sitaki, vaa pendeza(show what your mama gave you).Kuna mtu alisema yeye anapenda mkewe avae hivyo na kwake haionyeshi kutokujiheshimu hata kidogo.
Wanasahau tunatofautiana kabisa mimi have a friend yani anamwambiaga mkewe kabisa mambo ya umama umama na uzee sitaki, vaa pendeza(show what your mama gave you).
By da way heshima huanza kichwani mtu akiwa na akili na anajielewa anajua limits zake za kila kitu mpka mavazi na heshima iko na mtu ndani yake wala sio muonekano wa nje.
Swali kwa mtoa mada jee? hao wanawake wote wakivaa anavyotaka anaeza akawaoa wote?. Au wavaa hizo unazotaka wameolewa wote?
kwa hiyo mke wa mwenzio ndo avaeeeNataman sana mwanamke avae hivyo lkn sitak mke wng aje kuvaa hvyo
Sasa huyu anatofauti gani na kichaawanawake wa kisasa
Sasa huyu anatofauti gani na kichaa
Kwa kauli hiyo wewe ukioa utabaki kuwatamani wanawake wanaovaa hivyo. Bora umruhusu mkeo akuvalie hayo mavazi uli uyaone kwa mkeo hata siku ukiwa barabarani ukiona binti kazivaa wala hutaangaika kumtamani.Nataman sana mwanamke avae hivyo lkn sitak mke wng aje kuvaa hvyo
hapana jaman loooh huyu ni chizi sio burewanawake wa kisasa
ChanteeeeeeeeeYani wewe.. Badala ya kusema asante unasema nikukaushie.